Mheshimiwa ZITTO ZUBERI KABWE leo wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Sayansi na Teknolojia amesema anao uwezo wa kuongoza nchi, anao uzalendo kwa nchi yake na anao uwezo wa kuwa amri...
kuna viongozi wana njaa sana hapo makao makuu yenu,ndugu yangu anaishi nje ya nchi na wanataka kusaidia kujenga chama kwa watanzania wanaoishi pale,nimempa contact kiongozi mmoja wa Chadema...
Kutokana na udhaifu mkubwa wa wabunge wa enzi zote toka CCM kwa jimbo hili kunakosababisha majanga kwa wakazi wa jimbo la Chalinze kuna dalili zote CHADEMA kuchukua jimbo. Kuna mikakati mikali ya...
Ni afadhari kuumbwa mwili wote kuwa mgongo kuliko kuwa tegemezi kifikra na kimawazo kwani kwako ubongo hauna maana.Ndivyo unavyoweza kuutumia msemo huu kuelezea hali ilivyo ndani ya...
Kama kuna kitu kinakera ni kuona watu wakitaka CCM iwe Manusura wa kimbunga cha mabadiliko ya kisiasa na kijamii kinachovuma nchini. Watu hao bila kujijua au kwa makusudi au kwa kusukumwa na hofu...
Kwenye ukurasa wake wa Facebook kaandika hivi RICKY ROSS ANAKUJA,SAWA HAINA SHIDA...ILA TUNATAKA KUJUA AMELIPWA KIASI GANI NA ATAKATWA KIASI GANI KIBAKI KWENYE KODI YA TAIFA LETU KAMA AMBAVYO MIMI...
Kama kichwa cha habari kina husika muda huu kipindi cha kidokezo radio imaana ndio kimeanza na mwana JF Mohamed Said ndio mgeni rasmi akichambua historia ya wagombea uhuru
Ameanza kuzungumzia...
Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha, Mary Chatanda, amenusurika kipigo baada ya kutuhumiwa kuvuruga uchaguzi wa mkoa wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana (UVCCM) akidaiwa kutaka kumpitisha mmoja wa wagombea...
Waandishi Wetu Toleo la 262 10 Oct 2012
Bodi ya Jenerali Mbona yatishia kujiuzulu
Bandari nako si shwari, mengine yafichuka
WAKATI Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara...
Jana ulifanyika Mkutano baina ya Makamu Mkuu wa Chuo-UDSM almaarufu kama VC,Prof.Rwekaza Sympho Mukandara na wafanyakazi wote wa chuo hicho. Washiriki,ambao ni wafanyakazi,walitoa hoja mbalimbali...
Uchaguzi uliofanyika jana na matokeo yake kutangazwa saa 9 usiku na Dr Kabourou katangazwa kuwa mshindi kwa kumshinda mpinzani wake Ndg. William Ntahindula Luturi. Kwa taarifa huyu jamaa...
NIMECHUKUA HATUA YA KUWASILISHA KWA TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA SUALA LA MATATIZO YA MAJI KATIKA KATA YA GOBA ILI HATUA ZA HARAKA NA ZA KUDUMU ZICHUKULIWEKazi ya mbunge ni...
Nimepitia majina ya walioteuliwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi
CCM, naona kama kama vile jina langu limekatwa. Lakini nimekutana na
majina mengi yanafanana hasa surnames kiasi cha...
kuna habari ndani ya gazeti la mwananchi kuwa Lowasa waziri aliyejiuzulu kwa ajili ya kashfa atahutubia katika kumbukumbu ya miaka 13 ya kifo cha mwalimu huko , lambo islamic high school ...
Inasemekana kwamba Nyerere alikubali Mwinyi kuwa Rais ili mambo yake yaendelee kutekelezeka...ndiyo maana maamuzi mengi ya Mwinyi yanazua utata kama ni yeye alikuwa akiamua kama Rais ama...
Burhani Yakub, Muheza.
WAKAZI wa Kata ya Misalai Tarafa ya Amani Wilayani hapa,wamependekeza kuwepo kwa kipengele cha adhabu ya kumwagiwa maji ya baridi nakisha kuchapwa viboko kwa mbunge...
Make leaders` benefits open` By Sylivester Domasa
12th October 2012
A day after Kenyan President Mwai Kibaki blocked Parliament bonus to his lawmakers, politicians and...
Wakuu zangu naomba tujadili hii safari ya waziri mkuu wa Canada, Mheshimiwa Harper ambaye atatua nchini muda wowote itakuwa na manufaa gani kwetu na pia tujadili ni jinsi gani ujumbe wetu unaweza...
Ifuatayo ni taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Ismail Jussa, muda mchache uliopita, ikielezea azma yake ya kujiuzulu nafasi hiyo. Hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.