Wanawake Viongozi Tanzania bado saaana!!

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,930
3,227
Angalia Sample - M/S Zakia Meghi

Wizara ya Mali asili ilioza kwa ufisadi - akaja Wizara ya fedha - waka EPA na majengo pacha

Haya Bungeni mama Kiroboto

haya tena tunamtaka aliyetoka UN....

sasa tunaiweka Tanzania katika majaribio.....

Wanawake waishie uwaziri fullstop

Chonde chonde, kumweka Mwanamke Uraisi 2015 ni kuchimbia nchi kaburini

jamani, mmemsikiliza Catherine BBC..... Kamshinda Zakia meghi kwa hoja
 
Nimeshasema na ntasema tena kwamba hakuna vya gender tena,alichonitendea mama Makinda sitakisahau maana ningekua nimeshachukua milioni zangu za NSSF nafanya biashara yangu lakini yeye na wabunge wake wa ndiyoooooooooooo wakapitisha sheria za kipumbavu kama vile walikuwa wamelewa kimpumu ya kule kwetu Katavi. BIG BIG BIG NO WOMAN AGAIN
 
Angalia Sample - M/S Zakia Meghi

Wizara ya Mali asili ilioza kwa ufisadi - akaja Wizara ya fedha - waka EPA na majengo pacha

Haya Bungeni mama Kiroboto

haya tena tunamtaka aliyetoka UN....

sasa tunaiweka Tanzania katika majaribio.....

Wanawake waishie uwaziri fullstop

Chonde chonde, kumweka Mwanamke Uraisi 2015 ni kuchimbia nchi kaburini

jamani, mmemsikiliza Catherine BBC..... Kamshinda Zakia meghi kwa hoja
hata uwaziri umewasifia. wanawake wanafaa kua manaibu mawaziri. wizara ambazo wanawake wanaweza kua mawaziri ni wizara ya wanawake na watoto. na labda wizara ya michezo
 
Aaaaaghrr - Wamefanyaje kupinga ufisadi na kuepuka mfumuko wa bei?

Si ndio hao hao wameleta ARV feki...
 
wote mna mawazo mgando bt c kosa lenu ila mfumo dume mlolelewa,huyu kikwete amefanya kipi cha maana kama kiongoz mwanaume? Akil ya african man ziko kwenye pichu 24 hrs!
 
Back
Top Bottom