MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amelionya Jeshi la Polisi akisema haliwezi kuzima vuguvugu la mabadiliko (M4C) nchini kwa kutumia risasi...
umekuwa na hisia hata minyukano baina ya wapenzi na wapinzani wa Kikwete na CCM yake. Wapinzani wanajitahidi kumshauri huku wapenzi wake wakijitahidi kuonyesha kuwa kufanya hivyo ni kumchukia huku...
Ni aibu iliyoje kuona haya mambo ya ajabu yanatokea katika utawala wako, halafu hakuna kiongozi wa serikali mwenye mamlaka husika anayeweza kukemea uwongo huu wa mchana kweupe na mbele ya umma...
Waziri wa Afya Dr Hussein Mwinyi ametangaza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Joseph Mgaya, pamoja na vigogo kadhaa wa idara hiyo kufuatia sakata la dawa bandia hasa ARVs.
Taarifa...
Hayawi hayawi huwa!
Mbunge wa Afrika Mashariki, Mhe. Shyrose katika mtandao wa www.facebook.com amefunguka na kuandika kama ifatavyo katika hii nukuu:- "Mbona serikali
hawakumuelewa Mnyika...
Watendaji wengi wa ngazi za juu hawataki kustaafu hata muda wao kisheria unapofika, wanafanya mazungumzo na washauri wa raisi ili kuhakikisha wanaendelea kuwepo kwenye nyadhifa hizo hata baada ya...
Questions are being raised about how Tanzania's plentiful mining sector will be affected by a potential gold rush from Canadian extractive companies, after the two countries concluded a foreign...
Ndugu wadau:
Tukiwa tunatimiza miaka 13 toka kuondokewa na Baba wa Taifa letu Tanzania, ambaye alikuwa Rais wa kwanza wa JMT.
Kifo chake si kwamba kilituhudhunisha Watanzania tu bali Afrika...
Tume inayoratibu mabadiliko ya katiba inatarajia kukutana na wajumbe kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar ili kupokea maoni yao kuhusiana na katiba mpya.
Tume hiyo katika taarifa yake imedaiwa...
Wana jf hebu naomba mniambie chanzo cha hizi nguo(au vitu vya mitumba) za mitumba na athari zake kiafya,kiuchumi na kimazingira.maana natumia nguo na vitu vingine bila kujua vinatoka wapi.
Rais Kagame amechukua vijana bright wanaotakiwa kuendelea na elimu ya juu na kuwaombea scholarship na wengine kuwalipia elimu ya juu kwenye vyuo maarufu marekani ili baadae waje kuitumikia nchi...
Sikika imefurahishwa na taarifa za Wizara ya Afya kuhusu hatua ambazo imechukua hadi sasa kufuatia sakata la dawa bandia za kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI. Hata hivyo taarifa ya wizara...
Ni wakati wa vikao vya Bunge hapa mjini Dodoma,mji huwa katika hekaheka na pilikapilka nyingi huku idadi ya watu ikiwa imeongezeka.Kuongezeka huku kwa idadi ya watu husababisha pia msongamano wa...
Vyanzo zaidi vimeweza kutupatia ukweli wa hasa kilichojiri leo mahakamani pale Arusha.
Watuhumiwa wawili wa mauaji ya Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya Usa River, Msafiri Mbwambo, aliyechinjwa kwa...
Kabla hatujafika mbali kukusanya maoni, tunawaomba viongoziwetu wa Smz waleWazalendo wa nchi yao wenyekuipenda nchi yao na kuitetea , watuweke wazi wananchi wa Zanzibar kutokana nautata huu...
Kumekuwa na tabia ya wakurugenzi, makatibu wakuu na wakuu kadhaa wa idara wanao takiwa kustaafu kwa mujibu wa sheria ya utumishi wa umma, lkn wamelikwepa hilo kwa kunyumbulisha mikataba na hivyo...
Ndugu,
Mtakumbuka kuwa hivi karibuni Msajili wa vyama vya Siasa, John Tendwa, amekipa usajili wa muda chama kipya cha siasa kinachojulikana kwa jina la Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA)...
WAKATI uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) ya CCM ukikaribia, wagombea nafasi ya uenyekiti wamezidi kutuhumiana kwa matumizi makubwa ya fedha, huku mmoja wao akidai kujinadi kwa...
Kwa muda wa majuma kadhaa hapa kwetu tumejikuta tukisahau kila kitu na kurukia mjadala ambao uko hot kwa sasa wa sakata la dawa fake za kupunguza makali ya virusi vya ukimwi. Katika sakata hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.