Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 7,419
- 14,191
Sasa hii ndiyo apartment tatu mkuu. Hebu eleze poa ama mie mshamba wa mambo
Jengo hilo moja linaSasa hii ndiyo apartment tatu mkuu. Hebu eleze poa ama mie mshamba wa mambo
Nioneshe ilipokuwa inauzwa 29...acha kuchafua kazi za watu..Ilikua inauzwa mil 29 kweli mnajua kukamatia fursa
Kwa kusaidia share ilipokuwa inauzwa 29...ili wati waokoe pesa zao...Ilikua inauzwa mil 29 kweli mnajua kukamatia fursa
Nichafue kazi ya mtu ili iweje? Sikumbuki mtandao gani ila ilikua inauzwa mil 29 week ago!Nioneshe ilipokuwa inauzwa 29...acha kuchafua kazi za watu..
Sasa utamsaidiaj mtu anayetaka kununua kwa mil 29... Na wakat hujui hata ilipokuwa inatangazwa...Nichafue kazi ya mtu ili iweje? Sikumbuki mtandao gani ila ilikua inauzwa mil 29 week ago!
Mwache afanye biashara yakeNioneshe ilipokuwa inauzwa 29...acha kuchafua kazi za watu..
Kumbe uko kazini? ila sioni apartment hapo au mimi sijui maana ya apartmentNioneshe ilipokuwa inauzwa 29...acha kuchafua kazi za watu..
0677 818283No ya simu iko wapi?
Karibu mkuuBei nzuri sio mbaya.
9, 13,15 bei rahis?Kiwanja kipo Mbezi Kwa Msuguri sehemu inaitwa Bwaloni.
MBEZI HII YA STAND MPYA YA MKOA
Umbali kutoka Morogoro Road ni kilometer 2 Tu
Viwanja viko sehemu nzuri kweli kweli ni majumba mazuri na makubwa yamejengeka hapo.
VIWANJA NA BEI
Mita 20×20=Million 13.5
Mita 20×25=Million 15.5
Mita 15×20=Million 9
ENEO NI ZURI NA TAMBARARE
0677 818283
View attachment 1821825