Mungu anavyose Msikurubie Zinaaa ....Namaanisha Wanaume wazini sanaaaa...alafu Waoe bikra wapate Vizazi vyema?...

Mtume Muhammad hakuoa Bikra..bi hadija...Je kizazi chake Ni kichafu..?

Mwenyezi Mungu anatutaka tuombe Atupe watoto walio pious ...TUMUOMBE Atupe wake na Waume wake walio wema..

Na Huyu Huyu Mungu anasema mzinifu awe na mzinifu mwenzake..

Lakini watu wanataka kumjua Mungu kwenye maswala ya kugegeda tu... ukiamua kumjua Mungu na kumfuata fuata yote aelekezayo.....

Mnasema wanawake wanajaa makanisani Kutafuta Mungu awape awaume...JE HILI NI KOSA?...Huko kanisani wanatakiwa waende watakatifu?
Mkuu bi Hadija hakuwa mchafu bali ni mwanamke aliyekuwa amefiwa na mume. Kwa kawaida mwanamke aliyeolewa akiwa bikra kisha mumewe akafa na yeye akabaki bila kuzini huyo bado ni msafi. Hata huyo anayesema ameoa bikra ukweli ni kwamba ameoa mwanamke mzinzi kwasababu walifanya tendo kabla ya ndoa, hao wote ni wazinzi. Kitendo cha kukubali kutoa uchi kabla ya ndoa ni uzinzi, hilo lipo wazi, kwasababu hata joka jeusi kama asingemuo huyo dada it means bikra yake ingekuwa ishavinjwa na kuolewa bado.

Jamani, tuseme ukweli, usafi wa ndoa ni wa wote wawili. Nakubaliana na mleta mada kuwa ndoa nyingi kwa sasa ni za washirika na sio wanandoa, ndio maana wanawake hawako tayari ku Sacrifice baadhi ya vitu kwa ajili ya ndoa zao na kadhalika wanaume. Wengi tunaishi kishirika na sio kindoa kwasababu ya uchafu wetu tulionao. Ukweli ni kwamba uzinzi ni uchafu mkubwa sana unachafua hadi kizazi tulichonacho, ni bahati mbaya Mambo haya ni ya kiroho sana watu wengi hawajui. "Kwa waislam Quran ipo wazi kabisa, mwanaume mzinzi humuoa mwanamke mzinzi na kadhalika mwanamke mzinzi huolewa na mwanaume mzinifu", haya maneno ni kweli, kale la laana ka uzinzi kanakuwa ndani yenu hata kama mlikutana wote mkiwa mabikra lkn mkafanya tendo kabla ya ndoa yenu, hakika nyinyi ni wazinzi na hukuna tofauti na wazinzi wengine, hivyo hako katabia kanakuwa kapo ndani yenu
 
Hapana, usafi huu unapaswa kuwa kwa wote, mwanaume na mwanamke. Ni bahati mbaya hakuna namna ya kuthibitisha usafi wa mwanaume. Mwanamke akiwa msafi basi walau familia inakuwa safi angalau kwa asilimia 50.
Siwezi bisha juu ya hili..lakini Ni jukumu ya mwanaume na mwanamke kutuikimbilia Zinaaa....
 
Siwezi bisha juu ya hili..lakini Ni jukumu ya mwanaume na mwanamke kutuikimbilia Zinaaa....
Wala Mimi sikupingi pia mkuu. Wote wawili wanawajibu huo, hapana ubishi juu ya hoja yako. Kikubwa kukubali makosa na kisha kujisahihisha.
 
Mkuu bi Hadija hakuwa mchafu bali ni mwanamke aliyekuwa amefiwa na mume. Kwa kawaida mwanamke aliyeolewa akiwa bikra kisha mumewe akafa na yeye akabaki bila kuzini huyo bado ni msafi. Hata huyo anayesema ameoa bikra ukweli ni kwamba ameoa mwanamke mzinzi kwasababu walifanya tendo kabla ya ndoa, hao wote ni wazinzi. Kitendo cha kukubali kutoa uchi kabla ya ndoa ni uzinzi, hilo lipo wazi, kwasababu hata joka jeusi kama asingemuo huyo dada it means bikra yake ingekuwa ishavinjwa na kuolewa bado.

Jamani, tuseme ukweli, usafi wa ndoa ni wa wote wawili. Nakubaliana na mleta mada kuwa ndoa nyingi kwa sasa ni za washirika na sio wanandoa, ndio maana wanawake hawako tayari ku Sacrifice baadhi ya vitu kwa ajili ya ndoa zao na kadhalika wanaume. Wengi tunaishi kishirika na sio kindoa kwasababu ya uchafu wetu tulionao.
Asante kunielimisha....juu ya bi Hadija..

Kama lengo Ni kuwa na kizazi kilicho chema...ili hao watoto wa Mkuu Jokha jeusi walio wasafi wapate wenza Wazuri..

