Wanaopiga pesa ni maCCM👇
202112.jpg

sbH.jpg
 
Kwa hiyo wao hawatumii gharama kutumia hizo chanjo?.
Tuache kusingizia wazungu huku tukiacha majukumu yetu ya msingi.
 
Kuna ajenda ya siri kwenye ugonjwa wenyewe na chanjo zake.......ni sawa na muvi iliyokuwa ishatengenezwa kitambo sana na sasa ndo inaanza kuonyeshwa.
 
Kwa kiasi kikubwa nchi za mabeberu ni maskini wa maliasili!! Kwa hiyo wamekuja na mkakati wa kuhakikisha wanatumia corona kuvuna mabilioni muda wote toka nchi zingine!! Wanatengeneza mawimbi bandia ya corona ili kuhakikisha chanjo zinakuwa bidhaa ya kudumu.
Kwa sasa Uingereza imetangaza kuwa chanjo ya corona booster ni kila baada ya miezi 3 kwa watu wote kuanzia miaka 12 na kuendelea!! kwa vyo vyote vile hili jambo halitekelezeki kwa nchi zetu hizi, au labda uamue kila pesa unayopata inunue chanjo tu. Ukifanya hivyo tayari unawafanya watu kuwa watumwa wa kufanya kazi ili kipato kinachopatikana kipelekwe kwa mabeberu kulipia chanjo!! JPM alisema nooooo!!! na watanzania tulimwelewa!! Kutuambia vinginevyo na ngonjera za barakoa ni kutwanga maji kwenye kinu!! Endeleeni kina-akwilapo labda mtafanikiwa kuyatwanga maji kwenye kinu!!

Hadi sasa tumeshatumia kiasi gani cha pesa kununua chanjo?

Mengine haya kwao Chatto.

Makunduchi hawawezi kuukubali utopolo kabila hii tena.
 
Hadi sasa tumeshatumia kiasi gani cha pesa kununua chanjo?

Mengine haya kwao Chatto.

Makunduchi hawawezi kuukubali utopolo kabila hii tena.
Dalali wa chanjo huyu Sasa.Vyama pinzani Dunia nzima walivuna
sana mpunga ,Ili wawe upande wa kusapoti chanjo ..chadema na ACT, NI MIONGONI MWAO.CHADEMA HAWAAMINIKI HAWA,WATAUZA NCHI ASUBUHI SANA.NDYO MAANA MBOE ALISEMA ETI CHANJO IWE LAZIMA KWA WATANZANIA WOTE.
HATA BUNGENI WALISUSA..HAWA NI MADALALI WA NCHI,BILA JPM TUNGEKUWA NA HALI MBAYA SANA
 
Halafu wewe utakuwa ni mzee lazima, ndio maana ukiokota porojo huko mtaani unaziunga mkono bila kujiuliza. Kwa hiyo hao wazungu wameona kuuza dawa kuna faida kuliko shughuli nyingine za kibiashara zilizosimama dunia nzima?
Tunanunua ndiyo!! Zile chanjo milioni moja ndo tulipewa bure na marekani kama chambo!! Baada ya hapo ni pesa! Mpango wa covax si bure kwa maana ya bure!!
 
Removing the vaccined. Tazama mpaka mwisho ufahamu technologia ya hizi chanjo
 
Back
Top Bottom