mazingira bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pedeshee212

    JamiiForums Tanzania Mazingira Bora, maisha safi

    Kuhusu Sisi MACDEGAMO Company Limited ni kampuni ya kitaalamu inayotoa huduma za matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, upandaji na utunzaji wa bustani (garden & landscaping), pamoja na house molding. Tunalenga kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, kwa wakati na kwa...
  2. CyberTz

    JamiiForums Tanzania Haja ya vyuo vikuu na vyuo vya kati kuandaa mazingira bora ya wanafunzi kujifunza kwa vitendo katika masomo yao

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati kuhitimu elimu zao bila kuwa na ujuzi wa kivitendo katika taaluma walizozichagua. Hali hii imesababisha changamoto kubwa mitaani, hasa katika mchakato wa kutafuta ajira. Nitazingatia zaidi upande wa kada za teknolojia. Hii ni...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Mahakama haiwezi kuwa huru kama Watendaji wake hawana uhakika wa mishahara na mazingira bora ya kazi

    Jaji Mkuu George Mcheche Masaju amezungumzia kuhusu maslahi ya Watendajiw a Mahakama mbele ya Rais Samia Suluhu ambaye anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  4. Pedeshee212

    JamiiForums Tanzania Mazingira bora upendezeshwa na mwonekano wa garden yako

    TENGENEZA GARDEN YAKO KWA GHARAMA NAFUU SANA. NAMBA : 0714 693107
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama Vya Siasa Tumieni Majukwaa yenu ya kisiasa kuhubiri kuhusu mazingira

    wakuu Ivi karibuni kumekuwa na mikutano ya vyama siasa ila sijasikia kuhusu mazingira? Hawa akina Heche,Makala,wasira na Lema wanaosema kuhusu ajira,elimu,na barabara na afya wanajua chochote kuhusu mazingira? Hawajui kwamba utekelezaji wa mambo hayo yanahitaji mazingira hawasemi kuhusu jinsi...
  6. Hharyson

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YAKO INAHITAJI KUWA NA MAZINGIRA BORA SANA LET US DESIGN AND BUILD YOUR LANDSCAPE 0624004650

    WE DO BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION LANDSCAPE ALSO TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL US +255624004650
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo

    Serikali imeendelea kusimamia utekelezaji wa sheria za kazi kuweka mazingira bora ya kazi ambapo imefanya jumla ya kaguzi za kazi 20,637 katika maeneo ya kazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa viwango vya kazi vinatekelezwa ipasavyo. Jumla ya Amri Tekelezi 1,826 zimetolewa kwa waajiri waliobainika...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Dar: Nchi za Afrika zajadili namna bora ya kudhibiti taka za kielektroniki(e-waste) ili kulinda Mazingira na kuongeza fursa za ajira kwa vijana

    Siku ya tatu ya Mkutano wa Nchi za Afrika zinazotekeleza Mradi wa Kudhibiti Matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu (EHPMP) ambapo leo Tarehe 6 Novemba 2024 umelenga kujadili namna bora ya kudhibiti taka za kielektroniki ili kulinda Mazingira na kuongeza fursa za ajira kwa vijana...
  9. Gabriel Mollel 12

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa suluhu zinazonufaisha watu na mazingira

    TANZANIA TUITAKAYO The environment is an intricate web of natural elements, including air, water, soil, flora, and fauna, all interdependent. Human activities have increasingly disrupted this balance, leading to environmental degradation. Pollution, deforestation, and unsustainable resource...
  10. Gabriel Mollel 12

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tuitakayo: Mazingira bora na endelevu, na wito wa kila Mtanzania kushiriki katika safari ya kubadilisha nchi

    TANZANIA TUITAKAYO Katika ardhi ya Tanzania, kulikuwa na kikundi cha vijana wenye moyo wa kipekee na maono makubwa. Walikusanyika pamoja kwa lengo moja: kubadilisha mazingira na kuleta maendeleo ya kudumu kwa kutumia ubunifu wao, Greenfuse Charcoal. Baltazary, Gabriel, Veronica, Dorah, na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Mikakati ya Mazingira Bora Kimaendeleo

    Tunapotarajia mustakabali wa Tanzania, ni muhimu kutengeneza dira ya kina na ya mbele inayoshughulikia sekta mbalimbali kama vile elimu, afya, teknolojia, uchumi, mazingira na miundombinu. Lengo ni kuunda taifa lisilojitegemea tu bali pia kiongozi katika ubunifu na maendeleo endelevu. Dira hii...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Siasa safi Tanzania imechochea na kukuza biashara na ajira nchini

    Ni dhahiri siasa safi za maendeleo zinazofanyika Tanzania, zimechochea na kuimarisha mazingira bora zaidi ya kufanya biasha, na kusababisha hivi sasa, karibu kila eneo mijini na vijijini kuna soko, duka au masoko ya bidhaa mbalimbali yamafunguliwa. Hizi zote ni ajira zinazotokana na fursa...
Back
Top Bottom