madale

Madale Beach (Indonesian: Pantai Madale), is a beach in Poso Regency, Central Sulawesi Province, Indonesia, about 5 kilometres (3.1 mi) northeast of Poso town. Surrounded by tropical and mangrove forest, the white sand beach is a notable snorkeling spot. Rumah Katu Marine Park is located here.According to the Indonesian Ministry of Tourism, the waves in Madale is relatively quiet, so tourists can snorkel or dive without hesitation.The largest and only coral reef on Sulawesi Island, located on Madale. With a depth exceeding 40 m, marine species such as sponge, giant crabs, and black-striped shark live here.Destruction of coral reefs often occurs here. Fishermen's primitive methods to get results using fish bombs, eventually making the top of the coral wall being damaged.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Natafuta kiwanja cha kununua Madale

    Habari za mchana ndugu zangu, Natafuta kiwanja kisichokua na mgogoro na kilichopimwa maeneo ya Madale Mivumoni au karibu na apo, kiwanja kiwe na ukubwa wa 800sqm na budget isizidi 30M. Ahsante.
  2. neggirl

    Nafasi ya Kazi -Kuuza Duka (Location: Madale)

    Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/04/2024) 🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi. 🔸ANAEJUA HESABU. 🔹Umri miaka 25 au zaidi. 🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au maeneo mengine jirani. Njoo DM kwa maelezo zaidi na mawasiliano. MWENYE UZOEFU ATAPEWA KIPAUMBELE
  3. Mangi wa Rombo

    DOKEZO Hali ya Barabara ya Madale Mwisho-Mbopo-Mabwepande ni mbaya sana

    Habari! Napenda kuchukua nafasi hii kuwasilisha kilio cha Watanzania wanoishi na kutumia barabara ya kuanzia madale mwisho kwenda mbopo had mabwepande. Hali ya barabara hii ni mbaya, ukijumlisha na mvua zinazoendelea! Barabara zimekatika na kutenganishwa na maji, tunalipia kubebwa migongoni...
  4. A

    MADALE: Kero ya Kukatiwa maji bila maelezo na kijana wa DAWASCO

    Habari wana JF. Niende moja kwa moja kwenye kelo yangu juu ya Dawasco. Kumekuwa na changamoto ya kukatiwa maji mara kwa mara na baada ya kukata huyu kijana hatoi maelezo kwa mhusika. Akishakata huwa anadai 15000 kurejesha maji. Navyoelewa mteja anatakiwa kupewa taarifa ya mdomo kisha barua ya...
  5. Roving Journalist

    Barabara ya Madale haifanyiwi usafi, imejaa michanga na kusababisha utelezi

    Mdau wa Jamii Forums amelalamika kuwa kuna kero huku Madale, Barabara ya Wazo Madale tangu iwekwe lami haifanyiwi usafi kiasi cha mchanga na udongo kujaa na kufunika sehemu kubwa ya Barabara, hali hiyo inasababisha utelezi hasa wakati wa mvua. Viongozi wa Serikali za Mtaani kama wamelala...
  6. ARGAN MARA

    Plot4Sale Kiwanja kiunauzwa Madale

    Kiwanja kiunauzwa kipo madale kina uku wa square meter 520 Tsh 9,000,000 kina barua ya manunuzi kutoka serikali ya mtaa huduma zote za kijamii zipo Tuwasilane 0686995586 karibu sana.
  7. Roving Journalist

    Dar: Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbovu

    Barabara ya kwenda Mbopo kupitia Madale Mikoroshini, Bwawani hadi Panga Boy ni mbaya, kipande cha kutoka Panga Boy hadi Mbopo kiasi fulani imerekebishwa. Wananchi waiomba Serikali iwatazame kwa jicho la Huruma. Awali kuna mtu alilalamika mtandaoni kwa kuandika: “Tunaomba mtusaidie Barabara ya...
  8. BigTall

    Barabara ya Madale Mwisho ni mbovu sana

    Tunaomba Serikali itusaidie Barabara ya Madale Mwisho kwenda Mbopo kupitia Mikoroshini, Barabara ni mbovu sana na usafiri wa huko ni Bodaboda tu, wanapandisha bei mara iwe shilingi 2,000 mara shilingi 1,500.
  9. Mamujay

    Maajabu niliyoyafanya kwenye nyumba Madale

    Nyumba hii tunafumua bati tunapiga kozi moja baadae tunaezeka kisasa fundi alipiga bati kizamani sisi kazi yetu hapa kufanya maajabu ukitaka kazi zetu Tumeokoka tunapiga kazi safi hatuna shida na mtu picha za kazi hii utaziona kwenye comments nitazituma zote
  10. Kindeena

    Mtoto mchanga ameokotwa Madale

    Mtoto mchanga ameokotwa leo alfajiri, Novemba 02, 2022 akiwa hai, baada ya kutupwa katika maeneo ya Madale. Mtoto huyo anayedhaniwa kuzaliwa muda mfupi kabla ya kutupwa, amefikishwa kwenye zahanati ya Madale kwa matibabu zaidi. Chanzo: ITV
  11. Beah

