Job Ndugai akwama kongwa Wanaccm wawabwaga yeye na wagombea wake aondoka ukumbini bila kuaga, awatishia UWT kukosa mikopo

DodomaTZ

Member
May 20, 2022
69
107
Spika Mstaafu wa Bunge la 11, Job Ndugai amejikuta katika aibu kubwa baada ya wanachama wa CCM Wilaya Kongwa katika JUMUIA YA WAZAZI NA UVCCM kuameamua kujiondoa katika mfumo wa ubabe, kupelekeshwa, amri za hapa na pale za nani achaguliwe katika uongozi wa CCM Wilaya Kongwa.

Katika chaguzi zinazoendelea ndani CCM Ndugai ameonyesha nia ya wazi kuliacha jimbo ilo mikono kwa mkewe Bi. Fatuma Mganga Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, ambapo amekuwa akipigania kuweka safu ya uongozi wa wilaya kwa lengo la kuja kupitisha jina la mkewe kirahisi wakati wa mchakato wa ubunge 2025.

Katika uchaguzi uliofanyika tarehe 24 kwa nafasi za Wenyeviti wa Jumuiya Yani WAZAZI, UWT NA UVCCM licha ya kutaka kupanga Safu katika nafasi hizi aliangukia pua kwa baada ya wagombea wake wawili kutopata kura za kutosha.

Walioshinda katika uchaguzi huu ni JAPASON LEMA Mwenyekiti UVCCM.

SIMANGO NGOBEI MKITI WAZAZI na katika nafasi ya Mwenyekiti UWT akifanikiwa kuendelea kuwafanya mazombi Jumuia ya Wanawake ccm UWT ambapo kwa kutumia rushwa na vitisho kwa kinamama hao kuwa wasipomchagua mtu wake basi Wanawake wote wa kongwa mikopo ya %10 ya halmashauli wataisikia kwa mawaziri tu alisema Ndugai.

Kutoka na udhaifu na hofu wa wakinamama na ujanyanyasaji wa kijinsia walijikuta wanampigia kura EDINA MBIGIMA kumchagua kuwa mwenyekiti UWT wakihofia kukosa mikopo ambayo ipo kisheria.

Hii ni dalili kuwa sasa Ndugai amekwisha kisiasa baada ya kushindwa kupenyeza wagombea wake katika jumuia ya wazazi na UVCCM.
 
Watu wake walioshindwa umeonesha kuwa wajumbe wamekataa kuamuliwa...mtu wake aliyeshinda unasema ametoa rushwa na vitisho.
Mbona inaonekana wazi kuwa una chuki sana na Ndugai
 
Spika Mstaafu wa Bunge la 11, Job Ndugai amejikuta katika aibu kubwa baada ya wanachama wa CCM Wilaya Kongwa katika JUMUIA YA WAZAZI NA UVCCM kuameamua kujiondoa katika mfumo wa ubabe, kupelekeshwa, amri za hapa na pale za nani achaguliwe katika uongozi wa CCM Wilaya Kongwa.

Katika chaguzi zinazoendelea ndani CCM Ndugai ameonyesha nia ya wazi kuliacha jimbo ilo mikono kwa mkewe Bi. Fatuma Mganga Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, ambapo amekuwa akipigania kuweka safu ya uongozi wa wilaya kwa lengo la kuja kupitisha jina la mkewe kirahisi wakati wa mchakato wa ubunge 2025.

Katika uchaguzi uliofanyika tarehe 24 kwa nafasi za Wenyeviti wa Jumuiya Yani WAZAZI, UWT NA UVCCM licha ya kutaka kupanga Safu katika nafasi hizi aliangukia pua kwa baada ya wagombea wake wawili kutopata kura za kutosha.

Walioshinda katika uchaguzi huu ni JAPASON LEMA Mwenyekiti UVCCM.

SIMANGO NGOBEI MKITI WAZAZI na katika nafasi ya Mwenyekiti UWT akifanikiwa kuendelea kuwafanya mazombi Jumuia ya Wanawake ccm UWT ambapo kwa kutumia rushwa na vitisho kwa kinamama hao kuwa wasipomchagua mtu wake basi Wanawake wote wa kongwa mikopo ya %10 ya halmashauli wataisikia kwa mawaziri tu alisema Ndugai.