Zinaa ikemewe tena ikemewe sana kwa jinsia zote... Japo kiukweli zinaa kwa mwanamke Ina madhara makubwa kuliko mwanaume
 
Umeandika kwa Maneno makali sana.
Lakini ndo hivyo ukweli mchungu, inauma hasa nikijaribu kumfikiria Baba Diamond.!
 
Nachokuombea mleta bandiko..Tabia ulomkuta nayo mkeo..Ibaki hivyo Hadi kufa kwako....hakika muiombee Sana hiyo ndoa yako..maana umeifanya ya kuigwa...na ya mfano..

Kama unaombaga Mungu..Basi zidhisha maombi katika Hilo ..
 
Asante kunielimisha....juu ya bi Hadija..

Kama lengo Ni kuwa na kizazi kilicho chema...ili hao watoto wa Mkuu Jokha jeusi walio wasafi wapate wenza Wazuri..

Zinaa ikemewe tena ikemewe sana kwa jinsia zote... Japo kiukweli zinaa kwa mwanamke Ina madhara makubwa kuliko mwanaume
Mkuu zinaa ni mbaya kabisa kwa jinsia zote, bahati mbaya hili jambo huwa halidhihiriki haraka kimwili, bali huanza kudhihirika kizazi baada ya kizazi maadili yanapoanguka. Mwanamke akiwa msafi, jamii nzima inakuwa safi ndio maana jamii hukazania mwanamke awe bikra. Sababu ni kuwa wanawake wote wakiwa wasafi ni automatiki wanaume pia watakuwa wasafi maana watakuwa hawana wa kuzini nao
 
Sawa...
 
Mkuu Jokajeusi naunga hoja yako kwa mikono miwili japo kuna baadhi ya maneno yaliyotumika katika uwasiliswhaji wa mada yako ni makali au machungu kidogo kulingana na mtizamo wangu

back to the topic,ulichokisema kina mantik kubwa sana mkuu,lakini sikuona ukitaja kama bikra ni muhimu kwa wanaume pia au kwa wanaume wao ruksa kuwa viruka njia ila wanawake ndio waolewe wakiwa mabikira,

kwa kusema hivyo nina maanisha kuwa kama wanaume pia wangewekewa msisitizo huo huo tunaowawekea mabinti,trust me watu wangekuwa wanaoana wote wakiwa watoto,kwa sababu hakuna aliye na shida na mwenzie kabla ya ndoa,lakini kama msisitizo huo mzito ni kwa wanawake peke yao,unadhani hizo bikra zitatoka wapi kama wanaume wao ruksa kuruka ruka? au ndo wawe wanaruka ruka kwa wake za watu ambao tayari washafungulizwa njia zao? to me that's the answer kama ni wanawake pekee wanaopaswa kuwa bikra wanapoolewa basi wanaume wanapaswa kuwa wakitoka na wake za watu ili wanawake singles wabaki na bikra zao ili pindi wakiolewa waume zao wawakute na bikra zao,vinginevyo mkuu hii mambo ni ngumu kuliko maelezo kuwa applicable

my opinion mkuu nawish huu msisitizo ungewekwa pande zote kulifanya hili liwezekane.
Hakuna mwanamke mwenye kinga ya kutokuchepuka.
Lakini mleta mada yupo sahihi kwa 100%!

Mwanamke siku zote anamheshimu na kumkumbuka sana yule mwanaume aliyembikiri. Yule ndiye aliyempiga chata ya Kwanza ya kiume(sexual imprint).

Kwa mwanamke yule mwanaume aliyembikiri ana matter mno, hata wanaume wengine watakaofuata inabidi wawe na ufanano na yule Me aliyembikiri ndipo waweze kumvutia huyo Ke maana wanaibua kumbukumbu za yule aliyembikiri.
Kudos Jokajeusi !
Virginity matters!!!
Huu ndio ukweli mchungu!!! Wanaume ambao tuko kwenye Mahusiano na wanawake tuliowakuta hawana bikra tuko njia panda tuwaoe au ty cancel mara moja kabla hatujaona.
 
Nikweli Mungu anatutaka tuwe wasafi... Lakini je usafi wa bikra ya mkeo Ni kwa Ajili yake..na Mungu wake..Wewe binafsi unaishije maisha yako je maisha yako yanampendeza Mungu......

Kujisifia kuwa Nimetomba Sana wanawake wasio bikra Ila nimeoa Bikra kutoka kwa Mungu..Tena nikafanya nae kabla kunihakikishia ndo nikao...hayo Maneno yanaongelewa na anae mjua Mungu...

Tuache unafiki wakujifanya tunamjua Mungu Sana..ilhali hata nusu hatufiki...

Sijaandika haya Kwa Kusema BIKRA NO MBAYA...HAPANA
Upo sahihi mkuu. Tuishi maisha ya kupendeza Mwenyezi MUNGU sote kwa pamoja. Tujutie tulipodondoka na tujisahihishe na tuanze upya kwa ajili ya uzao wetu
 
Alie karibu na huyu kichaa amuwahishe hospitali huyu amewehuka kisaikolojia sio bure.
 
Back
Top Bottom