mmnh unaioverate bikira mkuu,wanazozitoa ni wanaume wenzio,wasingekuwepo watu wangebaki bikira LOL,wacha kutupia lawama wanawake….

sijui hizo percentage umezitoa wapi??mnhhh….

24+ kukutwa na bikira wachache mkuu

sio kweli inadumisha mahusiano,wengi wanachepuka hata baada ya kuoana mabikira


Mkuu usidhani nipo hapa kuwalaumu au kuwatukana wanawake. Mwanamke anapaswa kuwa na msimamo na kujitunza kimwili. hii ni moja ya sifa ya mwanamke. Mwanamke hujaribiwa na wanaume kupima msimamo wake na namna alivyo na tabia njema. ndio maana bikra ikawekwa kwake. Endapo hataitunza tafsiri yake si muaminifu.

Si watetei wanaume bali kila mmoja atahukumiwa kwa namna yake na sheria zinazomhusu.

Ushauri: kama wewe ni mama Bora, mwanamke mwema hakikisha unawatunza wanao na kuwakagua kila mara huku ukiwafundisha neno la Mungu uone kama kuna mwanaume atagusa papuchi za wanao.
 
huu uzi wanawake wana ogopa kuchangia. uanzishwe mjadala wa kitaifa kuhusu hii kitu watu tuna tumbukia kwenye miamba walio chonga wengine


HAHAHAH!

Nani wa kuanzisha sasa ikiwa hata baadhi ya wachungaji na viongozi wa nchi walioa bila kufuata hili. Unadhani ni rahisi kupinga kitu ambacho nawe ni mmoja wapo?
 
HAHAHAH!

Nani wa kuanzisha sasa ikiwa hata baadhi ya wachungaji na viongozi wa nchi walioa bila kufuata hili. Unadhani ni rahisi kupinga kitu ambacho nawe ni mmoja wapo?
ugumu una anzia hapo ukiuliza wanaume kumi walio zikuta watatu saba wote hama kitu.
 
Embu fikiria habari ya Muna na marehemu mtoto wake Patrick, unadhani kama Muna angeolewa akiwa bikra na Peter ungesikia ile kesi?

Samahani mleta mada wewe ni peter wa muna maana issue za kugombania watoto ziko nyingi ila wewe umekomaa na hii ya patrick-muna-peter?

Mbali na hilo hii mada yako ni nzuri na ina ujumbe mzuri unaofikirisha. Kuna mda hata mimi ujikuta namchukia mwanamke wangu ninapokumbuka nilivo mkuta hana bikra. Na imani yangu ni hiyo hiyo uliyoielezea ya kuwa wanaume wote tuliochukua wanawake wasio na bikra tunaishi na wake za waume wenzetu.

Ndoa ni agano inafungwa pale tu mtu mme anapolala na mtu mke aliye na bikra. Wengine mahusiano yetu yako kijamii zaidi ili mradi tulienda makanisani/misikitini/bomani haimanishi kuwa tumefunga ndoa kiimani.

Huko tunaenda tu ili kupata uhalali wa kuishi kwenye jamii pasipo kusumbuliwa ila kwa Mungu mwanaume halali wa ndoa ni yule aliyetoa bikra ya mwanamke husika - hao ndio wanafunga lile agano halisi la ndoa. Mengine tunayofanya ya kupelekana makanisani nk ni utaratibu tu wa hapa duniani ili jamii iweze kuwa tulivu kidogo.
 
Samahani mleta mada wewe ni peter wa muna maana issue za kugombania watoto ziko nyingi ila wewe umekomaa na hii ya patrick-muna-peter? Mbali na hilo hii mada yako ni nzuri na ina ujumbe mzuri unaofikirisha. Kuna mda hata mimi ujikuta namchukia mwanamke wangu ninapokumbuka nilivo mkuta hana bikra. Na imani yangu ni hiyo hiyo uliyoielezea ya kuwa wanaume wote tuliochukua wanawake wasio na bikra tunaishi na wake za waume wenzetu.

Ndoa ni agano inafungwa pale tu mtu mme anapolala na mtu mke aliye na bikra. Wengine mahusiano yetu yako kijamii zaidi ili mradi tulienda makanisani/misikitini/bomani haimanishi kuwa tumefunga ndoa kiimani. Huko tunaenda tu ili kupata uhalali wa kuishi kwenye jamii pasipo kusumbuliwa ila kwa Mungu mwanaume halali wa ndoa ni yule aliyetoa bikra ya mwanamke husika - hao ndio wanafunga lile agano halisi la ndoa. Mengine tunayofanya ya kupelekana makanisani nk ni utaratibu tu wa hapa duniani ili jamii iweze kuwa tulivu kidogo.


Hahaha!! Mkuu mimi si Peter wa Muna bali nimemtaja jamaa kama reference kutokana na tukio lake wengi wanalifahamu. Ingekuwa ngumu kutoa mfano wa huku niliko kwani usingekuwa mfano hai

Usimchukie Mkeo ikiwa Anakutendea yaliyomema. Kwa sasa tunachopaswa kufanya kama Baba na Mama wa Zama hizi, tuhakikishe tunawafunza na kuwalinda mabinti zetu. Baadhi ya familia mtoto wa kike hawezi kutoka nyumbani kirahisi rahisi bila sababu ya msingi. Mama na Baba ndio hubeba jukumu hilo.

Pia Baadhi ya familia zenye nguvu ikifika saa 12 za jioni huwezi kuona binti yao akitoa pua yake nje. Hii inasaidia sana kwani hata ukioa binti kutoka familia hizi huwezi kusumbuka na tatizo la mwanamke kuzurura hovyo.

Mzazi anao wajibu wakukagua kuwa bikra ipo kwa mwanae.

Usijali unaweza kufanya hayo kwa wanao
 
mmnh unaioverate bikira mkuu,wanazozitoa ni wanaume wenzio,wasingekuwepo watu wangebaki bikira LOL,wacha kutupia lawama wanawake….

sijui hizo percentage umezitoa wapi??mnhhh….

24+ kukutwa na bikira wachache mkuu

sio kweli inadumisha mahusiano,wengi wanachepuka hata baada ya kuoana mabikira
Kwa nini wawe wachache?
 
Back
Top Bottom