Arusha: Mgombea udiwani wa CHADEMA aliyepigwa arejea kwa kishindo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha: Mgombea udiwani wa CHADEMA aliyepigwa arejea kwa kishindo

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mnyinda, Oct 12, 2012.

 1. m

  mnyinda JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 25, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgombea udiwani kata ya Darajambili aliyeshambuliwa na kulazwa hospitali amerejea tena kwa kishindo nakuendelea na kampeni zake katka vitongoji mbalimbali mpaka kieleweke..
   
 2. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kaaribu sana kamanda , wameongezea moto petrol
   
 3. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hongera zake!
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hajakoma bado sasa hivi ndo watambaka kabisa
   
 5. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huu ni uhuni, kwa mwenye akili kidogo hawezi kuwa na mawazo mgando kama haya. Pole sana maana Tanzania ilipaswa iwe na wajinga wachache hadi sasa.
   
 6. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,197
  Likes Received: 10,537
  Trophy Points: 280
  Karibu sana Kamanda....
   
 7. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  [h=5]Nzi na nyuki hufa kwa kulazimisha kupenya kwenye kioo , ndivyo watakavyoangamia wasomi, wafanyakazi na wakulima wanaolazimisha kutimiza ndoto zao kupitia CCM, sasa tuko kwenye kampeni maalum dhidi ya ccm 2015, waliingia kwa mbinu watatoka kwa mbinu watenda hutendwa, tuisaport CHADEMA, Tanzania bila ccm Inawezekana! Tuma ujumbe huu kwa waliochoshwa na ccm hasa wakulima, walimu, NMB,TRL, Wazee Wa EAC na Wanafunzi Vyuoni.MUNGU ibariki CHADEMA DAIMA_xx2[/h]
   
 8. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kila la kheri mkuu
   
 9. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Ok. weka pembeni siasa. Chukulia angekuwa baba yako au kaka yako. Kwanini unamuhuzunisha Mungu kiasi hiki??

   
 10. Z

  Zakaria Lang'o JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,082
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Songa mbele Kamanda Msofe, Mwenyezi Mungu yupo upande wa haki.
   
 11. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  tulianza na mungu na tutamaliza na mungu.
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  jibu nililopaswa kukupa nikiliandika hapa lazima nile ban ngoja nijifanye sijayasoma uliyoyaandika..
   
 13. p

  pembe JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 2,058
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kamanda pole na tunakutakia kila la kheri. Penye nia pana njia
   
 14. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  wewe ni aibu na mzigo kwa JF? Hivi mods watu kama hawa mnawavumilia hadi lini? mtu na akili zako unashabikia mtu kuteswa au kubakwa halafu unaachwa tu bila kupigwa ban??
   
 15. o

  omongoreme Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mungu siku zote huwa upande wa haki,msofe karibu katika mapambano na ushindi ni lazima.Watanzania tuamke tumshinde dharimu magamba
   
 16. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  hata mm nimejizuia sana nilishaandika lakini kabla ya ku submit nikaamua kuacha! ila huyu jamaa ni disappointment na digrace kwa JF!!
   
 17. only83

  only83 JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Sawa binti, naona mawazo yako ni mazuri.
   
 18. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  JOGOO hafi kwa utitiri.wao wana polisi.pesa,usalama wa ccm, sisi tuna MUNGU.
   
 19. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  MIMI nadhani mambo yako hayajakaa sawa na ndio maana wewe na chama chako mnadhani hivyo mtawakatisha watu tamaa!!! tumedhamiria haturudi nyuma hadi kieleweke. taratibu utajua kuwa cha chenu kimechokwa.VIVA CHADEMA!!!!
   
 20. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Si walidhani wamemwua Ulimboka? Kama Mungu hajatoa hiyo roho hayupo anaeweza kutitoa. Ipo siku tutajifunza na haiko mbali kabisa. Hii nchi imetawaliwa na wajinga watupu na polisi ni zaidi yao kwani hawajui wako wapi! Ni miaka miwili tu imebaki. Tutachinjana, tutateketezana kwa matanuu, tutauana, lakini uhuru utapatikana.
   
Loading...