kisayansi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Hili maziwa ya mama yakiuma basi mtoto wake anakuwa amekojoa likoje kisayansi?

    Leo nimekaa na mke wangu tunakula ghafla maziwa yakamuuma akaniambia mtoto anakojoa ndani ndo Mana yananiuma, maana mtot ana miezi miwil alikuwa amelala. Nikamwambia acha Imani zako za kiswahili twende tukahakikishe, tumefika tumemfunua mtoto kweli kakojoa. Na akanambia mtoto akiwa amelala...
  2. JanguKamaJangu

    Amos Makalla: Sisi tunatatua kero Kisayansi, hatupigi kelele

    Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio maana tunatatua kero zetu kisayansi, kimyakimya tunatangaza tumefanya moja mbili tatu.
  3. fredyyboy

    Tafiti za kisayansi

    Habari zenu wakuu Nimekuja kwenu nikiamini hapa Kuna wataalamu Wana sayansi bomba wenye ujuzi na maarifa mengi Nilikua naomba ushauri kwenu nipo chuo na nimetumia muda mwingi kufanya tafiti na Moja ya tafiti ninayoifanya ni namna Gani nitafanya niweze badili Karatasi kuwa mbolea? Kwenye...
  4. fredyyboy

    Tafiti za kisayansi

    Habari zenu wakuu Nimekuja kwenu nikiamini hapa Kuna wataalamu Wana sayansi bomba wenye ujuzi na maarifa mengi Nilikua naomba ushauri kwenu nipo chuo na nimetumia muda mwingi kufanya tafiti na Moja ya tafiti ninayoifanya ni namna Gani nitafanya niweze badili Karatasi kuwa mbolea? Kwenye...
  5. SAYVILLE

    Maelezo ya kisayansi kumaliza utata wa mpira wa kona mechi ya Simba vs Singida

    Embu angalieni clip hii. Saidoo alipoupiga mpira, kwa angle na mguu aliotumia, ule mpira bila kuingiliwa na mtu mwingine ulitakiwa uzungukezunguke kwenda upande wa kulia lakini kutokana na kuparazwa na mchezaji wa Singida, ule mzunguko ukabadili uelekeo na kuanza kuzungukazunguka kushoto...
  6. Ahmet

    Hakuna nadharia yoyote ya Kisayansi inayoelezea kikamilifu chanzo cha ulimwengu

    Habari wapendwa, Kuna hizi theories zinazoelezea chanzo cha Ulimwengu, kwa uelewa wangu hakuna hata moja inayoelezea kikamilifu chanzo cha huu Ulimwengu, bali nyingi zinaelezea modifications na evolution tu ya Ulimwengu ambapo katika kuelezea huko zinaweza zisiwe sahihi pia. Tuziangalie kwanza...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ushauri: JWTZ/JKT wajikite kwenye tafiti za kisayansi na teknolojia. Wabuni silaha zao wenyewe

    JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na...
  8. William Mshumbusi

    CCM inafanya siasa kisayansi na akili kubwa sana kuliko CHADEMA

    Hapa nazungumzia sayansi ya siasa sizungumzii uzuri au ubora wa sera za chama. Mfano wamefanikia kuwaaminisha umma kuwa Raisi Ni mpole na msikivu na ameleta malidhiano na kuruhusu mikutano ya hadhara na kufuta kesi za wapinzani. Ingawa Ni maridhiano uchwara. Since bado Sheria za uchaguzi, tume...
  9. Mr Dudumizi

    Vijana acheni kulalamika pale mdogo anapoadhibiwa na mkubwa wake kisayansi. Hii ndio siasa na mkumbuke kuwa sikio huwa halizidi kichwa.

    Habari zenu wana JF wenzangu, Kwanza kabla ya yote napenda kutumia nafasi hii kuiombea nchi yangu amani, upendo, mshikamano, ushirikiano, maendeleo ya watu na vitu. Ndugu yetu mh Lisu baada ya kuishi ulaya miaka miwili mitatu, na kupata watu wawili watatu wa kumlipia kodi ya nyumba na hela ya...
  10. Faana

    Je, ni sababu gani ya Kisayansi hufanya maua ya alizeti kugeukia mashariki wakati wa kuchanua?

