Ukweli mchungu huu,sasa umepata mchumba unaambiwa mahari sh.mil.2 au 3 halafu kabla hujatoa unamuuliza mshenga kuwa awaulize wazazi wa binti kuwa binti yao ni BIKRA...povu litakalokuja utafikiri limetoka sayari ya Jupiter

Kimsingi Mwanaume akioa anayohaki na wajibu wa kuuliza habari ya Ubikra kwa mwanamke amuoaye. Mwanaume anayohaki ya kumwacha mwanamke kwa kigezo cha kutokukuta bikra kwa mwanamke.

Hata huko kanisani mchungaji hapaswi kuiita ndoa takatifu afungishapo ndoa ikiwa anajua fika waoanaji walitenda kosa la kitandani.

Hivi unadhani ile habari ya nani Baba kamili wa Patrick ingekuwa tatizo endapo Bwana Peter angemuoa Muna akiwa Bikra. Mambo mengine ni kujitakia tuu.
 
Mbona baadhi ya jamii Bikra ni kama mchanga.
Wazazi ni chanzo cha watoto kupotea trust me
Jamii imetufikisha mahali sasa watu wanaona wako katika njia sahihi kama hajarukwa/ruka ukuta huku kwenye bikra walishaanza kutoka kama sio wameshatoka.
 
Jamii imetufikisha mahali sasa watu wanaona wako katika njia sahihi kama hajarukwa/ruka ukuta huku kwenye bikra walishaanza kutoka kama sio wameshatoka.

Yaah! Zamani ilikuwa ajabu kuoa mwanamke asiye na bikra. Pia ilikuwa aibu mwanamke kukutwa hana bikra lakini kwa kazi kubwa ya shetani zama hizi kuoa asiye bikra ni ishu ya kawaida.

Zama hizi ni aibu kukuta mwanamke hana marinda lakini zama zijazo itakuwa kawaida. Mtu mwenye fikra za kishetani kila kitu huona kawaida.
 
bikira kwa wanawake ndio ina baraka,wanaume je bikra zao hazileti baraka au kudumisha mahusiano???

waliooa wanawake bikira hajawahi kuchepuka?

Wanawake walioolewa bikira katika umri mkubwa namaanisha kuanzia 24+ ni 10% ya wanaoweza kuchepuka. Lakini wale wasio nazo kuchepuka ni 90%.

Mwanaume anazaliwa na baraka tokea mwanzo mkuu au hujui hilo?
Embu fikiria habari ya Muna na marehemu mtoto wake Patrick, unadhani kama Muna angeolewa akiwa bikra na Peter ungesikia ile kesi?
 
mmnh unaioverate bikira mkuu,wanazozitoa ni wanaume wenzio,wasingekuwepo watu wangebaki bikira LOL,wacha kutupia lawama wanawake….

sijui hizo percentage umezitoa wapi??mnhhh….

24+ kukutwa na bikira wachache mkuu

sio kweli inadumisha mahusiano,wengi wanachepuka hata baada ya kuoana mabikira
 
Back
Top Bottom