kupooza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NALIA NGWENA

    Prisca Kishamba na media yake ya udaku wanatumika vibaya kusambaza propaganda

    Baada ya kichapo cha goli tano alichochapwa Simba SC na mtani wake yaliibuka maneno/tetesi nyingi kuhusu wachezaji wa Simba SC kusimamishwa baada ya kusemekana wamekula mlungula (Rushwa). Hizi tetesi zilisambazwa na media ya Kishamba tv. Cha ajabu kikosi kimetoka wachezaji waliokuwa...
  2. JanguKamaJangu

    Arusha: Mtoto adaiwa ‘kupooza’ mkono baada ya adhabu ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Miririni Wilaya ya Meru

    Mwalimu anayefahamika kwa jina la Nkya mtumishi katika Shule ya Msingi Miririni iliyopo Wilayani Meru Mkoani Arusha anatuhumiwa kufanya ukatili kwa Mwanafunzi ambao umesababisha mkono wa kulia wa mtoto 'kupooza' hasa sehemu ya vidole. Mwanafunzi aliyejeruhiwa ametambuliwa kwa jina la Milcah...
  3. John Haramba

    Takwimu zaonesha kuna ongezeko kubwa la Wagonjwa wa kupooza

    Mara baada ya kuelezwa kuwa Taasisi ya Mifupa (MOI), Dar es Salaam imekuwa na ongezeko kubwa la wagonjwa wa kupooza ndani yam waka mmoja imeelezwa kuwa moja ya sababu kubwa inayochangia hali hiyo ni aina ya maisha ambayo watu wanaishi kwa miaka ya hivi karibuni. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt...
  4. MR LINKO

    Mke aolewa na jirani baada ya mumewe Kupooza

    Wakaazi wa kijiji kimoja nchini Zambia wameachwa na mshangao baada ya mwanamke kuolewa na jirani yake wa karibu wakati mume wake wa miaka mingi mumewe alipooza Rabison Mawere kutoka mtaa wa Mtendere mjini Lusaka alisema aligundulika kuwa na ugonjwa ambao ulimuandamana Oktoba 2021. Akizungumza...
  5. Uhakika Bro

    Nadharia mpya kuhusiana na matatizo fulani ya mfumo wa neva na kupelekea kupooza kwa viungo

    Multiple sclerosis: ni ugonjwa wenye sifa ya kuharibu ushikamanifu wa mfumo wa fahamu haswa kile kiwambo cha mafuta kinachoilinda mishipa ya fahamu. Mara nyingi ikitokea huwa inatokea bila sababu kubwa ya kueleweka japo kama ilivyo ada watu huamua kujiaminisha kwamba labda ni vikemikali/sumu...
  6. JanguKamaJangu

    Biden atoa kauli kali kwa Putin, Ikulu yaingilia kati kupooza makali

    Rais wa Marekani, Joe Biden amemshambulia moja kwa moja Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika hotuba yake kwa kusema ‘Mtu huyo hatakiwi kuendelea kuwa na nguvu’ na kuonya kuwa kama akiendelea anachokifanya anaweza kusababisha vita ya muda mrefu Ulaya. “Mungu wangu, huyu mtu hatakiwi kuendelea...
  7. The Sheriff

    Serikali, wadau waombwa kuwasaidia wanaohudumia watoto wenye kiharusi na kupooza

    Mkurugenzi wa Sadeline Health Care, Bi Sara Kitainda akizungumza katika Mchana wa Tabasamu, leo Februari 26, 2022. Serikali na wadau wameombwa kuwawezesha na mitaji ya kibiashara akina mama na walezi wenye watoto wenye kiharusi na waliopooza kwani hutumia muda mwingi kuwahudumia watoto hao na...
  8. JamiiForums

    Ugonjwa wa kiharusi/ kupooza (stroke): Kinga, tiba na jinsi ya kukabiliana na maradhi haya

    MARADHI YA KIHARUSI Kiharusi ni hali inayotokea pale mishipa inayosambaza damu kwenye ubongo inapopatwa na misukosuko kiasi cha kushindwa kupeleka damu kwenye ubongo na hivyo kuathiri ufanyaji kazi wa ubongo kwa zaidi ya masaa 24. Kulingana na shirika la afya duniani kiharusi ni nakisi katika...
Back
Top Bottom