kuingia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwanini inakatazwa kuingia na maji kwenye chumba cha mtihani?

    Wasalaam. Tangu nikiwa chuo ilikuwa hairuhusiwi. Nikaja kwenye professional examination ilikuwa hivyo. Hata wakati nafanya CPA na ACPB na kisha CPSP niliona wakikataza. Swali linajieleza lenyewe. Sababu hasa ya kukatazwa ni nini?
  2. Donnyme

    JamiiForums Tanzania Mchakato rahisi wa kuingia Japan

    Naomba kujua jinsi gani rahisi ya kuweza kuingia na kuishi japan kwa urahisi
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu wa kutokea China wajaribu kutumia Mexico kuingia Marekani

    Kila mtu anataka kuzamia Marekani, hata Wachina wambao tunaambiwa jinsi uchumi wao umeboreka..... Chinese migrants flock to U.S.-Mexico border on economic pressures Their encounters with American authorities jumped 10-fold in 2023 People from China and elsewhere who are suspected of illegally...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Pantoni moja tu ndio linafanyakazi Kigamboni leo, nyingine ziko wapi? Kashikashi ya kusukumana kuwahi kuingia ni balaa!

    Wakuu, Hali ya usafiri Kigamboni leo sio shwari. Kama mnavyoona watu wapo wa kutosha. Pantoni linalotumika ni moja tu, likipakia tunasubiri ligeuze kuja kutufate wengine huku. Utafikiri sio weekend. Hakuna backup ikitokea kuna shida kama hivi? Maana jinsi watu wanasukumana kuingia ni balaa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Fountain Gate Academy Tabata rekebisheni Barabara za kuingia Shuleni, mnatesa Watoto

    Jana nimepita mitaa ya Shule ya Moja ya Shule za Fountain Gate iliyopo Tabata Sigara jijini Dar es Salaam, nimekutana na tatizo kubwa sana la Barabara inayoingia katika Shule hiyo, na mbaya zaidi ni Barabara inayotumika na Watoto kufika shuleni hapo cha kushangaza barabara hiyo imekuwa mbovu kwa...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Vipigo vya AFCON ni machozi ya wachezaji wazalendo waliopambana kuipigania nchi kufuzu kisha wakawekwa pembeni kuwapisha wapya

    Na nisiwe mnafki naomba hili liwe fundisho kwa nia ya dhati kabisa natamani tujifunze kwa maumivu maana wagebga walisema kusikia kwa kenge ni mpaka apigwe na kitu kizito kichwani famu zimtoke masikioni, haya maamuzi yaliyofanyika ya kuleta wachezaji wengine hayana tofauti sana na ukenge. Mechi...
  7. Exile

    JamiiForums Tanzania IDF inaripotiwa kuingia Lebanon

    Jeshi la israel linaripotiwa kuvuka mpaka na kuingia katika ardhi ya lebanoni usiku kucha. Iwapo itathibitishwa hii itakuwa mara ya kwanza kwa jeshi la Israel kuingia lebanon tangu 2006 na inaweza kufungua njia ya mashambulizi ya ardhini. Source: Al jazeera...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Tanzania wanalipishwa zaidi ya milioni moja kwa siku 90 wawapo Zambia; Watanzania wanalipa Visa kuingia DR Congo. Majirani zetu si wema

    Madereva wa Tanzania wanalalamika kwamba Zambia imewakataaa badala yake wanataka madereva wote wanaoingiza magari Zambia wawe RAIA wa Zambia. Dreva mmoja anatakiwa kuwa na siku 90 kwa mwaka, akizidisha siku 90 kwa mwaka anatakiwa kulipia si chini ya milioni moja na laki mbili ndipo aingize gari...
  9. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtazamo: Maandamano ya CHADEMA ya 24/01/2024 yaachwe ili lengo la Mbowe lisitimie

    Mbowe na CHADEMA wana lengo la kupeleka ujumbe duniani juu ya demokrasia ya Tanzania na watatumia maandamano kufikisha ujumbe huo. Kwa kuwa CHADEMA kinakabiliwa na kutokukubalika na wananchi wa hapa nchini hivyo wanaamini wakifanya jambo litakalochochea vurugu na ikitumika nguvu kudhibiti...
  10. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Upewe billion moja au free ticket ya kuingia mbinguni

