Kwanini suala la uraia wa Watanzania wageni waliopo Serikalini linatokea sasa wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi?

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
Je,

1. Wazanaki wanakotoka viongozi mbalimbali ikiwemo baba wa taifa Mwalimu Nyerere ni 100% Watanzania?

2. Wamakuwa kutoka mkoani Mtwara ambako pia anatoka aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati Mkapa ni 100% Watanzania?

3. Kabila la Wasubi atokalo aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Magufuli na ambalo pia ni la Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati nao ni Watanzania 100%?

4. Kabila la analotoka Makamu wa Rais wa sasa Dr. Mpango ni 100% Watanzania?

5. Kabila la CDF Gen. Mkunda ni 100% la Watanzania?

6. Hayati Baba wa Taifa alikosea kusema na hata kukemea vikali Watanzania kuanza kubaguana kwa makabila na mataifa watokayo kiasili?

7. Kwanini hili limetokea sasa wakati Tanzania ikielekea katika chaguzi za Serikali ya mitaa mwaka huu na ule uchaguzi mkuu wa mwakani?

Tafadhali Rais Samia na CDF Gen. Mkunda nijibuni haraka haya maswali yangu ili nami niwajibu upesi walionituma kwani wako hewani sasa wanangojea.
 
Nchi imechafuka kutoka ngazi ya juu hadi chini, vivyo hivyo wizara na idara zote za Serikali haziko safi kiutendaji.
Ni wakati wa kuanza upya kwenye karatasi safi na wino mpya.

Itangazwe kuanzia siku tajwa kila aliye ndani ya mipaka ya Tanzania siku hiyo kuwa mtanzania na apewe kitambulisho cha taifa.

Iandikwe katiba itakayotamka kuwa ardhi ni mali asilia na urithi wa watanzania na kila mtanzania apate eneo lake la kuishi, kufuga na kulima. Ardhi itakayobaki itambulike kama ardhi ya akiba itakayotunza na Serikali tutakayoiweka madarakani.
 
Je,

1. Wazanaki wanakotoka viongozi mbalimbali ikiwemo baba wa taifa Mwalimu Nyerere ni 100% Watanzania?

2. Wamakuwa kutoka mkoani Mtwara ambako pia anatoka aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati Mkapa ni 100% Watanzania?

3. Kabila la Wasubi atokalo aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Magufuli na ambalo pia ni la Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati nao ni Watanzania 100%?

4. Kabila la analotoka Makamu wa Rais wa sasa Dr. Mpango ni 100% Watanzania?

5. Kabila la CDF Gen. Mkunda ni 100% la Watanzania?

6. Hayati Baba wa Taifa alikosea kusema na hata kukemea vikali Watanzania kuanza kubaguana kwa makabila na mataifa watokayo kiasili?

7. Kwanini hili limetokea sasa wakati Tanzania ikielekea katika chaguzi za Serikali ya mitaa mwaka huu na ule uchaguzi mkuu wa mwakani?

Tafadhali Rais Samia na CDF Gen. Mkunda nijibuni haraka haya maswali yangu ili nami niwajibu upesi walionituma kwani wako hewani sasa wanangojea.
Wamekutuma kuanzisha chokochoko mlizofanikiwa kuanzisha mashariki mwa Congo sio?
 
Marekani, Australia zimejengwa na watu wote walioamua tu kwa hiyari zao kuwa ni Wamarekani(au waAust...)

Kama Tanzania inapendwa hivi basi tukaribishe hao wageni na kuwapa uraia na kuwaruhusu wachape kazi.

Nchi ina fursa nyingi hii, abundant. Warete wareteeeeeeee!!!
 
Wamekutuma kuanzisha chokochoko mlizofanikiwa kuanzisha mashariki mwa Congo sio?
Na wengine tumeanza kuwapata humu humu JF wamevumilia mwishowe wameamua kujilipua. Wageni wapo wengi lakini hawana madhara lakini kwa Watutsi lazima tuwashughulikei kwani tunajua ndoto yao ya kuanzisha Bahima Empire bado wanayo na wanaifanyia kazi ndiyo maana wamejipenyeza kwenye Serikali na vyombo vyake. Wakati wa kuwashughulikia ni sasa. Tunamshukuru CDF kwa kuiona hatari hii.
 
Na Bongo zozo ni raia wa Tz na anateuliwa kwenye kamati za hamasa!!. Na kitambulisho Cha nida anacho swafiiii....!!.
 
Issue sio asili ya makabila tujifunze kusoma yaliyo ndani ya maneno na sio kusoma maneno!
Ukimsikiliza CDF utaona kuwa kuna kundi ndio analilenga la hao wakimbizi na sio kila mkimbizi.
Kwahiyo issue hapo ni hidden agenda na u-double agent wa hao wakimbizi waliojipenyeza serikalini.
Kama mtu ni mkimbizi na sio tishio kwa taifa wala usingemsikia CDF anaongea wangeyamaliza huko na jeshi la uhamiaji, lakini mpka ukaona CDF kaongea ujue kuna shida kubwa hasa inayogusa usalama wetu kama nchi.
HONGERA CDF, TUNAIMANI NA JESHI LETU YEYETO ATAKAYE JARIBU KUICHOKONOA TZ NI HAKI YETU KU DEAL NAE.
 
Je,

1. Wazanaki wanakotoka viongozi mbalimbali ikiwemo baba wa taifa Mwalimu Nyerere ni 100% Watanzania?

2. Wamakuwa kutoka mkoani Mtwara ambako pia anatoka aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati Mkapa ni 100% Watanzania?

3. Kabila la Wasubi atokalo aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Magufuli na ambalo pia ni la Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa nishati nao ni Watanzania 100%?

4. Kabila la analotoka Makamu wa Rais wa sasa Dr. Mpango ni 100% Watanzania?

5. Kabila la CDF Gen. Mkunda ni 100% la Watanzania?

6. Hayati Baba wa Taifa alikosea kusema na hata kukemea vikali Watanzania kuanza kubaguana kwa makabila na mataifa watokayo kiasili?

7. Kwanini hili limetokea sasa wakati Tanzania ikielekea katika chaguzi za Serikali ya mitaa mwaka huu na ule uchaguzi mkuu wa mwakani?

Tafadhali Rais Samia na CDF Gen. Mkunda nijibuni haraka haya maswali yangu ili nami niwajibu upesi walionituma kwani wako hewani sasa wanangojea.
Sasa umemweka hapo Gen Mkunda inaonesha hujui anatoka wapi.
 
Badala ya kuoambana na umasikini wanapambana na asili ya mtu
🇺🇸 Blacks wengi wamo NASA kwa hiyo ina maana wamewaletea ujuzi Africa kisa ni weusi
Au wanafanya kazi kama wamarekani na kulinda Taifa lao?
Wabongo mbadilike kwa Ubaguzi ndio maana umasikini hauishi
Mnarogana kutwa wenyewe kwa wenyewe na hamfiki popote
 
Back
Top Bottom