    Nimekuwa safarini tangu mwezi March katika mikoa mbalimbali, nilichokiona humo njiani ni alizeti kuchanua ziki face upande wa mashariki, nimeiona hii Singida, Dodoma, Iringa, Morogoro, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga, Pwani na Morogoro. NB: Naomba michango yenye kuelimisha tafadhali.
  11. GENTAMYCINE

    Mafanikio ya Kisayansi ya Yanga SC dhidi ya Upumbavu unaoendelea Simba SC yatanifanya nianze kuwa Neutral kiushabiki

    Timu inamilikiwa na anayesifiwa Tajiri Afrika halafu ndani yake kuna Uswahili Uliotukuka huku hata nae Tajiri akiwa ni Mswahili hivyo hivyo. Timu inamilikiwa na Tajiri wa Kawaida tu GSM huku ikisimamiwa Kisayansi na Rais Injinia Hersi Said inazidi tu Kuchanja Mbuga Kimafanikio huku ikitutia...
  12. Venus Star

    Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    Nawasalimia wana JF wote. Leo nitaongelea uthibitisho wa kisayansi uwepo wa Mungu. Na ninapenda tujadili hapa kisayansi zaidi. Pamoja na kuunganisha imani mbalimbali zilizopo. Sipendi niseme kwamba jina Mungu au neno Mungu ndio sahihi katika kitu ninachotaka kuongelea. Lakini nitaongelea...
  13. Engager

    Twambie Changamoto ya kiafya na Tiba yake ambavyo kisayansi ni kama havimake sense ila kiuhalisia vipo

    Kizazi cha wazee wetu wenye kujua tiba mbadala kwa matatizo ya kiafya yasiyo elezeka kisayansi, kinazidi kuisha. Tunabaki sisi akina .com Hivyo basi, kama uliwahi kudokezwa, kufanya ama kuona mtu akifanya tiba flani mbadala kwa changamoto flani ya kiafya na ikafanikiwa, si mbaya...
  14. LIKUD

    Hii ndiyo njia sahihi (ya kisayansi) ya kuwaumiza 'haters' wako

    Hakunaga binadamu asiyetaka kuwaprove wrong haters wake. Kuwaprove wrong watu waliokuwa wanasema hatoweza ku accomplish jambo fulani. Hakunaga.Hata Mungu alimruhusu Shetani amjaribu Ayubu kwa sababu alitaka kuprove kitu kwa hater wake. Kama kuna watu walikuwaga wanasema hutoweza kutimiza jambo...
  15. LIKUD

    Huenda hii ndio sababu ya kisayansi kwanini Kaini alimuua Habili (Abeli)

    Ukisoma kisa cha Kaini na Habili ( watoto wa Adam na HAWA ambao KWA mujibu wa mafundisho ya wakristo, waislamu na Wayahudi ina aminika ndio binadamu wa kwanza duniani jambo ambalo ni kinyume na mafundisho ya imani za jadi za kiafrika) Utagundua kwamba Cain killed Abel over bullshit. Hakukuwa na...
  16. L

    Upinzani wa Tanzania ni wa vimatukio, Rais Samia ameumaliza kisayansi

    Ndugu zangu upinzani wa Tanzania Ni mwepesi Sanaa, Ni Rahisi Sana kuupoteza na kuufifisha, ni rahisi sana kuumaliza, kuudhoofisha, kuusambalatisha, kuuvuruga, kuugawa na kuuweka mikononi mwako na kuutumia unapohitaji kufanya jambo fulani, hii ni kutokana na kwamba upinzani wa Tanzania haunaga...
  17. Equation x

    Imebidi nitumie njia ya kisayansi kuupiga chini mchepuko unaonifilisi

    Huyu mrembo amekuwa akiniongezea gharama katika matumizi ya kila siku, na hii ni kutokana na kuwa anapenda vitu vya anasa anasa. Kutokana na uzuri wake, pamoja na mizinga aliyokuwa akinipiga, niliamua kupandikiza ujauzito ili siku zijazo niweze kujifariji pale tutakapoachana. Kwa sasa, ujauzito...
  18. Tman Clever

    Asili ya mwanaume halisi kisayansi (erected penile and it's size)

    Salamu ziwe nanyi wakuu. Tuzungumzie mambo machache mawili Leo kiufupi sana. a) Nguvu za kiume na B) Mjomba kusimama. Na urefu wake (Perfect penile erection) A) NGUVU ZA KIUME Ni uwezo wa kusababisha uzazi. Unajipimaje? i. Wazungu/manii wawe wanatoka. WENYE AFYA INAYOTAKIWA na ii. Wawe na uwezo...
  19. Antonia lujabuka

    SoC02 Utafiti wa kisayansi na vitendo

    UTAFITI WA KISAYANSI KWA VITENDO Mama: Selvina nenda kalale kesho shule Selvina: mama bado kidogo ndio inaishia Mama: kalale haraka kabla sijafika apo kupiga Selvina alizima TV na kwenda kulala. Ni binti wa miaka kumi na tatu alipenda Sana kuangalia video za sayansi ya anga. Kila siku alikuwa...
  20. LIKUD

    Sababu za kisayansi kwanini Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa wanawake wengi wakali kuliko mwenye gari

    When I was a lil bow wow (a very young boy) I was thinking just like you. Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari. So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu. But...
Back
Top Bottom