Kuna kila sababu ya kurejesha jamhuri ya zanzibar (sovereign zanzibar) ndani ya muungano

Jamhuri ya Zanzibar

Senior Member
Jul 17, 2012
126
195
Karume: Muungano ni kama koti likitubana tunavua.
CCM Kisonge: Tunataka tukohoe ndani ya Muungano.
Mwanasheria mkuu Zanzibar: Lazima Zanzibar tutoke katika boksi la Muungano. Tulijenga nyumba pamoja haiwezekani tukae bomani.
Waziri Mansoor Yussuf Himid (CCM): Kwa muundo huu wa Muungano nasema "seebuu"
Mzee Moyo (Muasisi): Nasema muundo ninaouwafiki sasa na muundo wa muungano wa MKATABA wa kuirejeshea Zanzibar Sovereignity yake. Muundo wa serikali mbili uliopo umepitiwa na wakati.
Amani Karume: Vijana speed iwe hiyo hiyo (daini sovereignity ya Zanzibar) lakini mkikuta cross punguzeni kidogo
 
Attachments

  • baba-wa-taifa-la-zanzibar-sheikh-abeid-kmani-karume-rais-wa-kwanza-wa-zanzibar.jpg
    baba-wa-taifa-la-zanzibar-sheikh-abeid-kmani-karume-rais-wa-kwanza-wa-zanzibar.jpg
    12.6 KB · Views: 63
  • baisa_zanzibar.jpg
    baisa_zanzibar.jpg
    28.1 KB · Views: 92
  • flag.jpg
    flag.jpg
    871 bytes · Views: 301
  • Zanzibar_UN.jpg
    Zanzibar_UN.jpg
    22.1 KB · Views: 52
kama hujui sovereign partner states ndani ya muungano kasome aina mbali mbali za miungano duniani. Sisi wazanzibari si washenzi hatujui kutukana, matusi si jadi yetu.
 
hii ni ndoa ya milele,sisi tunajua kuoa tu kuacha haiwezekani.zenj heshimu ndoa hii.
 
sipendi hii ndoa kweli inahitaji kuvuliwa rasmi please let them gooooooo!!!
 
kama hujui sovereign partner states ndani ya muungano kasome aina mbali mbali za miungano duniani. Sisi wazanzibari si washenzi hatujui kutukana, matusi si jadi yetu.

mkuu umeongea kiustarabu sana ila ukweli hapo kwenye red sio kweli mna maneno ya machukizo sana kuliko hata sisi sema tu mwezi huu haukuruhusu kusema maneno mabaya kwenye blog zenu mnaongea vibaya sana ukweli ni jadi yetu hili msikatae.
 
Kwa kupenda kubebwa bebwa Zanzibar hamjambo.
Sasa Sovereign State ndani ya Muungano ndo maana yake nini?
Ni heri tuwapakate tu.

Scotland imo katika Muungano wa United Kingdom...lakini scotland wako na Serikali yao huru inayoweza kufanya mambo yake wenyewe ndani na nje ya Scotland na ina wabunge pia wanaoiwakilisha scotland ndani ya House of Common UK Parliment, wako na Central Bank yao, wako na pesa yao vile vile wanakuwemo katika FIFA World Cup as Sotland team.
images
images

WA TANGANYIKA TUWACHE UJAMBAZI WA KUIWEKEA UBAVU ZANZIBAR SIO KITU KIZURI TUWAACHENI NA WAO WAFANYE MAMBO YAO KIVYAO KATIKA NCHI YAO....HATA MOLA MUNGU ANAJUA KAMA TUNAWAFANYIA FAUL WAZANZIBARI:hat:
 
..Hii habari inanishangaza sana.

..Kila siku mlikuwa mkipiga makelele mkitukana wa-Tanganyika kwamba wameleta popo bawa, ukimwi, ukosefu wa ajira, na kila aina ya uchafu.

..sasa ni kitu gani kimetokea mpaka mmelegeza msimamo wenu sasa mnataka muungano, mara mkataba, mara "muungano wa uswisi" na MAKAFIRI wa Kitanganyika?

..kwanini tusiachane tu na kama kuna masuala ya kushirikiana basi yapitishwe ktk jumuiya ya Afrika Mashariki?
 
