huyo mzee wasiwe wan mhoji ...ameshachoka mwili,roho na akili!
Mimi huwa simwelewi kabisa zaidi ya kusoma vitabu vyake (Ili nijibie mitihani)
Si ndio akawaongeza cheo wauwaji na kuwasifu mara tu baada ya mauwaji kwa sababu yeye hahusikiYalitokea akiwa RAIS hakuwa Mkapa; na hunahakai ya kuhukumu mtu yeyote usifanye kazi isiyo yajo
Waandishi wa habari wengi nao ni wapumbavu, mtamhoji vipi babu kama yule ambaye kumbukumbu nyingi zinapotea?Tangu asubuhi nimekuwa nikifuatilia coverage ya kuifiwa na kiongozi wetu mstaafa mh. Benjamin William Mkapa kupitia ITV.
Ilipofika takriban saa saba na dakika kumi na tatu, ITV ilikuwa ikimhoji mh. Msekwa kufuatana na kifo hicho. Cha kushangaza mheshimiwa huyo alianza kuongelea maandamano baada ya uchaguzi wa mwaka 2000 katika mwelekeo ambao ungefufua vidonda vilivyopona.
hongera sana sana ITV kwa kukatisha maongezi hayo.
Marehemu alikuwa jasiri sana hadi akasema mauaji yale yalimsononesha sana. Naamini hata familia zilizoathirika zimesamehe na sasa tu wamoja. kuongelea maandamano yale kwa jinsi alivyoanza mh. Msekwa ilikuwa ni hatari.
Mpaka tunafika mwaka 2002 sukari nilikuwa nanunua @400TshBinafsi namkumbuka kwa namna alivyodhibiti bei ya sukari kwa kiwango cha sh 600.00 kwa kilo (mia sita) kuanzia 1995 hadi 2005.
hivi hiki kijamaa cha kisukuma nacho kuna siku kitakufa kweli?Alifikiri hatokufa, sasa akakutatane na aliowauwa.
Mungu amlipe anachostahili.
Kila nafsi itaonja mauti, tuwe waadalifu tunapotunukiwa neema haswaa, ya afya, utajiri & power, mauti ndio mwisho wetu na tutalipwa kwa tulichopanda.
Taifa la Tanzania limeingia katika maombolezo ya kitaifa ya siku 7 kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa. Katika hizo siku saba za maombolezo inategemewa mazishi yake yatafanyika...
Inawezekana pia shs 400 ilikuwa na thamani ya hiyo sukariMpaka tunafika mwaka 2002 sukari nilikuwa nanunua @400Tsh
Hivi hawa wanyonge wametoka wapi ?Magufuli aige tu mfano wa Mkapa kudhibiti Bei ya Sukari, mafuta taa na kukuza uchumi.
Mtetezi wa wanyonge wa ukweli
Kifo hakina mbabe, hapa ndipo utukufu wa MUNGU unapojidhihirisha
Atazikwa Lupaso masasi tar 29/07/2020 confirmed.Nitashangaa, Nitasikitika na hata Kutowaelewa wale Wahusika na wana Familia wake kama hawatamzika Mzee Wetu Mkapa Kwao huko Mtwara.
Watu wameelimika sasahiviAtazikwa Lupaso masasi tar 29/07/2020 confirmed.
Ogopa technology mkuuKumbu kumbu
Unaeza shangaa hakutani nao...au akakutana naao n "akawaua tena"Alifikiri hatokufa, sasa akakutatane na aliowauwa. Mungu amlipe anachostahili.
Kila nafsi itaonja mauti, tuwe waadalifu tunapotunukiwa neema haswaa, ya afya, utajiri & power, mauti ndio mwisho wetu na tutalipwa kwa tulichopanda.