Mpwapwa is a market town, in the Dodoma Region of Tanzania. It is the district capital of Mpwapwa District. According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Mpwapwa (Mpwapwa Mjini ward) was 21,337.
Mimi pia nilikuwa mfanyakazi wa Jambo Group of Companies, hivyo haya ninayoyaeleza siyo taarifa ambazo nimezisikia tu kutoka kwa watu wengine, bali ni mambo ambayo nimeyaona, nimeyapitia na nimefanya kazi katika mazingira hayo mwenyewe. Hadi sasa mimi mwenyewe ni mdaiwa wa kampuni kutokana na...
Anonymous (694e)
Thread
changamoto
group
hela
jambo
kujikimu
mpwapwa
mpya
mwezi
shinyanga
unyonyaji
wafanyakazi
walimu
wilaya
Sisi walimu walioajiriwa Januari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma, hatujapewa fedha za kujikimu. Mamlaka zimekuwa zikituzungusha bila majibu ya msingi.
Tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu ili suala hili lipatiwe ufumbuzi.
Copper Mines For Sale
📍Location - Kitati, Mpwapwa, Dodoma
✅Laboratory Result is Coming from 1.2% To 3.7% and mined around 2000 Tons open Pit.
✅Vein Report is 18.5%
✅Full Documents with CSR Activity.
✅1 Container House
Easy to come from SGR Station and return same day to Dar Es Salaam
✅5...
Copper Mines For Sale
📍Location - Kitati, Mpwapwa, Dodoma
✅Laboratory Result is Coming from 1.2% To 3.7% and mined around 2000 Tons open Pit.
✅Vein Report is 18.5%
✅Full Documents with CSR Activity.
✅1 Container House
Easy to come from SGR Station and return same day to Dar Es Salaam
✅5...
Habari,
Naomba kutumia nafasi hii kuwasilisha kero kuhusu adha wanayopitia wakazi wa Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama.
Kwa muda sasa, wakazi tumekuwa tukivamiwa na kusimamishwa mara kwa mara barabarani na baadhi ya walinzi wa eneo hili. Badala ya kubaki katika maeneo yao ya kazi na...
Anonymous (11a1)
Thread
kampuni
kero
kuhusu
mpwapwa
mwezi
pesa
walinzi
wilaya
Walimu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati bado hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuanze kazi miezi mitano iliyopita.
Hadi leo hatujapokea malipo hayo wala hatujapatiwa taarifa rasmi kuhusu lini tutalipwa.
Tunaomba mamlaka husika zitolee ufafanuzi na kutatua changamoto hii...
Anonymous (7abb)
Thread
babati
babati vijijini
fedha
fedha za kujikimu
kujikimu
mpwapwa
mwezi
pesa
vijijini
wilaya
Kero yangu ni kwamba tunanyanyasika sana Wakulima wa kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Lumuma Mafene Mpwapwa, kivuko cha kusafirisha maji kwenda kumwagilia mazao kimeharibika huu ni mwaka wa nne lakini Wizara ya Kilimo hata kututembelea na kutupa msaada hakuna, sasa nashindwa kuelewa nini kauli...
Anonymous
Thread
kijiji
kilimo
kilimo cha umwagiliaji
kivuko
kusafirisha
maji
mpwapwa
tuna
umwagiliaji
wakati
wakati mgumu
Mimi ni mwalimu wa ajira mpya wa Februari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, mkoani Dodoma.
Tunaomba msaada wa kufikisha kero yetu kwa mamlaka husika ili suala la malipo yetu lipatiwe ufumbuzi. Hadi sasa hatujapokea fedha tulizoahidiwa, licha ya kuambiwa kuwa zingelipwa ndani ya muda mfupi...
Hapa Mpwapwa Mjini tuna kero kubwa ya kuwa na dampo lango la stendi ya mabasi taka zinakaa muda mrefu sana na imekuwa changamoto ya muda mrefu sana harufu kali inahatarisha afya za watumiaji wa eneo hili gari la taka haliji kwa wakati kubeba taka mpaka imekuwa kero.
Mda mwingine inapita hadi...
Anonymous
Thread
dampo
kero
kubwa
mabasi
mjini
mpwapwa
stendi
stendi ya mabasi
tuna
WALIMU Ajira za mwaka Jana (2025) mwanzoni na wa (2026) januari Bado HATUJAPEWA HELA yetu ya KUJIKIMU Na Idara husika hazisemi chochote wakati wenzetu halimashauri zingine wamepewa tayari.
Hospitali ya (w) Mpwapwa ni moja ya hospitali ya umma yenye duka lake la dawa. Cha kushangaza zaidi unakuta kwenye dirisha la dawa la hospitali hakuna dawa ila kwenye duka la dawa la hospitalini kuna dawa. Na zaidi mgonjwa anaelekezwa akanunue dawa kwenye hilohilo duka la hospitalini.
Pili...
Wilaya ya Mpwapwa ina Majimbo mawili, Mpwapwa Mjini na Kibakwe.
Hamtakosa kuondoka na VICHWA kadhaa vya mtoaji na mpoleaji
Sisi ngoja tuendelee kukusanya Ushahidi.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Maiko Salali Hosea amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mmiliki wa mgodi wa Ikombo Hill uliopo katika Kijiji cha Matonya, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Bi. Doreen Kissia, ameibuka kuwa mfano wa kuigwa katika sekta ya uchimbaji wa madini ya shaba, akiwa mwanamke pekee anayeongoza mgodi unaotoa ajira kwa zaidi ya asilimia 98 ya wakazi wa vijiji vya...
Habari,
Nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda Mpwapwa JKT. Naomba kufahamu namna ya kufika kambini. Mdogo wangu yupo Dodoma mjini. Akiwa anatokea Dodoma kwa usafiri wa bus ashukie wapi? Je kambi ipo mbali na Mpwapwa mjini?
Mkuu wa Chuo cha Ualimu Mpwapwa Ndugu Richard Gerald Melkiori amefariki kwa ajali mbaya ya gari wilayani CHAMWINO.
Bwana alitoka, Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe.
Kutokuiunganisha Bandari ya Dar es Salaam moja kwa moja na mtandao wa SGR ulikuwa uamuzi usio na mtazamo wa mbali, na ni moja ya makosa makubwa ya kimkakati katika mradi wa reli mpya.
Je, Kulikuwa na Ukosefu wa Maono?
Ndiyo, kwa sababu bandari ndiyo chanzo kikuu cha mizigo ya transit, na reli...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Mpwapwa mkoani Didoma, ametoa tahadhari kwa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho kuacha kulalamika pindi mmoja wao atakapochaguliwa kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Januari 21, 2025.
Mimi ni Mtumishi wa Serikali hapa Mpwapwa Mkoani Dodoma, kero moja kubwa ni kuwa kuna urasimu wa upandishwaji wa Madaraja ya Mishahara na pia baadhi ya wenzetu lugha mbaya wanapokuwa katika majukumu yao.
Kinachouma zaidi ni kuwa kuna watushi wana miaka zaidi ya kumi hawajapandishwa licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.