Chadema kumekucha ubunge Sumbawanga Mjini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kumekucha ubunge Sumbawanga Mjini

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Candid Scope, Oct 12, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Heche avuta umati.

  Chadema imepiga hodi Sumbawanga jana na kuanza kambi rasmi ya kutetea jimbo lililochukuliwa kwa mizengwa na CCM kisha kunyang'anywa na mhimili wa Mahakama nchini. Jimbo liko wazi na Chadema imeshapuliza filimbi ya kuamsha kasi ya wimbi la mageuzi huko Sumbawanga lengo likiwemo kulichukua jimbo uchaguzi mdogo ujao.

  [​IMG]

  Wahudhuriaji jana Sumbawangu walivyofunika mbaya kuonyesha matumaini mapya kuwajaa mioyoni mwao.
  [​IMG]

  [​IMG]

  Mwl.Yamsebo aliyekuwa mgombea wa CHADEMA uchaguzi mkuu uliopita

  [​IMG]

  Moto huu hadi kieleweke, umati huu si wa kawaida, "ee ndita mkwai, yapola yonsi, yaposile tataitu."
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,787
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  VIVA CHADEMA...Arusha,sumbawanga mjini tunachukua.CCM kifo cha mende,miguu juu,mguu pande.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,948
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Namsifu sana huyu mpiga picha wetu kwa ustadi mkubwa na pixels za hali ya juu kwenye camera yake.
   
 4. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,170
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Impressive!

  Heche afanye na sensa ya papo kwa papo pia ili kujua kwenye umati huu wangapi ni eligible voters.

  Vinginevyo ni sawa na kula ugali kwa harufu ya samaki!!
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,714
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Heche afanye sensa kwa nini kwani yeye Tume ya Uchaguzi au Tume ya sensa ambayo mpaka leo hatujui tulifikia wangapi Tanzania. MAmbo ya CCM Igunga noumer hatutaki.Ebo!!
   
 6. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 11,633
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  vivaaaaaa
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,188
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  VIVA Wana-Sumbawanga,VIVA CHADEMA.
   
 8. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 23,756
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  Lile Daftari linatofautiana sana na nia ya watz.Km hawatafanya mabadiliko ili kuongeza watu walioksa kipindi kile bado hata waumini wapya watakosa nafasi.Ila good news ni kwamba wanakuwa reserve ya mwaka 2015, na walinda kura wa uchaguzi huu.
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,808
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  wapi Ritz
   
 10. KV LONDON

  KV LONDON JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 902
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Hii ndiyo CHADEMA ninayo ifahamu. Mungu Ibarik Tz, CDM na watu wake wote.
   
 11. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Sipati picha CCM wakizindua wa kwao mji wote utafungwa.
   
 12. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,075
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hakuna kulala mpaka kieleweke....viva Chadema.
   
 13. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,808
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  jenga picha itakuwaje Mbowe na Slaa wakitia maguu huko.
   
 14. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haya bwana, mwenye macho haambiwi tazama. Mkapa naye atapeleka nyama, mchele, na mahindi mara hii? Kweli watanzania wameelimika na wanaonyesha kwa matendo kuwa ukombozi unawezekana. CCM endeleeni kutoa hongo tu kwani Sumbawanga tutakula CCM na kupiga kura.......malizia!
   
 15. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,827
  Likes Received: 1,273
  Trophy Points: 280
  Tengenezea kwenye photoshop Kama kawaida yenu
   
 16. p

  politiki JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,330
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  asante kaka kwa picha za uhakika.
   
 17. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tunawasubiri wamlete Mwigulu,wassira na magufuli tena
   
 18. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,484
  Likes Received: 1,151
  Trophy Points: 280
  hata mtoe ahadi ya pilau na usafiri bure kwenda na kurudi nyomi kama hii kamwe ccm hampati.
   
 19. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,017
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Inatia moyo kujua hawakusombwa na maroli!!
   
 20. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Wakombe kweli wamenifurahisha huko kung'anda....:poa
   
Loading...