Masyopakindi nakubaliana nawe. Zanzibar wachague kukaa kwenye muungano au kujiondoa vinginevyo wanatuchanganya nakujichanganya. Wasipende kulalamikalalamika. Wasimame kishujaa waachane na muungano waone kama ni uamuzi bora au wabaki kwenye muungano wanyamaze kama watanzania wengine. Inatia uchungu kuona kijipande cha ardhi kisicholingana na hata wilaya ya Lushoto kutaka makuu. Kama shida ni muungano si tuungane na Malawi ili kuondoa ugomvi wa ziwa Nyasa kuliko kuendelea kubeba watu wasiobebeka wala wasio na shukrani.
 
kama hujui sovereign partner states ndani ya muungano kasome aina mbali mbali za miungano duniani. Sisi wazanzibari si washenzi hatujui kutukana, matusi si jadi yetu.

Nani anatukana? ni nyinyi ndio mmekataa kabisaa hata originality yenu Tip Tip aliwachuwa wengi toka

unyamwezini kwenda Zanzibar sasa hamtaki kuitwa WABANTU mnajiona BORA MWARABU hakuwaletea UTAMADUNI

MWARABU alileta DINI ili kuwa-assimilate na kuwatawala vizuri na aliwabagua kwa RANGI... Sasa NYIE MNALETA

UBAGUZI kwa watu wa BARA kwa RANGI... Mnajiita WASTAARABU sio WABANTU... Mnajiona sasa hivi Mko

Karibu na Oman zaidi ya Kidamu na Wa Nyamwezi...
 
Karume: Muungano ni kama koti likitubana tunavua.
CCM Kisonge: Tunataka tukohoe ndani ya Muungano.
Mwanasheria mkuu Zanzibar: Lazima Zanzibar tutoke katika boksi la Muungano. Tulijenga nyumba pamoja haiwezekani tukae bomani.
Waziri Mansoor Yussuf Himid (CCM): Kwa muundo huu wa Muungano nasema "seebuu"
Mzee Moyo (Muasisi): Nasema muundo ninaouwafiki sasa na muundo wa muungano wa MKATABA wa kuirejeshea Zanzibar Sovereignity yake. Muundo wa serikali mbili uliopo umepitiwa na wakati.
Amani Karume: Vijana speed iwe hiyo hiyo (daini sovereignity ya Zanzibar) lakini mkikuta cross punguzeni kidogo

Sasa hapo Unachangaya KARUME hakumpenda HUYO MFALME WA ZANZIBAR sasa UNONYESHA PRSA ZA MFALME

KAMA VILE WALIKUWA WANAHUSIANA...
 
neno "mshenzi" ni neno la kawaida likimaanisha mtu ambae hakustaarabika. Sio tusi by its nature, kasome tena, sishangai kiswahili ni cha zanzibar.
mkuu umeongea kiustarabu sana ila ukweli hapo kwenye red sio kweli mna maneno ya machukizo sana kuliko hata sisi sema tu mwezi huu haukuruhusu kusema maneno mabaya kwenye blog zenu mnaongea vibaya sana ukweli ni jadi yetu hili msikatae.
 
hapo hukufundishwa mahusiano ya karume na mfalme wala hatuzungumzii historia ya wafalme, sisi leo tunajadili ya wakati uliopo sio historia. hapo unafundishwa kuwa zanzibar kwa makarne ilikuwa dola lenye kila kitu kabla ya Tangannyika.
Sasa hapo Unachangaya KARUME hakumpenda HUYO MFALME WA ZANZIBAR sasa UNONYESHA PRSA ZA MFALME

KAMA VILE WALIKUWA WANAHUSIANA...
 
karume kwa taarifa yako hakuchukia mwarabu alichukiwa mfumo wa kifalme. Hakuwahi kuishi na mke asiyekuwa mwarabu. watoto wake wote ni makinda ya kibantu na kiarabu kama mimi. kabla ya kufariki alizifuta chuki zote za uarabu-uafrika alizozileta nyerere kwa target dhidi ya uislamu na zanzibar. baada ya karume kuwa destroyed na nyerere kwa kudai hadhi ya nchi yake, kazi hiyo sasa ni ya Dr Shein, Maalim Seif, Mzee Moyo, Amani Karume wakiwa na vijana wao tunasubiri time. kaa mkao wa kula 2014 utazipata habari za zanzibar
Sasa hapo Unachangaya KARUME hakumpenda HUYO MFALME WA ZANZIBAR sasa UNONYESHA PRSA ZA MFALME

KAMA VILE WALIKUWA WANAHUSIANA...
 
