SABABU 10 YA KWANINI SITACHANJWA

1.Wataalamu wa afya wameshindwa kuniakikishia usalama wangu baada yakuchoma chanjo,serikali inanitaka nijaze fomu kukiri wao kutokuhusika na madhara yeyote yatakayojitokeza.

2.Wataalam hawajatoa maelezo ya nini Kilichopo katika chanjo na kanuni zilizotumika katika utengeneaji.

3.Wataalam wameshindwa kuniakikishia chanjo itakaa muda gani mwilini,mwezi,miezi mwaka au miaka fumbo hili haijulikani

4.Baada yakuchoma chanjo bado nitalazimika kuvaa barakoa.

5.Baada yakuchoma chanjo bado nitaweza kupata maambukizi.

6.Nikipata chanjo bado nitalazimika kuweka social distance(kutokukaribiana na watu).

7.Ndugu zangu wote na mimi wakipata chanjo bado hatutatakiwa kukaribiana wala kukumbatiana.

8.Serikali iliyopita ilituakikishia chanjo hazifai na ilitoa mfano kuna NNCHI fulani walipewa chanjo ikidhaniwa kuzuia kansa ya shingo yakizazi,kumbe ilikuwa kuzuia kuzaa,sasa wakati huu hakuna wakukanusha hili na hata kutoa ufafanuzi juu ya ukweli huo(kuwa ya sasa haina hayo madhara au vingievyo)

9.Serikali imeshindwa kutupa maelezo ya kwanini ilichagua chanjo ya jonson and jonson kati ya chanjo nyingi zilizopo ingali jonson and jonson inatuhuma yakugandisha damu na kusababisha madhara kwa wamarekani.

10.Hakuna kanusho lolote dhidi ya chanjo hizi kubadili DNA,kusababisha utasa..

Chanjo ni HIARI ya mtu,ni kosa kuhamasisha kuchoma au kutokuchoma tuache iwe jambo la mtu mmoja mmoja binafsi nimechagua kutokuchanjwa
Nyie waafrica mna akili za kipunda punda sana,sasa mtachanjwa kwa nguvu,na atakayezuia watu wasichanjwe atapigwa Risasi hadharani.
Ningekuwa Rais mimi Gwajima angekuwa kapotea siku nyingi mno
 
Msemo wa kwetu uswahilini unasema chelewa chelewa utakuta DNA hazifanani na zako,kwa maana hii chanjo itakuja kuwa ya kulipia na wakati huo marazi nje nje,unamkwaa covi kiulaini kabisa. Hivyo tulia wala hulazimishwi ila basi la mwendo kasi hupandi.
 
Nyie waafrica mna akili za kipunda punda sana,sasa mtachanjwa kwa nguvu,na atakayezuia watu wasichanjwe atapigwa Risasi hadharani.
Ningekuwa Rais mimi Gwajima angekuwa kapotea siku nyingi mno
Kwani situulizane tu,wabambikiaji kwani wanaogopa kijani?
 
Huu ujuaji wenu mnaotaka kutuletea hapa haukubaliki hata kidogo.

Mnajifanya mnajua sana kuliko Dunia nzima si ndiyo?

Nyie Watanzania mnaopinga Chanjo ya Covid-19,tuelezeni Tanzania iliwahi kuvumbua Chanjo gani hapa Duniani?
Kila kitu mnaletewa kutoka Ulaya na Marekani.

Chanjo za Polio,Tetenus na ndui mnazodungwa tangu mkiwa watoto hadi mnakua na kupata nguvu ya kubwabwaja hovyo mnazitengeneza nyie Watanzania?

Madawa ya ARV mnayobugia Kama karanga baada ya kugongwa na umeme huwa mnayatengeneza nyie Watanzania?
Vyote hivyo vinatoka Ulya na Marekani,na India.

Sasa ujuaji mnautoa wapi?

Nasema ningekuwa Rais, Gwajima angepotea, huwezi kuhamasisha Taifa kususia Chanjo wakati huna ujuzi wowote na mambo ya Sayansi ya Afya,Eti kisa umejaliwa kuongea sana.
 
SABABU 10 YA KWANINI SITACHANJWA

1.Wataalamu wa afya wameshindwa kuniakikishia usalama wangu baada yakuchoma chanjo,serikali inanitaka nijaze fomu kukiri wao kutokuhusika na madhara yeyote yatakayojitokeza.

2.Wataalam hawajatoa maelezo ya nini Kilichopo katika chanjo na kanuni zilizotumika katika utengeneaji.

3.Wataalam wameshindwa kuniakikishia chanjo itakaa muda gani mwilini,mwezi,miezi mwaka au miaka fumbo hili haijulikani

4.Baada yakuchoma chanjo bado nitalazimika kuvaa barakoa.

5.Baada yakuchoma chanjo bado nitaweza kupata maambukizi.

6.Nikipata chanjo bado nitalazimika kuweka social distance(kutokukaribiana na watu).

7.Ndugu zangu wote na mimi wakipata chanjo bado hatutatakiwa kukaribiana wala kukumbatiana.

8.Serikali iliyopita ilituakikishia chanjo hazifai na ilitoa mfano kuna NNCHI fulani walipewa chanjo ikidhaniwa kuzuia kansa ya shingo yakizazi,kumbe ilikuwa kuzuia kuzaa,sasa wakati huu hakuna wakukanusha hili na hata kutoa ufafanuzi juu ya ukweli huo(kuwa ya sasa haina hayo madhara au vingievyo)

9.Serikali imeshindwa kutupa maelezo ya kwanini ilichagua chanjo ya jonson and jonson kati ya chanjo nyingi zilizopo ingali jonson and jonson inatuhuma yakugandisha damu na kusababisha madhara kwa wamarekani.

10.Hakuna kanusho lolote dhidi ya chanjo hizi kubadili DNA,kusababisha utasa..

Chanjo ni HIARI ya mtu,ni kosa kuhamasisha kuchoma au kutokuchoma tuache iwe jambo la mtu mmoja mmoja binafsi nimechagua kutokuchanjwa
Ukitobolewa na msumari au kukatwa na bati unakimbilia kuchoma chanjo ya "tetenasi"... unafikiri imetengezwa hapa??unajua umadhubuti wake??umewahi kupewa maelezo ya hii chanjo??
 
...uwalinde wengine kwa manufaa ya wote.
Hakutakuwa na 'wave four' nikishachanjwa? Ninyi mnaposhindwa kujibu maswali kama haya kwa utaratibu na kwa umakini ndiyo mnazidisha dukuduku dhidi ya chanjo. Siyo vizuri hivyo, mjue!
 
Itumie hiari yako vizuri na sii vibaya,usinitafuta baadae kuwa sikukuambia.
 
wagonjwa wa;
1.KISUKARI
2.UKIMWI
3.SARATANI
4.MOYO
5.PRESHA
6.TB
tuchukue tahadhari maaana hili wimbi la 3 la delta linapuputisha sana wenye maradhi hayo.
chukua tahadhari piga chanjo
 
Back
Top Bottom