nyumba ya kupangisha


  1. abudist

    Nahitaji nyumba ya kupanga haraka Dar

    Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Temeke, Mbagala, Tuangoma nk.. Iwe na vyumba 3 au zaidi iwe nzima au upande wa kujitegemea, iwe na maji na umeme na karibu na barabara na huduma za kijamii. Iwe nzuri na ya kisasa. Napenda iwe japo na master bedroom. Naweza kufikiria maeneo mengine pia...
Top