Gwaje wa Lowassa hoi Rwangwa

MgonjwaUkimwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
1,336
875
Ameanguka na kupelekwa hospitali alipokuwa akihesabu kura zake za uenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi. Hadi anaanguka inasemekana alikuwa na kura 100 dhidi ya kura 500 za mpinzani wake, Mtopa. Matokeo bado kutangazwa. Kama kawaida ya siasa za sasa za CCM, Gwaje na Mtopa wanaumgwa mkono na Lowassa na Membe, respectively; inasemekana.
 
Sawa. Hebu tuache hayo. Najiuliza maswali kuhusu ID yako, kiukweli sielewi kwanini uliamua kuitumia. Samahani lakin kama ntakuwa nimekuudhi.
 
Na matokeo ni kwamba Mtopa shinda, Gwaje wa Lowassa chali na bado hospital
Mkuu samahani. Kama hautajali, naomba jina lake la kwanza. Kuna jamaa wa Lindi nilikuwa naye Kurasini Dar miaka ya 80 akiitwa Seif Gwaje. Since then, sina mawasiliano naye. Sijui kama ndiye atakuwa huyu.
 
Na vipi matokeo mikoa mingine kama arusha,kigoma,shnyanga,na vipi mwenyekit wa uvccm hapo lindi mbona hiyo kashnda mtu wa lowasa hujandika,we kweli mgonjwa wa ukimwi..
 
Ameanguka na kupelekwa hospitali alipokuwa akihesabu kura zake za uenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi. Hadi anaanguka inasemekana alikuwa na kura 100 dhidi ya kura 500 za mpinzani wake, Mtopa. Matokeo bado kutangazwa. Kama kawaida ya siasa za sasa za CCM, Gwaje na Mtopa wanaumgwa mkono na Lowassa na Membe, respectively; inasemekana.
kushindana na huyu mzee unajitakia balaa, ila na huyu mzee nae angestaafu siasa, kazee kana miaka karibu tisini kamo 2.

mzee mtopa kabla uchaguzi huu ndo alikuwa mwenyekiti wa wenyeviti wa mikoa wa ccm tz nzima!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu samahani. Kama hautajali, naomba jina lake la kwanza. Kuna jamaa wa Lindi nilikuwa naye Kurasini Dar miaka ya 80 akiitwa Seif Gwaje. Since then, sina mawasiliano naye. Sijui kama ndiye atakuwa huyu.

Mkuu, anaitwa Ali Hassan Gwaje.
 
Na vipi matokeo mikoa mingine kama arusha,kigoma,shnyanga,na vipi mwenyekit wa uvccm hapo lindi mbona hiyo kashnda mtu wa lowasa hujandika,we kweli mgonjwa wa ukimwi..

Mkuu pole kama nimekukwaza. Nipo hapa Ruangwa na nilicho report ndio nilichokiona. Why the hell would you think that I would be compelled to report from other parts of the country? If you care that much about other parts wouldn't it be wise for you to report to us?
 
Mkuu, anaitwa Ali Hassan Gwaje.

Aliyeshindwa anaitwa Gwaja ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa CCM Lindi vijijini na wakala namba moja wa Edward Lowassa. Ndiye aliyefadhili kampeni zake kupitia kwa Mohamed Abdul Aziz, Mudhihir Mudhihir na Mbunge Zuhura Lulida. Ndiyo hao hao sasa wapiga debe wa Sophia Simba kwenye kinyang'anyiro cha UWT. Hili ni pigo kwake Gwaja maana sasa kapoteza nafasi zote ndani ya CCM na unajiuliza ataishije maana significance yake kisiasa imeshafifia na yeye amekuwa akiishi kutegemea kuwachangisha wabunge baada ya mashine yake ya kusaga pale kijijini kwao mbanja kubuma.
 
Na matokeo ni kwamba Mtopa shinda, Gwaje wa Lowassa chali na bado hospital

Sijuibkwa nini aende hospitali wakati alikuwa akijaribu kumtoa ambaye amekuwa akishikilia kiti hicho kwa muda mrefu toka mwaka 2002. Hata hivyo afya ya huyu bwana kwa muda mrefu imekuwa si ya kuridhisha.
 
Gwaje ni Mhasibu pale Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Huyu jamaa aligombea ubunge 2010 akashindwa kula za maoni. Baaye sijajua anaendeleaje bada ya kuondoka huko.
 
Back
Top Bottom