    Plot4Sale Nunua kiwanja chenye pagale Madale Flamingo sasa kwa bei ya milioni 40

    NUNUA KIWANJA CHENYE PAGALE MADALE FLAMINGO SASA KWA BEI YA MILIONI 40 MAZUNGUMZO YAPO KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI. WAHI KABLA HAKIJAWAHIWA ●Kiwanja pamoja na nyumba kimepimwa ukubwa Sqm 800 ●Huduma za kijamii zote zipo karibu SIFA ZA PAGALE ●Vyumba 3 viwili ni self kimoja normal ●Jiko...
  12. J Mbungi

    Unahitaji kiwanja,shamba?!(Bagamoyo,Kerege,Kimere,Mbezi -standi ya Magufuli,Msumi au Madale?! (Kuanzia Milioni5- 50M)

    Wapendwa wana Jamvi, Sisi ni mabingwa wale wale wa kuuza viwanja, na mashamba. Viwanja na mashamba tunayo miliki wenyewe..hivyo biashara yetu haijawahi kuwa ya ubabaishaji (Mashahidi wapo humu humu jamvini. Wasiliana nasi Kwa viwanjia na mashamba maeneo ya Bagamoyo, Keregete -CCM , Mbenzi...
  13. J Mbungi

    House4Sale Jengo la ghorofa inayosubiria kupauliwa tu! Linauzwa milion 120 - madale njia panda

    NYUMBA YA GHOROFA INAYOSUBIRIA KUPAULIWA TU! INAUZWA -* ( MADALE NJIA PANDA YA NGUZO MTAA WA NYUMA YA KITUO CHA POLISI MADALE) Ni nyumba yenye eneo kubwa na mchoro wa kisasa kabisa"( Jumla ya vyumba 5) BEI ELEEZI NI 120M (million 120 za kitanzania) "Ila mazungumzo ya kina yapo..Karibu...
  14. Ortega

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Madale

    Viwanja vinauzwa (Surveyed Plots), viko Madale Msumi. Km 3 kutoka Round about ya Goba Njia nne. 477 SQM - 7,500,000 480 SQM - 7,500,000 461 SQM - 7,000,000 679 SQM - 10,500,000 656 SQM - 10,000,000 598 SQM - 9,000,000 728 SQM - 11,000,000 Malipo ya kwanza asilimia 50% kwanza. 👉 Contact/WhatsApp...
  15. K

    LATRA tunaomba usafiri wa daladala katika barabara kutoka Goba njia nne kupitia Madale kwenda Tegeta

    Wasaalam Mlioko humu ndani. Kichwa cha habari chahusika. Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa barabara kutoka njia nne kwenda Tegeta Nyuki ambapo tumeona magari mengi ya mikoani yanayoenda mikoa ya kaskazini yakipita katika barabara hii. Ni wakati mwafaka kwa LATRA kupanga route ya Daladala...
  16. Ramon Abbas

    Plot4Sale Nauza viwanja viwili, kimoja kipo Mkuranga Pwani na kingine kipo Madale Dar es Salaam

    Mkuranga: kiwanja square metre 908 kipo km 6 kutoka kongowe eneo lilishajengeka sana bei: 6 million Ramani yake hii hapa kiwanja namba 114
  17. M

    House4Sale Nyumba kubwa kwenye kiwanja hekari 1 na nusu - Madale

    Habari! Nyumba kubwa (haijaisha) yenye sifa zifuatazo ikiwa ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa Hekari 1 na nusu inauzwa: 1. Sebule kubwa (6M × 8M) 2. Dining room kubwa (4M x 4M) 3. Jiko kubwa (3M x 5M) 4. Vyumba vitatu vikubwa, kimoja master 5. Public toilet 6. Stoo kubwa. 7. Kuna miembe na miti...
  18. M

    Naomba kufahamishwa Shule ya Msingi ya Kikristo iliyopo Goba, Mbezi, Madale, Kunduchi au Mbezi Beach

    Wadau, Kwa unyenyekevu naomba kufahamishwa kwa mtu yeyote anayejua shule yoyote ya msingi ya Kikristo iliyoko katika maeneo ya Goba, Mbezi au Madale, Kunduchi, au Mbezi Beach. Kama unafahamu shule ya namna hii iliyoko eneo lolote jingine Dar es Salaam. Naomba pia kufahamishwa ingawa kipaumbele...
  19. D

    Mabasi ya Arusha, Moshi na Tanga kupita Madale?

    Nimesikia baada ya stendi ya Mbezi kuanza kutumika mabasi ya mikoa tajwa hapo juu yatapitia Goba, Madale, Tegeta, Bagamoyo kuelekea mikoa husika. Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja. Karibuni kwa yeyote mwenye taarifa.
Back
Top Bottom