Operation maandalizi 2015 yaendelea... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Operation maandalizi 2015 yaendelea...

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by gurumeti, Sep 26, 2012.

 1. g

  gurumeti Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Katika hatua ya kujiandaa mbio za urais mwaka 2015 bado zinaendelea. Hatua ya kwanza ambayo ni muhimu ndani ya chama CCM imekamilika. Wadau na makada wamepigwa na butwaa kwani bado zamu za Makatibu wa CCM, DCs, Wakurugenzi wa Halmashauri, RCs zinakuja hivi punde! Hakika karata hizi zikichezwa vizuri ccm ina nafasi kubwaya kushinda!
   
 2. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mbona bado unandoto za Unapetism...... Mie binafsi naona mnaunda KIKOSI CHA WACHIMBA KABURI la CCM
   
 3. M

  Malata Junior JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,780
  Likes Received: 1,207
  Trophy Points: 280
  mlikoharibu ni kuwarudisha mafisadi kundini
   
Loading...