Katika kudhihirisha kuwa wako juu ya sheria na hakuna wa kuwagusa,polisi mkoani Mwanza wamekosa kumwua afisa uhamiaji.
Kwamjibu wa afisa huyo amedai mpango wa kumwua ulikuwa umepangwa na afisa...
Taasisi ya utafiti na kuibua matatizo yanayowakabili wakazi wa Jiji la Dar es Salaam (Sikiliza) imebaini kwamba jiji hilo limekithiri kwa rushwa, vurugu, pamoja na wizi kwa asilimia 55.
Akitoa...
Kumbe siko mwenyewe kwa wale wanaoshangazwa na ripoti ya Ngwilizi kucheleweshwa na kuendelea kupigwa danadana,whats going on?Je hizi kukurukakara za mbunge wa upinzani ndugu Zitto anataka...
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo, akiojiwa kamanda kamuhunda kuhusu kifo cha mwangosi alisema "Kazi yetu ni kutekeleza majukumu na maagizo tu na mimi niliyafanya hayo yote."
Unaona...
Ndimi mbili za Zitto na kisa cha mkata kuti alilokalia
Evarist Chahali
Uskochi
Toleo la 262
10 Oct 2012
MIONGONI mwa faida ninazopata kutokana na uandishi wa makala katika jarida hili...
By Nyasa Times Reporter October 13, 2012
Malawi government has asked United Nations (UN) Secretary General Ban Ki-moon to mediate the decades-long border dispute with Tanzanian over Lake...
Na yasema haya kwa uchungu na kwa uangalifu mkubwa kwasababu naipenda nchi yangu , Niwazi sasa hivi nchi inaendeshwa kwa mashindano kwa viongozi kutaka kujaribu kufanya mambo mengi kwa wakati...
Wapenyeza rushwa kuivuruga
Vigogo CHADEMA washitukia
KATIKA kile kinachoonekana mkakati wa kuupata Urais kwa gharama zozote, kigogo mmoja anayetajwa kuwania nafasi hiyo ya juu, anadaiwa sasa...
VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamenusurika kutekwa baada ya gari lao aina ya Toyota Opa lenye namba za usajili T 850 BLK, kushambuliwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa...
Katika hali inayoleta matumaini kituo cha haki na sheria kimeishaki serikali katika mahakama ya icc.
Akizungumzia hatua hiyo bibi helen kijo,alisema hatua hiyo ni ya mwanzo na hawatarudi nyuma...
Na Walter Mguluchuma
Mpanda.
Mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Katavi umewachagua viongozi wake watakao kiongoza chama hicho katika mkoa huo kwa kipindi cha miaka mitano...
Katika Mazingira ya kutatanisha, Chadema wamekuwa wazito kutoa tamko pale maswara nyeti yanapokuwa yanawahusu.
Madiwani wa Chadema walipanga njama za kwenda kujirusha Rwanda, kwa matumizi...
program ya operation sangara zindua tabora inayoratibiwa na bavicha wilaya tabora,inaendelea kesho saa tisa alasiri maeneo ya kata ya isevya sokoni.makamanda na viongozi mbali mbali kutoka...
Nimekuwa nafuatilia taarifa toka serikalini muda mrefu sasa kuwa kati ya nchi zilizowekeza hapa TZ nchi ya Uingereza ndo inaongoza ikifuatiwa na Kenya. Ni jambo zuri kupata wawekezaji japo Tz...
Waungwana umeme na daraja la Kilombero vitakamilika lini? kwani wakati wa kampeni tuliletewa mpaka mameneja wa Tanesco na kutudanganya kuwa wataleta umeme, kujenga barabara ya lami na Daraja la...
WAZIRI Mkuu mstaafu wa Tanzania, Frederick Sumaye, amewalipua viongozi wa sasa wa serikali akiwemo Rais Jakaya Kikwete kwa hatua yao ya kuruhusu baadhi ya wanafamilia wao kuwania vyeo vya juu vya...
Na Francins Godwin Mzee wa matukio Daima- Iringa
MBUNGE wa jimbo la Mufindi kusini Mendrady Kigola aishauri serikali kutowaruhusu wawekezaji wasiojua Kiswahili kufika kuwekeza katika jimbo lake...
Nimefuatilia historia ya maraisi wa Tanzania kumbe hakuna hata mmoja alistaili kuwa raisi.naanza na Nyerere alipokabidhiwa nchi na wakoloni alianza kutaifisha nyumba za watu na shule za dini na...
Serikali 'yaburuzwa' ICC
Na Beatrice Shayo
13th October 2012
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Dk. Helen Kijo Bisimba, akisisitiza jambo wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.