Lissu kifungoni, tuji kumbushe anacho simamia

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,882
35,891
Ya kwamba Lissu yuko korokoroni, kwa makosa gani sasa Ya-Rabi?

Lissu si ndiye huyu?

Tutupie video zake kama kumbukumbu za mwana wa nchi hii aliye mzalendo kweli kweli.

Lissu hapaswi kuwa kifungoni bali kuwepo kwenye safu za uongozi kwenye ujenzi wa Taifa letu lililo Bora zaidi.
 
Kuna Wengine wanaishi kwa Machale. Huyu Jamaa anayoyaongea angekuwa anayaishi naona Chadema kingekuwa na Ofisi Kila Wilaya. Kwani Ukipiga Hesabu za Kuirusha Chopa ili kutengeneza Mafuriko ya Washamba wa Chopa. Angeanza kurekebisha Mipigo wanayoipiga huko na Mwenyekiti wake naona ajenda zingine zinatatulika kwa Kushauri kwa adabu.
NB: Tundu Lissu anataka Hifadhi ya Kisiasa nasikia Wanatoaga Mpunga Mrefu na Watoto unasomeshewa bureee ndiyo Mpaka sasa anawadharau waliosoma Shule za Kata.
Notes: Stop Believing in Politician Speach, Suspect it and put ur Believe on there Outcome✅✅
1694342529299.png
 
Kuna Wengine wanaishi kwa Machale. Huyu Jamaa anayoyaongea angekuwa anayaishi naona Chadema kingekuwa na Ofisi Kila Wilaya. Kwani Ukipiga Hesabu za Kuirusha Chopa ili kutengeneza Mafuriko ya Washamba wa Chopa. Angeanza kurekebisha Mipigo wanayoipiga huko na Mwenyekiti wake naona ajenda zingine zinatatulika kwa Kushauri kwa adabu.
NB: Tundu Lissu anataka Hifadhi ya Kisiasa nasikia Wanatoaga Mpunga Mrefu na Watoto unasomeshewa bureee ndiyo Mpaka sasa anawadharau waliosoma Shule za Kata.
Notes: Stop Believing in Politician Speach, Suspect it and put ur Believe on there OutcomeView attachment 2744903
Chama kuwa na jengo kila wilaya inasaidia nini na kutokuwa na hayo majengo kila wilaya inakwamisha nini pia??
 
Kuna Wengine wanaishi kwa Machale. Huyu Jamaa anayoyaongea angekuwa anayaishi naona Chadema kingekuwa na Ofisi Kila Wilaya. Kwani Ukipiga Hesabu za Kuirusha Chopa ili kutengeneza Mafuriko ya Washamba wa Chopa. Angeanza kurekebisha Mipigo wanayoipiga huko na Mwenyekiti wake naona ajenda zingine zinatatulika kwa Kushauri kwa adabu.
NB: Tundu Lissu anataka Hifadhi ya Kisiasa nasikia Wanatoaga Mpunga Mrefu na Watoto unasomeshewa bureee ndiyo Mpaka sasa anawadharau waliosoma Shule za Kata.
Notes: Stop Believing in Politician Speach, Suspect it and put ur Believe on there OutcomeView attachment 2744903
Ofisi CCM wanazo nchi nzima na bado wa Tanzania mna uhaba wa Matundu ya Vyoo
 
Hata sioni kesi yoyote ya maana atakayofunguliwa Lissu, naona polisi ndio wanatakiwa kufunguliwa kesi kwa kumzuia Lissu kwenda kufanya mkutano Ngorongoro kinyume cha sheria za nchi.
 
Ya kwamba Lissu yuko korokoroni, kwa makosa gani sasa Ya-Rabi?

Lissu si ndiye huyu?

View attachment 2744876

Tutupie video zake kama kumbukumbu za mwana wa nchi hii aliye mzalendo kweli kweli.

Lissu hapaswi kuwa kifungoni bali kuwepo kwenye safu za uongozi kwenye ujenzi wa Taifa letu lililo Bora zaidi.
Kiukwel kbs wanaomchukia LISSU wanasabab zao binafsi lkn sio kuhusu kulipambania Taifa!!
 
