Ukiona mkeo anakwambia mtoe mimba kwasababu iliingia bahati mbaya ,ujue hana uhakika kama mimba ni yako mchunguze vizuri anachepuka.
Kuna jirani yangu aliambiwa hivyo na mkewe wakatoa, mwaka mmoja baadaye ikaingia nyingine bibie akijua ni ya mumewe kumbe
akajaza akazaliwa mtoto anafanana sana na jirani yake.
 
Hizi mada zako zinagusa pabaya sana,sio wanandoa wengi wataipenda,ila kuna fundisho pia kwa wasio na ndoa...
 
Hizi mada zako zinagusa pabaya sana,sio wanandoa wengi wataipenda,ila kuna fundisho pia kwa wasio na ndoa...
Mimi nimeoa, ingawa sikuoa bikra, lkn ukweli ni kwamba bikra inaleta heshima zaidi kwa mwanamke, na ni usafi na utakatifu wa kizazi utakachozaa. Kuoa mke bikra ni bora zaidi lakini mwanaume pia akiwa bikra ni bora mara
zaidi. Ndoa ya watu wawili ambao wote hawajawahi kufanya ngono, ni ndoa tamu sana na yenye upendo wa kweli
%
 
Waambie hao
 
Unagangaika Nini?.... Kama mwanaume akiamua kuoa..hizi mada Wala Haziwezi mtoa kwenye mstaari wake..

Usiwe na hofu Wala usihangaika....
Mungu anajua sisi Ni wakosefu na Bado anatubariki ....So don't mind KABISA.
.
.Maneno ya Huyu yawezekana yakawa na ukweli...lakini Yasikusumbue
 
Haha
Sihangaiki kwa chochote, I only dance according to the Post's tune.
 
Utakuwa na tatizo la akili hujijui unahitaji tiba, daily bikra, single mother I think you need healing in ur heart mi mada kumi kumi na yote hyo unaanzisha kujifariji na ujiponye nafsi yako . Hongera kwa kutoa sumu moyoni na hivi twatumia fake I'd
Nilipofungua tu nikaanza kutafuta reply yako.😀😀
 
Mkuuu..Hii ishafika comment 100
Anzisha nyingine.... ya Bikra.

Leo weekend sisi wakucomment tupo
 
Haha
Sihangaiki kwa chochote, I only dance according to the Post's tune.
Umecomplain Sana ...nimeona hii the second time.
What has passed yalishapita...hayatajirudia

What matters Ni future yako how you Choose to live with your husband kwa heshima ..

Hawa Wanaume Wanaamini usafi Ni was mwanamke pekeee.....

Huyu Mwamba kukisifia Uzinifu wake ...Inashangaza Akili zetu zilivyo.
 
Sio yawezekana yakawa na ukweli bali ni ya ukweli. Ingawa sote tuna baraka zetu toka kwa Mwenyezi MUNGU lkn tambua kuwa walio wasafi wanazo baraka zaidi hata juu ya kizazi chao
 
Sio yawezekana yakawa na ukweli bali ni ya ukweli. Ingawa sote tuna baraka zetu toka kwa Mwenyezi MUNGU lkn tambua kuwa walio wasafi wanazo baraka zaidi hata juu ya kizazi chao
Nikweli...kabisa lakini Usafi huu Kama Mungu atakavyo...Ni wa mwanamke pekeee?..
 
Mungu anavyose Msikurubie Zinaaa ....Namaanisha Wanaume wazini sanaaaa...alafu Waoe bikra wapate Vizazi vyema?...

Mtume Muhammad hakuoa Bikra..bi hadija...Je kizazi chake Ni kichafu..?

Mwenyezi Mungu anatutaka tuombe Atupe watoto walio pious ...TUMUOMBE Atupe wake na Waume wake walio wema..

Na Huyu Huyu Mungu anasema mzinifu awe na mzinifu mwenzake..

Lakini watu wanataka kumjua Mungu kwenye maswala ya kugegeda tu... ukiamua kumjua Mungu na kumfuata fuata yote aelekezayo.....

Mnasema wanawake wanajaa makanisani Kutafuta Mungu awape awaume...JE HILI NI KOSA?...Huko kanisani wanatakiwa waende watakatifu?
 
Nikweli Mungu anatutaka tuwe wasafi... Lakini je usafi wa bikra ya mkeo Ni kwa Ajili yake..na Mungu wake..Wewe binafsi unaishije maisha yako je maisha yako yanampendeza Mungu......

Kujisifia kuwa Nimetomba Sana wanawake wasio bikra Ila nimeoa Bikra kutoka kwa Mungu..Tena nikafanya nae kabla kunihakikishia ndo nikao...hayo Maneno yanaongelewa na anae mjua Mungu...


Tuache unafiki wakujifanya tunamjua Mungu Sana..ilhali hata nusu hatufiki...

Sijaandika haya Kwa Kusema BIKRA NO MBAYA...HAPANA
 
Nikweli...kabisa lakini Usafi huu Kama Mungu atakavyo...Ni wa mwanamke pekeee?..
Hapana, usafi huu unapaswa kuwa kwa wote, mwanaume na mwanamke. Ni bahati mbaya hakuna namna ya kuthibitisha usafi wa mwanaume. Mwanamke akiwa msafi basi walau familia inakuwa safi angalau kwa asilimia 50.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…