Wananchi wajitokeza katika hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kumwombea Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
IMG-20240302-WA0008.jpg
IMG-20240302-WA0004.jpg
IMG-20240302-WA0013.jpg
IMG-20240302-WA0009.jpg
IMG-20240302-WA0014.jpg
IMG-20240302-WA0010.jpg
IMG-20240302-WA0011.jpg
IMG-20240302-WA0012(1).jpg
IMG-20240302-WA0005.jpg
IMG-20240302-WA0006.jpg
IMG-20240302-WA0015.jpg
IMG-20240302-WA0003(1).jpg

WANANCHI na Viongozi mbalimbali wanaendelea kujitokeza kwa wingi katika hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kumwombea Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi katika uwanja wa Amaan, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.

Aidha, wananchi na viongozi mbalimbali wa Kitaifa watapata fursa ya kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu Mzee Mwinyi.

Hayati Mzee Mwinyi amefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024 katika hospitali ya Mzena, Kijitonyama, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu.

IMG-20240302-WA0021.jpg
IMG-20240302-WA0017.jpg
IMG-20240302-WA0023.jpg
IMG-20240302-WA0018.jpg
IMG-20240302-WA0024.jpg
IMG-20240302-WA0019.jpg
IMG-20240302-WA0020.jpg
IMG-20240302-WA0022.jpg

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi, Viongozi mbalimbali wa Kitaifa akiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika hafla maalumu ya Mazishi ya Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi katika Uwanja wa Amaan, Mjini Magharibi Unguja.

Viongozi wengine ni pamoja na Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Makamu wa Kwanza wa Rais Mhe. Othman Masoud , Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe. Dkt. Ali Mohammed Shein na Rais Mstafu wa Jakaya Mrisho kikwete.

Marehemu Mzee Ali Hassan Mwinyi amefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024 katika hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa akipata matibabu na kuzikwa leo Machi 02,2024 Mangapwani Kaskazini Unguja.

📅 02 Machi, 2024
 
Back
Top Bottom