Sumbawanga ipo wazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sumbawanga ipo wazi

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mgeni wenu, Oct 10, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Haya tena Sumbawanga ipo Wazi kazi kwenu kutoa maoni kampeni na uchaguzi uwe vipi?
  Nawasilisha
   
 2. Ndevumbilinyau

  Ndevumbilinyau New Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 11, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Serikali ihakikishe uchaguzi unakuwa huru na wa haki,tumechoshwa na malalamiko kila kukicha na pesa ambazo zingefanya mambo ya maendeleo
   
 3. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kampeni impatie ushindi wa kishindo mheshimiwa Norbert Yamsebo, nipo huku Sumbawanga tunahamasisha vijana kwa wazee wamama kwa wabibi kwamba haki inakaribia
   
 4. M

  Malata Junior JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 1,196
  Trophy Points: 280
  ccm wajitoe kuepuka aibu
   
Loading...