makongoro

  1. Poppy Hatonn

    TANZIA Makongoro Nyerere afiwa na mwanaye Daudi Nyerere

    Daudi, mtoto wa pili wa Makongoro Nyerere, RC wa Rukwa amefariki dunia. We will update this. Habari zenyewe ni hivi: not for the faint- hearted. Amekufa kwa ajali ya gari Arusha, mchana huu, kama saa saba hivi. Alikuwa anaendesha gari, akaligonga lori kwa nyuma.
  2. F

    Makongoro Nyerere ashauri kumbukizi ya Hayati Mwl Nyerere isichanganywe na shughuli nyingine

    Moja wa watoto wa Mwl Nyerere aliyepo ktk siasa na utumishi wa umma, hafurahishi siku ya kumbukizi ya kifo Cha baba yake kuchanganywa na shughuli nyingine ya serikali. Makongoro ameyatoa ya Moyoni mbele ya Rais Samia aliyetumia siku hiyo kuuzima mwenge mjini Babati Manyara. RC Makongoro...
  3. Mjukuu wa kigogo

    Makongoro High school Bunda. God bless my school🙏

    Namshukuru Mungu wa rehema.Nawashukuru walimu wangu wa Shule ya Sekondari Makongoro High school wilayani Bunda kunipa maarifa niliyonayo hivi leo. Hii shule ndiyo iliyonitengenezea nafasi niliyonayo katika Taifa langu ambayo si haba.Namuomba Mungu wa Mbinguni awalinde walimu wangu.Walimu wangu...
  4. M

    Makongoro na ngozi za ng'ombe zimekuwa chakula kinachokidhi mahitaji ya Watanzania. Hali ya maisha ni ngumu

    Tanzania nzima kila wilaya, kijiji, kata au tarafa lazima kuna kijiwe cha wauza Makonngoro na ngozi za ng'ombe ambazo watu wanakula na kulinda uhai wao. Hawana uwezo wa kumudu samaki nyama au dagaa. Hali ni ngumu sana. Walevi wa pombe kali wanajifariji
  5. J

    Makongoro hapa ulikurupuka

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere hapa ulikurupuka kusema baadhi ya viongozi walichochea vurugu sio kweli. Ukiwa Kiongozi ni muhimu kutumia burasa na kuchunga kinywa chako Mbele ya Kamera. TIZAMA kipande cha video arafu tujiulize UCHOCHEZI UPO WAPI?
  6. JanguKamaJangu

    Makongoro Nyerere: Nimenusurika, kama ningeondolewa ningesikitika maana ndio kwanza nimeanza kuwazoea

    Saa chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa na kuwaondoa tisa, leo Alhamisi Julai 28, 2022, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere amemshukuru mkuu huyo wa nchi kwa kuendelea kuhudumu katika mkoa huo na kusisitiza kuwa amenusurika. “Rais (Samia Suluhu...
  7. Poppy Hatonn

    Napinga Makongoro Nyerere kuondolewa katika Kamati Kuu ya CCM

    Kwanza niseme nilikuwa sijui kama Makongoro alikuwepo katika CC ya ÇCM. Hawa CC wengi siwafafahamu, hata sasa naweza kumtaja tu Kinana na Wassira. Lakini kumuondoa Makongoro kutoka CC ya ÇCM ni kama kumuondoa Rahul Gandhi kwenye CC ya Chama Cha Congress. Nashangaa kabisa kwamba Makongoro...
  8. Q

    Makongoro Nyerere: Mama Maria Nyerere yeye hana makuu

    Akiongea na East Africa Radio leo kuhusu maadhimisho ya Miaka 100 ya Nyerere, Makongoro Nyerere ametoa “kifumbo” ambacho wachambuzi wa mambo wanahusisha na kauli ya mama Salma Kikwete kuhusu mafao ya wenza wa marais. "Mama Maria Nyerere kama siku 14 zilizopita nilipata taarifa kutoka kwa...
  9. Mtu Asiyejulikana

    Hapa Makongoro Nyerere kaamua kusema ukweli mbele ya Rais bila kupepesa macho

    Hii kauli ni kubwa sana. Kuwa watoto wa viongozi wanapata nafasi si kwa sababu wamewahi fanya matendo makubwa ila ni sababu tu ya majina ya watoto wao. Nadhani alikuwa anamaanisha yeye, Ridhwani Kikwete, Januari Makamba, Nape Nnauye n.k Anasema wao wapo hapo ukisema utafute walichofanya mpaka...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Vituko vya madereva: Wimbo wa Umoja wa Vijana Tanu na Mzee Makongoro

    Mzee Makongoro alikuwa ni mwalimu wa Kwaya ya Vijana ya TANU ambayo ilivuma Sana kwa nyimbo za asili na nyimbo zake zilipata umaarufu mkubwa Sana miaka ya sabini na themanini kupitia vipindi mbalimbali vya redio kama TUIMBE SOTE na kipindi cha TUMBUIZO ASILIA kilichokuwa kikirushwa hewani na...
  11. Erythrocyte