    Una two options 1-upewe billion moja Leo Siku ya mwisho uende moton. Au 2-Free ticket ya kuingia mbinguni Siku ya mwisho.
  11. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kama huna hela unaenda bar kufanya nini? Huo ndio mwanzo wa kuingia kwenye ushoga

    Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu? Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo. Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga ikiingia robo fainali inaweza kuipaisha Simba katika rank za CAF na FIFA

    Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Wenye akili zao watausoma na yale watakayoona ni mazuri wataenda kuyafanyia kazi. Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika. Yanga hajacheza...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuingia kwenye Mahusiano tufanye uchaguzi wa Kina

    Naomba tujengane kwenye masuala ya mahusiano. Majuzi nilicheki uzi ambao watu wanasema kataa ndoa, wengine wanalaumu, wengine wanaponda ndoa na wengine wanazisifu, mimi binafsi nilijenga hoja zangu na watu wakadai nimewabomoa! Yaah! Sometimes inabidi tubomoe ili tujenge kitu imara zaidi. Fanya...
  14. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Jua lile literemke mama! Maisha ni mapambano hakuna budi kuingia vitani.

    Wakuu habari za uzima? Jua lile literemke mama ni moja ya nyimbo wengi wetu tuliokuwa tukiimba pindi tupo mchakamchaka shule. Hii nyimbo ilikuwa inatupa nguvu na hali mpya siku nyingine inapoanza. Leo nita share na nyinyi stori ya kaka yangu ni mtoto wa baba mkubwa Na kanizidi umri. Stori...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hamas wajibu sababu ya kuteka na kuua raia wa kigeni: Inatuma ujumbe taifa haramu la Israel sio salama kuingia

    Kundi la Hamas limejibu kuhusu shutma mbalimbali zinazotolewa kwa kundi hilo kuwa limeua raia wa kigeni ambao hawahusiki na mgogoro wake na Israel Hamas wamejibu tuhuma hizo kwa kusema kuwa raia wa kigeni kuuawa kunatuma ujumbe kwa mataifa mengine kuwa taifa haramu la Israel sio salama na raia...
  16. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Nataka kuingia kwenye siasa, nafikiria CCM ndio njia pekee rahisi ili kufika mbali

    Habari wakuu Ikiwa kama njia yangu ya kujipenyeza, hatimaye niwe kiongozi mkubwa kama ilivyo ndoto yangu, imenipasa niingie kwenye siasa, sina akili wala moyo wa kichawa, mzee ni chadema mkubwa, hata mimi ningefata njia zake ila naona hio njia ni ngumu. Kabla sijajisajili kwa uvccm ili...
  17. olimpio

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

    Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake. Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji? Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini? Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30? Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini...
  18. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nashawishika kuingia kwenye uislamu kutokana na sheria za ndoa walizonazo

    Nahisi sheria hizo ndio chanzo kikubwa cha wanawake wengi wa kiislamu kuwa ni wenye maadili na wanaothamini sana ndoa zao. Sheria ya talaka inawabana sana, hawana namna zaidi ya kutumikia ndoa na kuheshimu waume zao Ndoa sio kifungo kwenye uislamu Ni kama vile walifahamu mapema kuwa wanawake...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Bilioni 2.15 za tigo, Mwana Fa huenda alizitumia kuingia kwenye siasa, Ay kawekeza wapi?

    Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750), Huenda walimlipa mwanasheria wao Albert Msando milioni 150 na wazee wazito wakapiga mchinjo wa milioni...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Masharti ya Hamas kuanza kutekelezwa mwanzo.Malori 200 ya misaada kila siku kwa siku nne kuingia Gaza

    Katika orodha ya masharti ya kusitisha vita ni kuruhusiwa kuingia Gaza kwa malori 200 ya misaada mbali mbali yakiwemo kwa uchache malori 4 ya mafuta kila siku. Masharti hayo yatakayoanza kutekelezwa kesho Ijumaa saa moja asubuhi za Gaza itaanza kwa kutosikika risasi yoyote hewani halafu malori...
Back
Top Bottom