Maswali 7 ya wazi kwa Zito ZK: Tangazo la ugombea Urais 2010 na 2012 linaashiria nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali 7 ya wazi kwa Zito ZK: Tangazo la ugombea Urais 2010 na 2012 linaashiria nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bill, Oct 12, 2012.

 1. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,159
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  ZZK, mwaka 2010 na baadae mwaka huu 2012 umetangaza nia ya kugombea urais ifikapo 2015, sio jambo baya. Lakini nina maswali yafuatayo:

  1. [*=1]Je ni kwa nini mwaka 2010 wakati wa kampeni, chama chako kikiwa na mgombea aliyekuwa na matumaini makubwa ya kushinda wewe ulitangaza nia ya kugombea urais 2015?
   [*=1]Je, ulijua mgombea wa chama chako 2010 asingehinda?
   [*=1]Ama Je, ulijua yale yaliyokuwa yanatamkwa na mnajimu Sheikh Yahaya yangetimia?
   [*=1]Au, Je ulijua baada ya kuongea na Jack Zoka - TISS kuwa huyu mgombea wenu asingeshinda na nini kingefuata baada ya hapo?
   [*=1]Je unaweza kutuambia ni nini kitatokea na kumfanya mgombea wenu wa 2010 asigombee tena 2015 ili kukupa nafasi wewe ya kugombea?
   [*=1]Wakati unatangaza nia 2010 na 2012, unajua kuwa katiba haikupi nafasi, je umeshaongea na mkuu wa nchi kakuhakikisha katiba itakuruhusu?
   [*=1]Je unafanya jitihada zozote kuhakikisha chama chako kinapata uungwaji mkubwa wa mkono wa Watanzania hasa Vijijini?

  Naomba unipatie majibu, na hata usiponipatia mimi soma haya maswali na kisha ujijibu mwenyewe.

  Asante kwa kusoma na nakutakia kila la heri katika ujenzi wa Taifa.​
   
 2. s

  sverige JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Sasa ajibu nini
   
 3. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,357
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Yeah! Maswali ya msingi hasa!
   
 4. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Zito hawezi kuja kijibu unless kama kuna issue ya waziri wa nishati Muhongo,yule mkongo ana matatizo sana
   
 5. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ukionna mtu anajiandaa kuvunja katiba kwa jambo kubwa kama la urais ujue kuna kitu hakiko sawa.
  si vibaya kuota kuwa umekanyagwa na treni na hukufa ila ni mbaya kama utaifanyia practice hiyo ndoto.
   
 6. C

  Concrete JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kumbuka pia kumuuliza kwa nini mwaka 2011 alianza kwa kukanusha kuwa aliwahi kusema kuwa anampango wa kugombea urais?
   
 7. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  "Ukimchekea Nyani Utavuna Mabua"
  Nilijiuliza sana mwaka 2010, alipowatangazia ndugu zake kule Kigoma kwamba atagombea uraisi 2015.Nilijiuliza kwasababu kuu moja au mbili."kwanini atangaze uraisi wakati yeye alikua akigombea Ubunge? na pili Je;alikua na lengo la Kumblock Dr. Slaa ili asichaguliwe kugombeakwamara ya pili?Kwani inavyojulikana Dr. bado ana nguvu na anakubalika, kwa busara ya kawaida inabidi apewe walau nafasi ya mwisho, ili akishindwa then Tuangalie mwingine.
  Kwa upande mwingine naona kama vile anatumiwa na swahiba wake E.L ili ikifika 2015, akimege chama , na kura zigawanyike.Bado nafuatilia kwa karibu,lakini pia najaribu kutafuta muda wa kuonana nae tuchat kidogo.
   
 8. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Nimwamini nani?? wanasiasa vigeugeu!! 2015 tusipokuwa makini tunaweza kupata rais FISADI papa-nyangumi kuliko hata
  baba mwanaasha Dhaifu.
   
 9. p

  propagandist Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaomkataa ZZK wengi wanasukumwa na Udini,
   
 10. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  dalili za chuki binafsi hizo.
   
 11. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye red naomba msaada wako kidogo mkongo nani??
   
 12. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu zito kabwe walikimbia vita wakati wanajaribu kumtoa Mobutu miaka ya nyuma,kwa vile alikulia pale kigoma niyo hivyo tena keshakuwa raia,sawa bwana wanatusaidia lakini
   
 13. Super H

  Super H JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 1,004
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  akajiunge na cuf tujue moja
   
 14. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,159
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Hakuna aliyetaja udini isipokuwa wewe, na kwakuwa hii dhana ya udini iko akilini mwako, wewe ndiye mdini, na kwakuwa unakimbilia dhana dhaifu kama hii kujikinga wewe pia ni DHAIFU
   
 15. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,797
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Unakosea unasema hivo, huenda wapo wengi wanaomuunga mkono ila kabla ya kumkubali moja kwa moja lazima wadodose nia yake hiyo na sababu za kugombea urais na kupima uwezo , upeo na uadilifu wake tusije fanya kosa kama tulilofanya la kumpa vasco kwa kudanganywa ni chaguo la mungu kumbe ni chaguo la mafisadi! Watanzania wenzangu nawakumbusha na kuwasihi sana tusipende kuchochea chuki za udini na ukabila, angalieni kinachotokea Nigeria, kilichotokea Rwanda wakati wa genocine na kilichotokea Kenya wakati wa uchaguzi! Mkristu, Muislamu, Mpagani wote wanahitaji shule, huduma za afya., maji safi, barabara, umeme, nyumba ya kuishi, mavazi, chakula, na kikubwa uhuru wa kuabudu na kufanya chochote bila kuvunja sheria, kama taifa kwa umoja wetu tudai hayo, chuki za udini na ukabila na ukanda haiztatusaidia na zitawapa mafisadi na mabeberu kuendelea kufyonza rasilimali zetu huku sisi tukifa maskini na malumbano ya dini na kabila zetu!
   
 16. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hawezi kuja kujibu kwa sasa anatafuta first lady...!
   
 17. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Kiongozi bora na makini ni yule anayeheshimu katiba ya nchi na utawala wa sheria. Kwa mujibu wa katiba ya sasa Zitto anaikiuka hivyo si kiongozi anayetufaa!

  Bora angekazania kuwashawishi wananchi ili wajenge hoja nzito katika mabadiliko ya katiba yajayo kupunguza umri wa mgombea urais kutoka miaka 40 mpaka labda miaka 30!
   
 18. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Zitto come this way mkuu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. p

  promi demana JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zitto atahaibika kwenye kura za maoni.
   
 20. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Duh, ndoto kama hizi unaota kama una malaria plus plus.
   
Loading...