robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 740
- 1,214
Ni aibu nyingine imejitokeza bungeni kwa mbunge kuisimanga nchi jilani.
Bahati mbaya anapoongozwa na Mbunge mwenzake haoni sababu ya kuona kosa lake. Lakini anapoonywa na Waziri, anakubali kurekebisha kosa. Kuna mambo matatu; Kwanza Mbunge hajitambui kabisa! Pili mbunge haoni sababu ya kurekebishwa na mwenzake, na tatu, Mbunge ni mnyonge kwa waziri.
Kwa ujumla Bunge limekuwa ni sehemu ya hovyo! Ni sehemu ya kuja kujamiiana. Mtu anakuja na wake zake wawili na anapewa sifa. Waziri anakuja kusoma hotuba ya wizara yake anaanza kusifu familia yake, Mwingine anakuja kuonesha dada zake na watu wanashangilia. Wengine wanakuja kuonesha mahaba yao ya yanga na simba. Hawa wote wanatumia muda wa wananchi kwa mambo na mapenzi yao binafsi! Spika yupo na hana la kufanya wala haoni upuuzi huu wote