Katiba mpya, yatingisha Muungano Zanzibar
Na Mwinyi Sadallah
14th October 2012
Wakati mjadala wa Katiba mpya ukiwa umewagawa viongozi wa dini, siasa na serikali, Wajumbe...
Sasa ni mara UVCCM, kila kikucha wana lao!
BAADA ya kuripotiwa kupigana kwa wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), mkoani Dar es Salaam katika uchaguzi ndani ya chama hicho, ngumi zimeripotiwa...
Wakuu habari nilizozipata ni kwamba mkurugenzi wa mambo ya nje wa CHADEMA Ezekia Wenje (MB) na Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi wamewasili Londoni na leo watakutana na wanachadema pamoja...
Wakati fulani mwaka 2004 (kama sikosei) rais Ben Mkapa alitembelea mgodi mmoja wa dhahabu akapewa tofali la dhahabu. Tofali hili kwa kweli ni mali ya hazina ya Tanzania, na si vinginevyo...
Kwa kiasi flani naamin CDM walikurupuka au kutokupata mwakilishi sahihi wa uVICE..
It's high time wajipange na mtu ambae atachukua nafasi hii kwn kwa kupata mtu sahihi na mwenye influence ina...
Wana-JF
Jumamosi hii katika Makutano nitakuwa na Mbunge wa Ubungo kupitia CHADEMA, Mheshimiwa John Mnyika. Na kama kawaida ya kipindi tutagusa kuanzia maisha yake ya kawaida mpaka kwenye siasa...
Kwa mujibu wa machapisho, Bunge lilounda Katiba ya sasa mnamo 1977 lilikuwa Bunge la kuteuliwa, hivyo lilitekeleza majukumu ya wale walioliteua.
Naomba kujua, Bunge lijalo la kutengeneza Katiba...
Once again proof kuwa wa Kenya wanazidi kutuburuza mpaka huko kwa wafadhili.
Its time for JK akarudisha pesa za hawa World Bank na Ujerumani kisha akachukue pesa Beijing watujengee not only hiyo...
Ndugu zangu, juzi nimefika Makongo Juu. Nilionyeshwa mahekalu ya Daniel Yona hadi nikaogopa.
Amejitwalia eneo kubwa mno. Kajenga mahekalu mengi. Mengine anaishi, mengine amepangisha wazungu...
Wadau wote hasa sisi wana jf tumelalamika mno kuhusu safari za mara kwa mara za raisi na uundwaji wa tume za uchunguzi ambazo kwa uhalisia tume hizi nyingi zimekuwa ni za kichina tu.
Kuhusu...
Katika hali inayoonyesha kuwa Malawi wanakataa suluu ya mgogoro wa kihistoria wa mpaka wa Tanzani na Malawi kule ziwa Nyasa, ni kuwa hivi sasa wenzetu wamesusia vikao vya majadiliano ya...
Katika harakati za kukijenga chama cha mapinduzi kuelekea 2015, SIMIYU wameweka safu yao ya uongozi huku mbunge wa Busega Dr. Titus Kamani akishinda kwa kishindo nafasi ya uenyekiti kwenye huu...
SOURCE Faustine Ndugulile FACEBOOK
Results out: Ramadhan Madabida is the new Dar Es Salaam CCM chairman. Congrats!
Awali Madabida alijikuta katika wakati mgumu wakati akijinadi baada ya mjumbe...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewataka wapiga kura nchini kuanza kujiandaa na jinsi ya kulinda kura zisiibiwe siku ya kupiga kura.
Akizungumza na...
Nimepata taarifa za kusikitisha kwamba Mbunge wa Nzega amepata ajali mbaya baada ya gari aliyokuwa akisafiria kuchomoka tairi. Ajali hii imetokea akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano mkuu wa CCM...
Katika kuonesha M4C siyo mchezo wakazi wa Katoro ambapo ndiyo Makako Makuu ya Jimbo la Busanda na ngome imara ya CHADEMA wanasema mbunge wa sasa Lolencia Bukwimba(CCM) basi na hana chake tena 2015...
HomeNews
NEWS
A Tanzanite miner in the Mererani mine. The Tanzania government passed a new mining law requiring foreign-owned companies cede a 50 per cent stake to citizens. Photo/Matt Brown AFP...
Hapa naona sasa ndio kazi itafanyika tena haki itatendeka kila aliyehusika ninaimani jeshi la polisi litamtia nguvuni. Na Iringa ingefanyika hivi si ingelikuwa vizuri zaidi? Hili la Mwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.