Mtimanyongo wa ITV kwa chama cha CUF.

propagandist

Member
Aug 12, 2011
93
9
TV hii imekuwa ni kawaida yake katika kuonesha na kuripoti habari za chama cha wanainchi CUF imekuwa ni kawaida kutoa picha ambazo lengo lake ni kuwakatisha tamaa wafuasi na wanachama wa CUF Kwa kupiga picha za pembeni kabisa ya mkutano sehemu yenye umati wa watu huwa hawapeleki Camera, imefanyika hivyo mkutano wa CUF wa Arusha na baadaye TV hiyo ikaja kuumbuliwa na Mlimani TV kwa kuonesha umati uliofurika uwanjani na kufuatiwa na magazeti, mf. mzuri gazeti la Fahamu mwanainchi. Leo tena wamerudia yale yale kwa kupeleka Camera sehemu ya viongozi, tunashindwa kutambua vitendo hivyo wanavyokifanyia chama cha CUF ni kwa faida ya nani? au kwa faida ya chama gani? kama mnaona hamtaki kuonesha habari za cuf kwa ufasaha kwa nini mnapata tabu kwenda kwenye mikutano yao tafuteni habari zingine. CUF ipo ndani ya mioyo ya wana CUF hamtaweza kuiua au kuidhofisha mtakufa nyie CUF itabaki.
 
Gazeti la Fahamu linamilikiwa na CUF.Mkutano wa CUF leo watu waliokuwepo hawakuzidi 100.Tuukubali ukweli hata kama ni mchungu.
 
TV hii imekuwa ni kawaida yake katika kuonesha na kuripoti habari za chama cha wanainchi CUF imekuwa ni kawaida kutoa picha ambazo lengo lake ni kuwakatisha tamaa wafuasi na wanachama wa CUF Kwa kupiga picha za pembeni kabisa ya mkutano sehemu yenye umati wa watu huwa hawapeleki Camera, imefanyika hivyo mkutano wa CUF wa Arusha na baadaye TV hiyo ikaja kuumbuliwa na Mlimani TV kwa kuonesha umati uliofurika uwanjani na kufuatiwa na magazeti, mf. mzuri gazeti la Fahamu mwanainchi. Leo tena wamerudia yale yale kwa kupeleka Camera sehemu ya viongozi, tunashindwa kutambua vitendo hivyo wanavyokifanyia chama cha CUF ni kwa faida ya nani? au kwa faida ya chama gani? kama mnaona hamtaki kuonesha habari za cuf kwa ufasaha kwa nini mnapata tabu kwenda kwenye mikutano yao tafuteni habari zingine. CUF ipo ndani ya mioyo ya wana CUF hamtaweza kuiua au kuidhofisha mtakufa nyie CUF itabaki.

Endelea na propaganda zako wakati ukweli unaujua.
 
weka basi wewe hizo picha zinazoonyesha CUF walifurika huko bukoba ili tuamini ITV inawaonea
 
nkutanio wa juzi arusha tv imani kwa mara ya kwanza niliwaona wakichukua matukia vipi leo hawakuchua..halafu kwanini cuf mligawa vipeperu misikitini na hamkufanya hivyo makanisani lakini na shukru waislam wa Arusha waliwapuua hawakuja kuwapokea lipumba wana hawakuja kwenye mikutano..safi sana waislam wa arusha
 
Just pole zako,itv hawawezi kuunganisha picha za zamani na za sasa wanarusha habari mpya sio tbc hata taarifa ya tume ya haki za binadamu na utawala bora hawakurusha sababu imelaumu serikali na polisi kuhusu mauaji ya iringa
 
weka basi wewe hizo picha zinazoonyesha CUF walifurika huko bukoba ili tuamini ITV inawaonea

Nafahamu bukoba na siasa za pale, japo sijaona huo mkutano kwenye tv najua wanaoweza kukusanya watu wengi pale kwenye mambo ya siasa ni Lwakatare na kagasheki tu, CUF pale ilishapotea tutawaonea itv tu
 
Jamani ITV kwanini mnawaumbua wenzenu? Lakini CUF si ipo serikalini kwanini TBCCCM haijaonyesha mkutano wa washirika wao?
 
TV hii imekuwa ni kawaida yake katika kuonesha na kuripoti habari za chama cha wanainchi CUF imekuwa ni kawaida kutoa picha ambazo lengo lake ni kuwakatisha tamaa wafuasi na wanachama wa CUF Kwa kupiga picha za pembeni kabisa ya mkutano sehemu yenye umati wa watu huwa hawapeleki Camera, imefanyika hivyo mkutano wa CUF wa Arusha na baadaye TV hiyo ikaja kuumbuliwa na Mlimani TV kwa kuonesha umati uliofurika uwanjani na kufuatiwa na magazeti, mf. mzuri gazeti la Fahamu mwanainchi. Leo tena wamerudia yale yale kwa kupeleka Camera sehemu ya viongozi, tunashindwa kutambua vitendo hivyo wanavyokifanyia chama cha CUF ni kwa faida ya nani? au kwa faida ya chama gani? kama mnaona hamtaki kuonesha habari za cuf kwa ufasaha kwa nini mnapata tabu kwenda kwenye mikutano yao tafuteni habari zingine. CUF ipo ndani ya mioyo ya wana CUF hamtaweza kuiua au kuidhofisha mtakufa nyie CUF itabaki.

Chezea ITV weye!!!
 
cuf cuuf cuuufffffff.
kama mlivodanganya arusha kwa kubeba watu mnataka ITV nao wadanganye umma kwa maslahi yenu?
 
Back
Top Bottom