Bill
Joined
Likes
2,098

Profile posts Latest activity Postings About

 • Bill
  Mchokonoaji upo! Mkifikia hatua ya kushindwa kuvumiliana ndo shida inapoanza. Kuna watu wengine lengo lao kuu ni kupotosha ukweli, na hii kazi ndio inayowaweka mjini. Asubuhi kukicha wao ni kukaa kwenye mtandao, kusoma magazeti na kuwasiliana na Wahariri suala ni kuhakikisha wanafanikisha malengo ya mabwana zao.

  Lakini kuna siku haya yatakwisha
  M
  bill mambo!, hivi watun wanatuona sisi wanaJF ni wajinga hivyo wanaweza kupopst anything na sisi tukapelekwa kijinga! naheshimu sana mawazo ya watu na niko tayari kupigana kulinda uhuru wa mawazo ya mtu hata kama yanatofautianas nami ila siko tayari kama mawazo hayo ni upotoshaji!
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…