Acha kudanganya watu. Hizi chanjo zinatengenezwa na brand tofauti so ilikuja Ile ya urusi sasa imekuja hii J&j then ya September ni Pfizer.

Kama umeshachoma hii hauna haha ya kuchoma nyingine mpaka muda utakapofika wa kuchoma dozi ya pili.

Hizi taarifa zipo tu publicly unazipata just Google tusipende kutoa taarifa zisizo za uhakika.
 
Sasa tumekaa na mamkubwa tukadunga zote mbili sijui hata zinaitwaje potelea karibu,
Jana napata taarifa kuna ya 3 sijui imetoka wapi.
Mi bana nimeghairi nakomaa tu kama kufa kupo tu sichomi hiyo ya tatu.
Mungu niwekee jimbo langu huko angalau niwe mkuu wa wilaya au diwani.
 
Acha kudanganya watu. Hizi chanjo zinatengenezwa na brand tofauti so ilikuja Ile ya urusi sasa imekuja hii J&j then ya September ni Pfizer.

Kama umeshachoma hii hauna haha ya kuchoma nyingine mpaka muda utakapofika wa kuchoma dozi ya pili.

Hizi taarifa zipo tu publicly unazipata just Google tusipende kutoa taarifa zisizo za uhakika.
Ninapita tu nikaona nikusalimie.
 
Acha kudanganya watu. Hizi chanjo zinatengenezwa na brand tofauti so ilikuja Ile ya urusi sasa imekuja hii J&j then ya September ni Pfizer...
Mama unaongea usichokijua,chanjo no 3 inaan¹7äza September na ni vikongwe wanaanza.September narudia Chanjo mpya sio zile tumepitia ambayo ndo kwanza inatambulishwa hapo.pfizer/Astra zenneca zimepita hii nyingine.

Google ipi unatumia wewe wengine wasijue??
 
Sawa tuchanjwe.
lakini wahakikishe kuwa 70% ya watu watapata chanjo.
Kama watachanjwa watu millioni 1 basi ujuwe hawa wana weza kupata corona na kuwaambukiza walobaki ya hiyo inayo itwa Delta wimbi latatu.

Walochanjwa na kupata corona, wanaweza kuambukiza wasochanjwa na ngoma ikawa hatari sana
Sawa mkuu
 
Huu ujuaji wenu mnaotaka kutuletea hapa haukubaliki hata kidogo.

Mnajifanya mnajua sana kuliko Dunia nzima si ndiyo?...
Hoja zako za kipumbavu kweli, sasa kama sisi unaona hatuna haki ya kupinga chanjo kwa sababu hatuwezi kutengeneza hizo chanjo vp kuhusu wenyewe huko wanaopinga chanjo na ndio wazungu?

Wewe huyo Gwajima tu unataka kumpoteza wakati hao wazungu wako kuna hadi Madoctor na wanasayansi kabisa wanaopinga chanjo ila hawapotezwi.
 
Usichanje mbuga,kadunge chanjo kwa manufaa yako na taifa lako uwalinde wengine kwa manufaa ya wote.
Kuna wapuuzi wamechanjwa hiyo Uviko zaidi ya mala moja, kakini wanatakiwa wachanjwe tena

Hiyo maana yake nini?

Yani kusoma hujui, hata picha jamani
 
Kuhusu suala la chanjo kiukweli serikali na wadau wanaopigia chapuo ni kama vile kuna kitu wanakwepa ambacho hata wao hawana hakika. Kwakuwa chanjo iko kwenye majaribio nani atawajibika kwa madhara yatayotokea baada ya kuanzia miaka mitatu na kuendelea?

1. Inaonyesha serikali haina sauti na inaiogopa jumuiya ya kimataifa (kutengwa) na wafadhili.

2. Wanaopigia chapuo chanjo wanapewa airtime ya kutosha kuliko wanaoipinga kwa sababu ambazo mpaka sasa wataalamu wanaopigia chapuo chanjo wameshindwa kuzipangua.

Sisi kama nchi huru, serikali ingezipa uhuru media zote ziweke mijadala huru na ya wazi kwa kuwaita manguli baina ya wanaoipigia chapuo na wanaoipinga ili wananchi waone Umuhimu wa kuchanja au kutochanja. Mfano unaambiwa, ukichanja unaweza ambukizwa au ambukiza, hali kadhalika hivyohivyo kuhusiana na barakoa, hapo maana ya kuchanja kunapoteza thamani kwa mwananchi wa kawaida.

3. Ndio maana wananchi wengi wanahisi hili ni zoezi la upigaji chapa (666)na kupandwa virus miilini mwetu kwa kigezo cha chanjo zilizowahi fanyika nchini, wakati kila zama na kitabu chake, (tusije kuwa mazombi yajayo)
 
ngoja waje
JAPO NAWASI WASI HUU UZI UKA FUWA
IMG-20210806-WA0047.jpg


Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Suala la chanjo ya corona sio la kukurupuka. Kwa maoni yangu linahitaji muda wa kutosha kujielimisha na kujiridhisha ndipo mtu aamue kuchanjwa au kusubiri zaidi.

Kinachonishangaza ni kwamba dunia
nzima ikiwemo ulaya na marekani zilikoanzia hizo chanjo na kwenye wasomi wengi kuliko huku kwetu raia wamegawanyika. Na si tu raia wa kawaida bali hata wataalam kuna mambo mengi hawakubaliani kuhusu chanjo ya corona.

Marekani wamekuja na mbinu ya kuwapatia zawadi watakaokubali kuchanjwa, Uingereza raia waliingia barabarani kupinga chanjo, huko ufaransa wananchi wanaandamana kugomea mpango wa kuchanjwa kwa lazima.

Ikiwa huko kote hali ni hiyo iweje watanzania wasiotaka kuchanjwa waandamwe kiasi hicho?

Naomba tujipe muda tusijaribu kutumia nguvu nyingi kulazimishana kuchanja, ikiwa chanjo ipo na ni nzuri na inasaidia watu wataona na wataamua wenyewe.
 
Suala la chanjo ya corona sio la kukurupuka. Kwa maoni yangu linahitaji muda wa kutosha kujielimisha na kujiridhisha ndipo mtu aamue kuchanjwa au kusubiri zaidi.

Kinachonishangaza ni kwamba dunia
nzima ikiwemo ulaya na marekani zilikoanzia hizo chanjo na kwenye wasomi wengi kuliko huku kwetu raia wamegawanyika. Na si tu raia wa kawaida bali hata wataalam kuna mambo mengi hawakubaliani kuhusu chanjo ya corona...
Ulaya na Marekani ndio wapi?
 
Japo siko kwenye hiyo Ligi ya mkubali chanjo au mkataa chanjo ila wakati mnatoa hoja jaribu uwe na uhakika.
Huko marekani unakosema wanagomea chanjo, je wafaham zaidi ya Asilimia 50 mpaka sasa wamechanja?

Sasa hapa Tanzania chanjo yenyewe ilofika ni Milioni moja na kama ikitokea imetumika yote hapo haifikishi hata asilimia 2 ya idadi ya watu wote nchini.

Je unataka fananisha hivi vitu viwili kweli?

Elimu yetu bado ni ndogo na pia imani yetu na dini bado ni kubwa na ndo utumwa tuloletew tusijijue
 
Back
Top Bottom