Jephta2003
Reaction score
3,276

Profile posts Latest activity Postings About

  • mimi nimependa the way commentors walivyosema. kama kuna watu wanaisoma vibaya hii mba ya mzumbe plse mjirekebishe. pia kama kuna walimu/leacturers wanafanya tofauti na maadili yao kwa kutumia haya mawazo na barua pepe za watu wabadilike. tunahitaji wasomi tena wachanganua mambo vizuri ili tusonge mbele. plse tubadilike wa kufundisha afundishe na wa kusoma asome ili tufikie malango yanayotegemewa na waajiri, wasiosoma na watakaopokea huduma zetu zote. elimu itukomboe vichwani mwetu. \

    ni hayo tuu kwa leo
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…
Top