mawimbi

Alex Mawimbi, formerly known as Ato Malinda, is a multidisciplinary performance artist born in Kenya and formerly based in Rotterdam.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Dorothy Semu: Nimekivusha Chama cha ACT Wazalendo kwenye mawimbi ya ukandamizaji wa Demokrasia

    HOTUBA YA NDUGU DOROTHY-MANKA JONAS SEMU WAKATI KUCHUKUA FOMU YA KUWANIA NAFASI YA KUWA KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO Ndugu watanzania Ndugu viongozi, wanachama, wapenzi na wafuasi wa ACT Wazalendo kipekee wote mlionisindikiza kutoka kila kona kujumuika nami hapa katika tukio hili la...
  2. U

    Je, dishi la zuku linaweza kunasa mawimbi ya king'amuzi cha Azam?

    Ndugu wajuzi njooni hapa mnielimishe! Mahali nilipo kuna upepo balaa.King'amuzi cha zuku kilishindwa muda, nikahamia StarTimes nao ni walewale! Wingu likija tu basis mawasiliano byebye! Imefikia hatua namaliza siku hakuna cha taarifa ya habari wala nini! Nimesikia azamu wakijinadi kuwa inyeshe...
  3. R

    Tahadhari ya vipindi vya upepo mkali na mawimbi makubwa Dar, Ukanda wa Pwani

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa taarifa hiyo leo Jumapili Juni 25, 2023 kuwa kutakuwa na vipindi vya upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa katika Pwani ya Bahari hindi na kutoa angalizo kwa watu kuchukua tahadhari. “Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzanzania inatoa angalizo la vipindi...
  4. BARD AI

    Guglielmo Marconi, mgunduzi wa Redio inayotumia Mawimbi (Radio Waves)

    Redio ya kwanza inayotumia Mfumo wa Mawimbi ilianza kurusha Matangazo Mwaka 1895 baada ya Mvumbuzi Guglielmo Marconi kutoka Italia kufanikisha zoezi la Redio hiyo kusikika katika eneo la Kilomita 3.2 bila kuunganishwa na Waya. Mwaka 1900 Wanasayansi 3, Reginald Fessenden, Maryland na Cobb...
  5. BARD AI

    Mtaalamu wa kukata mawimbi Chris Davidson afariki baada ya kupigwa ngumi nje ya bar

    Mchezaji nyota wa zamani wa Australia Chris Davidson amefariki baada ya kupigwa ngumi nje ya baa moja Kaskazini mwa Sydney. Mwanamaji huyo mwenye umri wa miaka 45 alipigwa usoni na kuanguka, akigonga kichwa chake kwenye barabara, polisi walisema. Alitibiwa katika eneo la tukio lakini alifariki...
  6. JanguKamaJangu

    UN: Mawimbi ya joto kali yataendelea kutokea hadi Mwaka 2060

    Mawimbi ya joto kali yanayoikumba Ulaya Magharibi yatazidi kujitokeza mara kwa mara hadi mwaka 2060. Kitengo cha Utabiri wa Hali ya Hewa cha Umoja wa Mataifa (UN) kimesema hilo linapaswa kuwa onyo katika harakati za binadamu kupambana na mabadiliko ya tabianchi. Aidha, Shirika la Afya Dunia...
  7. Etugrul Bey

    Wanaume wanazama Pangoni na Wanawake Wana bounce kama Mawimbi

    Habar Wana Jf. Kabla sijaanza haya maudhui ngoja nimalizie kiporo katika Uzi wangu uliopita. Je zawadi ina pata point ngapi Kwa wanawake? Ukweli ni kwamba Kwa kila zawadi anayopewa mwanamke iwe kubwa au mdogo basi ujue zote zinapata point moja,ukimpa gari utapata moja na atayetoa Maua ridi...
  8. Bushmamy

    Katavi : Shule ya Msingi ina walimu sita tu, Mawimbi ya Radio hayafiki .

    Shule ya msingi Ilangu. Iliyopo katika kata ya Ilangu wilayani Tanganyika inakabiliwa na upungufu wa walimu pamoja na vyumba vya madarasa. Siyajali Odasi ambae ni Makamu Mwenyekiti wa kijiji hicho amesema kuwa shule hiyo yenye wanafunzi zaidi ya mia tisa (900) iliyopo kijijini kwake ina walimu...
  9. Roving Journalist

    #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  10. Mkogoti

    Ukiwa huna hela hata ukienda beach kuogelea Mawimbi yanakuja kukusomba Maana yanafikiri umekuja kujiua

    Habari za mida hii wadau!? Yani nipo napiga hesabu nifanyeje haya Maisha naona yanazidi kupiga chenga tu halo inakuwa ngumu, ukimuomba mtu hela anasema mitano tena sasa hiyo mitano tena ndo ntashiba ama au ni hela, Tufike muda tuoneane huruma jamani. 🤦🤪🏃
  11. KakaKiiza

    Kwa kauli ya leo ya Mh Rais Magufuli kuna mawimbi yanarindima isikilize kwa makini tone yake!!

    Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi! Ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao. Kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali wajiangalie wanaweza wasipitishwe...
  12. Makirita Amani

    Mawimbi yanapotulia ndiyo tunajua nani anaogelea uchi (Hatua 10 za kuchukua ili kuizuia biashara yako isife kwa mlipuko wa Corona)

    Mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea sasa duniani (COVID - 19) una madhara kwenye kila eneo la maisha yetu. Madhara makubwa kabisa yako kwenye upande wa afya, siyo tu kwa mtu mmoja mmoja, bali kwa mfumo mzima wa afya. Kwa sababu uwezo wa mfumo huu ni mdogo ukilinganisha na uhitaji...
  13. M

    Utunzaji wa nywele za asili

    Kwa wale ambao tuna nywele asilia a.k.a natural hair, tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, karibuni sana tuendelee kujuzana namna ya kutunza nywele zetu kama tulivyopewa na Mungu Katika mada ya leo,nitakwenda kuzungumzia vitu...
  14. Mlenge

    Huzuni ya Kufiwa Huja Kama Mawimbi

    Kifo hakizoeleki. Kila mmoja anayo namna yake ya kuonyesha huzuni yake baada ya kufiwa; kwa mfano, wengine hulia kwa kupiga kelele, japo wengine hukaa kimya. Huzuni ni kitu kisichoonekana kwa macho, na mara nyingi huwaweka wahuzunikao kwenye hatari ya kupata sononi na madhara mengine ya...
Back
Top Bottom