Kutoka na udhaifu na hofu wa wakinamama na ujanyanyasaji wa kijinsia walijikuta wanampigia kura EDINA MBIGIMA kumchagua kuwa mwenyekiti UWT wakihofia kukosa mikopo ambayo ipo kisheria.

Hii ni dalili kuwa sasa Ndugai amekwisha kisiasa baada ya kushindwa kupenyeza wagombea wake katika jumuia ya wazazi na UVCCM.
Mwandishi wa umbeya, umeweka habari kijinga sana. Nahisi wewe ni mpwayungu village.
 
Ajabu sana! Unakuja ktk public kueleza uchaguzi wa Chama ktk misingi ya makundi. Hiki ulichokileta hapa kinasaidia nini CCM? Walioshinda ni wana CCM na walioshindwa ni wana CCM. Unganeni mchape kazi. #Hiki Chama cha Mwalimu Nyerere kuna watu kama wewe hamkupaswa hata kupewa kadi. 🙏🙏🙏
 
Wenye akili timamu tumemuelewa vizuri sana, kama akili zako zipo rikizo huwezi kujuwa kinachoendelea kwenye uchaguzi za ndani za Ccm.

Wabunge wote waccm wanafadhiri wagombea wanaowataka ili Kujenga base ya kisiasa.

Kikao cha Kamati kuu ya Ccm kimekutana Leo Dodoma, kama network yako ndogo jina halirudi kuteuliwa kugombea ngazi ya chama wilaya na mkoa.
 
Ajabu sana! Unakuja ktk public kueleza uchaguzi wa Chama ktk misingi ya makundi. Hiki ulichokileta hapa kinasaidia nini CCM? Walioshinda ni wana CCM na walioshindwa ni wana CCM. Unganeni mchape kazi. #Hiki Chama cha Mwalimu Nyerere kuna watu kama wewe hamkupaswa hata kupewa kadi. 🙏🙏🙏
 
Spika Mstaafu wa Bunge la 11, Job Ndugai amejikuta katika aibu kubwa baada ya wanachama wa CCM Wilaya Kongwa katika JUMUIA YA WAZAZI NA UVCCM kuameamua kujiondoa katika mfumo wa ubabe, kupelekeshwa, amri za hapa na pale za nani achaguliwe katika uongozi wa CCM Wilaya Kongwa.

Katika chaguzi zinazoendelea ndani CCM Ndugai ameonyesha nia ya wazi kuliacha jimbo ilo mikono kwa mkewe Bi. Fatuma Mganga Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, ambapo amekuwa akipigania kuweka safu ya uongozi wa wilaya kwa lengo la kuja kupitisha jina la mkewe kirahisi wakati wa mchakato wa ubunge 2025.

Katika uchaguzi uliofanyika tarehe 24 kwa nafasi za Wenyeviti wa Jumuiya Yani WAZAZI, UWT NA UVCCM licha ya kutaka kupanga Safu katika nafasi hizi aliangukia pua kwa baada ya wagombea wake wawili kutopata kura za kutosha.

Walioshinda katika uchaguzi huu ni JAPASON LEMA Mwenyekiti UVCCM.

SIMANGO NGOBEI MKITI WAZAZI na katika nafasi ya Mwenyekiti UWT akifanikiwa kuendelea kuwafanya mazombi Jumuia ya Wanawake ccm UWT ambapo kwa kutumia rushwa na vitisho kwa kinamama hao kuwa wasipomchagua mtu wake basi Wanawake wote wa kongwa mikopo ya %10 ya halmashauli wataisikia kwa mawaziri tu alisema Ndugai.

Kutoka na udhaifu na hofu wa wakinamama na ujanyanyasaji wa kijinsia walijikuta wanampigia kura EDINA MBIGIMA kumchagua kuwa mwenyekiti UWT wakihofia kukosa mikopo ambayo ipo kisheria.

Hii ni dalili kuwa sasa Ndugai amekwisha kisiasa baada ya kushindwa kupenyeza wagombea wake katika jumuia ya wazazi na UVCCM.
Si nilisikiaga alishaagaga dunia huyu? eeeh makubwa, kumbe bado yupo!!!
 
Ukishampinga Mwenyekiti ujue umekwisha..
 
Back
Top Bottom