Kuna Wengine wanaishi kwa Machale. Huyu Jamaa anayoyaongea angekuwa anayaishi naona Chadema kingekuwa na Ofisi Kila Wilaya. Kwani Ukipiga Hesabu za Kuirusha Chopa ili kutengeneza Mafuriko ya Washamba wa Chopa. Angeanza kurekebisha Mipigo wanayoipiga huko na Mwenyekiti wake naona ajenda zingine zinatatulika kwa Kushauri kwa adabu.
NB: Tundu Lissu anataka Hifadhi ya Kisiasa nasikia Wanatoaga Mpunga Mrefu na Watoto unasomeshewa bureee ndiyo Mpaka sasa anawadharau waliosoma Shule za Kata.
Notes: Stop Believing in Politician Speach, Suspect it and put ur Believe on there Outcome✅✅View attachment 2744903

Lissu si karudi kutokea huko ughaibuni? Na kama Kuna mpunga mzuri huko, wewe jitihada zako kuupata ziko wapi?

Nabii jiwe alikuwa na maneno sahihi kwako ndugu:

CCM wana ofisi kila wilaya, je hizo ofisi zinasaidia vipi jamii? Kwanini CCM mnauuza Ngorongoro na bandari zetu kama kweli mpo kwa maslahi ya umma? Kama mnapendwa kwanini mnashindwa kuongoza nchi ipate katiba na tume huru ya uchaguzi? Kama mnapendwa kwanini mnatumia vyombo vya dola kueneza propaganda zenu?
 
Ya kwamba Lissu yuko korokoroni, kwa makosa gani sasa Ya-Rabi?

Lissu si ndiye huyu?

View attachment 2744876

Tutupie video zake kama kumbukumbu za mwana wa nchi hii aliye mzalendo kweli kweli.

Lissu hapaswi kuwa kifungoni bali kuwepo kwenye safu za uongozi kwenye ujenzi wa Taifa letu lililo Bora zaidi.
Hapo awali nilikuwa namuona ni mpiga kelele tu, kumbe nilikuwa brainwashed na viwanda vya uongo vya CCM.

Lissu ni tunu kwa kizazi hiki na vijavyo
 
Ya kwamba Lissu yuko korokoroni, kwa makosa gani sasa Ya-Rabi?

Lissu si ndiye huyu?

View attachment 2744876

Tutupie video zake kama kumbukumbu za mwana wa nchi hii aliye mzalendo kweli kweli.

Lissu hapaswi kuwa kifungoni bali kuwepo kwenye safu za uongozi kwenye ujenzi wa Taifa letu lililo Bora zaidi.
Lissu hapaswi kuwa kifungoni bali kuwepo kwenye safu za uongozi kwenye ujenzi wa Taifa letu lililo Bora zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata sioni kesi yoyote ya maana atakayofunguliwa Lissu, naona polisi ndio wanatakiwa kufunguliwa kesi kwa kumzuia Lissu kwenda kufanya mkutano Ngorongoro kinyume cha sheria za nchi.

Bila kufikia hatua ya kuwafanya waelewe mipaka yao kamili, bado tupo tupo sana.

Muarobaini wetu wa mambo ni kupata katiba mpya yenye kuhikikisha uwapo ikiwamo wa mahakama huru.

Bila hivyo kesi za nyani hakimu ngedere hazitaja Kaa ziishe. Hii bila kusahau hata hukumu nazo yaweza kuwa watakavyo wao.
 
Ngoja wamfungulie kesi uchwara awaambie walmzuia kwenda kufanya utalii wa ndani kama wanavyosisitiza kila mara Wa Tanzania wafanye utalii wa ndani ili kuongeza pato la Taifa wanajisahaulisha sana hawa viumbe bora wangemuacha tu Mjuba

F5qZCaiXEAEMnK2.jpeg
 
Kuna Wengine wanaishi kwa Machale. Huyu Jamaa anayoyaongea angekuwa anayaishi naona Chadema kingekuwa na Ofisi Kila Wilaya. Kwani Ukipiga Hesabu za Kuirusha Chopa ili kutengeneza Mafuriko ya Washamba wa Chopa. Angeanza kurekebisha Mipigo wanayoipiga huko na Mwenyekiti wake naona ajenda zingine zinatatulika kwa Kushauri kwa adabu.
NB: Tundu Lissu anataka Hifadhi ya Kisiasa nasikia Wanatoaga Mpunga Mrefu na Watoto unasomeshewa bureee ndiyo Mpaka sasa anawadharau waliosoma Shule za Kata.
Notes: Stop Believing in Politician Speach, Suspect it and put ur Believe on there Outcome✅✅View attachment 2744903
Una uwezo wa kuteremka mpaka wapi?
 
Back
Top Bottom