Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 9,917
- 19,905
Ondoa HOFU -- halafu lidomo & likinywa & kilimi chako cha ufukutufu zivike PPE & Barakoa
Hata mie nimewastukia, wanajiachia kumbe washapata kitu Astrazenica na Mordena!Sasa unadhani wao wajinga wasipate chanjo mpaka sasa hivi???¿¿
Ndo ivo JK alisema za kuambiwa changanya na zakoHata mie nimewastukia, wanajiachia kumbe washapata kitu Astrazenica na Mordena!
Sasa mmoja mmoja (ambaye hajachanja) Zilaeli anafagiaWanaogopa kuvaa mkubwa atawaambia wanaleta hofu
Yaani hata elimu unatupa jalalaniUkisha teuliwa unakua mteule.
Yaani una warranty
Ha ha haaa! Nakumbuka hata zile fake za Madagascar alianzaga kunywa Ka.bundiSafari ya mjumbe wa China Chato kule alienda na Chanjo
Mkuu najitahidi. Hapa shida kazini, mikusanyiko balaa, hata barakoa tunajitahidi.Tukisubiri siri za kambi tutachelewa,chukua tahadhari
Hii mpya mkuu?Safari ya mjumbe wa China Chato kule alienda na Chanjo
Sio siri! Wale jamaa wanatuzuga tu. Rwanda wanaanza chanjo, wazee wa black market ngoja tuingie mzigoniAt Mimi na wasi wasi Hawa viongozi wamekula chanjo.
Sisi makapuku ndo tunatolewa kafara.