utoaji chanjo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Serikali yakiri uzembe kwenye utoaji Chanjo za Magonjwa mengine baada ya kutokea UVIKO-19

    Wizara ya Afya imebaini kuwepo uzembe katika utoaji wa Chanjo za Magonjwa kutokana na Serikali kuwekeza nguvu kubwa katika Chanjo ya #UVIKO19 na kusahau Chanjo za magonjwa mengine. Waziri wa Afya #UmmyMwalimu, Amesema hali hiyo imeleta madhara makubwa kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa #Surua na...
  2. beth

    #COVID19 Ripoti: COVID-19 yaathiri utoaji chanjo muhimu kwa watoto

    Takriban Watoto Milioni 25 duniani walishindwa kupatiwa kwa wakati Chanjo muhimu zinazowalinda dhidi ya Magonjwa mbalimbali mwaka 2021, ikiwa ni ongezeko la Watoto Milioni 2 ikilinganishwa na takwimu za mwaka 2020 Ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Umoja wa Mataifa...
  3. beth

    DR Congo: Kampeni ya utoaji chanjo dhidi ya Ebola yaanza

    Mamlaka za Afya Mashariki mwa Taifa hilo zimeaza kampeni ya utoaji wa Chanjo ya Ebola baada ya kifo cha Mtoto wa miaka miwili kuibua hofu ya kutokea Mlipuko mwingine mkubwa. Watumishi wa Afya wanawafuatilia watu zaidi ya 170 na Dozi 200 za Chanjo tayari zimetumwa katika Mji wa Beni ambapo Mtoto...
  4. beth

    #COVID19 WHO: Kasi ya utoaji chanjo imeongezeka Afrika

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema utoaji Chanjo dhidi ya COVID19 barani Afrika umeongezeka ikielezwa dozi Milioni 13 zilitolewa wiki iliyopita. Idadi hiyo ni mara tatu zaidi ya Chanjo zilizotolewa wiki ya kabla. Mkurugenzi wa WHO Afrika, Matshidiso Moeti amesema Visa vipya 248,000...
  5. Roving Journalist

    #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Je, COVID-19 ni nini? COVID-19 ni maambukizi yanayosababishwa na virusi vya Corona, virusi hivi ni sawa sawa na vile vinavyosababisha mafua ya kawaida tofauti na mafua, virusi vya corona vinaweza kuambukiza mwingine kabla hata ya huyo mtu hajaanza kuonesha dalili. Tofauti ni kwamba, watu wenye...
  6. Miss Zomboko

    Uchangiaji Damu kwa hiari waathiriwa na huduma ya utoaji chanjo ya CoronaVirus

    Huduma za uchangiaji damu nchini Kenya zimeathiriwana na janga la Covid-19, kwani wachangiaji ambao wamepokea sehemu ya kwanza dozi au dozi kamili ya chanjo ya AstraZeneca wanapaswa kusubiri kwa angalau siku saba kabla ya kuchangia damu. Huduma ya Kitaifa ya Uchangiaji Damu nchini humo...
Back
Top Bottom