    Kanisa la KKKT Makongoro, Furahisha Mwanza lafanya ibada ya kumuombea Freeman Mbowe, wafuasi wa Chadema wafurika

    Leo tarehe 1.8.2021 ndani ya kanisa hilo kumefanyika ibada ya kumuombea Mwamba wa siasa za Tanzania Mh Freeman Mbowe ambaye amebambikwa kesi ya Ugaidi kutokana na kujitolea kwake kupigania demokrasia na haki nchini Tanzania. Umati wa waumini umehudhuria huku sadaka za kumshukuru Mungu...
  12. N

    Kwanini RC wa Manyara, Makongoro Nyerere alimpigia saluti ya kijeshi Rais wakati wa kiapo?

    Wakuu, naomba kuuliza kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Je ni mwanajeshi mstaafu ama mwandamizi? Nadhani wengi wetu hatufahamu. Makongoro Nyerere anakubalika sana na wananchi. Sisi wananchi tumefurahi Sana Mh. Rais wetu kuikumbuka familia ya baba wa Taifa.
  13. peno hasegawa

    Makongoro Nyerere mkoa wa Manyara hatauweza

    Nimepitia orodha ya wakuu wa mikoa waliochaguliwa na Mh. Samia Suluhu. Kwa mkoa wa Manyara ulivyo nyuma kimaendeleo kupewa Makongoro Nyerere kuwa mkuu wa mkoa huo ni rasmi kuwa upinzani umefunguliwa mlango wa kuambiwa karibu Manyara.
  14. R

    Anna Elisha Mghwira anarudi ACT? CCM atakaa kama mwanachama wa kawaida? Vitawezekana kweli?

    Mwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zitto atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli? Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri mkubwa sana kuliko Makongoro... na wengine?
  15. Roving Journalist

    Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Hamduni-TAKUKURU, Makala-Dar, Kafulila-Arusha, Chalamila-Mwanza, Sendiga-Iringa, Makongoro...

    Salaam Wakuu, Huu ndo uteuzi rais kafanya. Rais Samia afanya Uteuzi wa Wakuu wa Mikoa na Taasisi: Bw. Mwakitalu kuwa Mkurugenzi wa Mashitaka(DPP), Hamduni Mkuu wa TAKUKURU, Amos Makala kawa mkuu wa Mkoa wa Dar, Kafulila kawa mkuu wa Mkoa Arusha, Chalamila kawa mkuu wa Mkoa Mwanza, Queen...
  16. F

    Maendeleo Makubwa ya CHATO na tafsiri ya Makongoro Nyerere na Madaraka Nyerere kupata kura 5 na 2 respectively za maoni CCM 2020!

    Watanzania wenzangu heri ya Mwaka Mpya 2021. Nimewiwa kutoa mawazo yangu kufuatia kelele nyingi za " kijinga" zinazopigwa kuhusu maendeleo makubwa na ya haraka zinazopigwa Wilayani CHATO katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Tano. Fact kubwa ambayo hatuwezi kuipinga ni kuwa Wilaya hiyo...
  17. M

    Makongoro Nyerere kuvalia Shati la CCM katika Msiba wa Dada yako Rosemary wakati Makamu wa Rais tu hakuvalia hivyo umejifunza nini?

    Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani? Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba...
  18. J

    Uchaguzi 2020 Mama Samia: Nakubaliana na Makongoro Nyerere, CHADEMA ni jiko la mkaa huwezi kulikumbatia ama litakuunguza au litakuchafua na masizi!

    Mgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu amesema anakubaliana na kauli ya Makongoro kwamba Chadema ni kama jiko la mkaa halikumbatiki. Jiko la mkaa ukilikumbatia ama litakuunguza au kama halina moto litakuchafua kwa masizi. Mama Samia alikuwa akizindua kampeni jijini DSM katika viwanja vya...
  19. abel p

    Makongoro Nyerere na mfano wa Yanga kuiokoa Simba

    Wakuu salam leo nilikuwa nafuatilia kwa kalibu kampeini za Magufuli kule mkoani mara mara baada ya kupanda kaka wa taifa kama alivyoitwa na katibu makongoro alitiwa mifano mingi mizuri ila miwili tu mifano iliyo nivutia 1. Alisema huwezi kukumbatia jiko la makaa ya moto 2. Alitowa mfano wa...
  20. J

    Rais Magufuli: Makongoro na Madaraka Nyerere mnaishi Butiama lakini wajumbe wamewapa kura 5 na 2, Tungewasaidiaje?

    Rais Magufuli amewapongeza watoto wa baba wa taifa Makongoro na Madaraka kwa kuelewa demokrasia na kutolalamika baada ya uteuzi wa wagombea ubunge kufanywa. Dkt. Magufuli amesema Makongoro na Madaraka hawaishi Mtwara wala Dsm bali wapo hapo hapo Butiama lakini wajumbe waliwapa kura 5 na 2, sasa...
Back
Top Bottom