Scotland imo katika Muungano wa United Kingdom...lakini scotland wako na Serikali yao huru inayoweza kufanya mambo yake wenyewe ndani na nje ya Scotland na ina wabunge pia wanaoiwakilisha scotland ndani ya House of Common UK Parliment, wako na Central Bank yao, wako na pesa yao vile vile wanakuwemo katika FIFA World Cup as Sotland team.
images
images

WA TANGANYIKA TUWACHE UJAMBAZI WA KUIWEKEA UBAVU ZANZIBAR SIO KITU KIZURI TUWAACHENI NA WAO WAFANYE MAMBO YAO KIVYAO KATIKA NCHI YAO....HATA MOLA MUNGU ANAJUA KAMA TUNAWAFANYIA FAUL WAZANZIBARI:hat:

haya yote lawama ziende kwa ccm .miaka 50 wameshindwa kuleta maendeleo ata kwenye wilaya moja tuu ya zanzibar .shame to ccm
 
Nadhani wakati umefika sasa tuwatue, mnakera-mnachosha.Tanganyika yetu hatuna, Zanzibar inafaida sana muungano kuliko Tanganyika ila mnanung'unuka kila siku.
Heri yenu ni CCM ibaki madarakani, mkisikia wametoka mjue TUNAWAFUKUZA.
Ila mjue the moment mnatoka Tanzania, Pemba Vs Unguja HAPOTOSHI.Tumewasaidia sana ktk hili ila HAMBEBEKI-TUMEWACHOKA.Msibembeleze mngeondoka tangu jana. Serikali tatu hatutaki, ni moja tu KAMA HAMTAKI CHAPENI MWENDO
 
hapo hukufundishwa mahusiano ya karume na mfalme wala hatuzungumzii historia ya wafalme, sisi leo tunajadili ya wakati uliopo sio historia. hapo unafundishwa kuwa zanzibar kwa makarne ilikuwa dola lenye kila kitu kabla ya Tangannyika.

Yeah, Nadhani Mmeweka Maoni yenu kwenye KATIBA mpya; Na lazima yatekelezwe... Scotland, Wales na N. Ireland

ziko kwa England for centuries... sasa wanataka kujitoa wameamua kutumia SHERIA zao za kujiondoa; Hawatukani;

Sidhani wewe bila Mwafrika wa Bara Ungezaliwa... Hawasemi wazungu wa England sio bora... kama nyio Mnaona

Sio Wabantu hata kama ni weusi tiii... bado mtasema Oh Sisi ah wa Omani...

Be real... Mnajifanya kusahau Mfalme alivyowatesea???
 
karume kwa taarifa yako hakuchukia mwarabu alichukiwa mfumo wa kifalme. Hakuwahi kuishi na mke asiyekuwa mwarabu. watoto wake wote ni makinda ya kibantu na kiarabu kama mimi. kabla ya kufariki alizifuta chuki zote za uarabu-uafrika alizozileta nyerere kwa target dhidi ya uislamu na zanzibar. baada ya karume kuwa destroyed na nyerere kwa kudai hadhi ya nchi yake, kazi hiyo sasa ni ya Dr Shein, Maalim Seif, Mzee Moyo, Amani Karume wakiwa na vijana wao tunasubiri time. kaa mkao wa kula 2014 utazipata habari za zanzibar
i=
Nyerere alimdestoy vipi Karume?... 2014 unaona hayo kila siku Mnatisha Watanganyika Mkidhani sisi Wananchi

Tunautaka huo Muungano alahaula ni CCM tu; Kama CHADEMA kikichukua MUUNGANO bye bye

Hauna ulazima kwa ukweli na Unajua Kuna Wazanzi-bara 300,000 - Dar; 60,000 - Mwanza; 30,000 - Tabora

Hakikisheni Wanaondoka kabla ya huko MKAO WA KULA 2014
 
Back
Top Bottom