Msaada wa lodge nzuri hapa Kongwa

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,845
Habari zenu wakuu, naombeni kwa wakazi na waliowahi kifika kongwa mnisaidie lodge nzuri.

Budget yangu ni elf 20, ikizidi sana 25
 
Umeshuka stend, mshike boda boda mwqmbie hitaji lako atakusaidia... au toka kama una pandisha kwenda town, kushoto kuna kamghahawa kazuri kiasi... ingia hapo ukiwa una pata supu, basi waweza ongea hitaji lako na kusaidika...
 
Nayo pia inasaidia lakini ni vizuri kutumia teknolojia ya mitandao hii kupata reviews makini za members.

hao boda boda wanachojuaga ni kupeleka tu wateja ili wapokee chao, hata kama lodge mbaya wataisifia iko poa na si ajabu hawajawahi hata kulala hapa
 
Kongwa,

Hahahahahaha,mji ule hapana sijui Kama Kuna classic lodge,

Ule mji umechoka Sana, Spika alikaa lakini hakuufanyia Chochote,

Yani,alishindwa hata kuvuta maji kutoka sehemu ya uhakika
 
Nayo pia inasaidia lakini ni vizuri kutumia teknolojia ya mitandao hii kupata reviews makini za members.

hao boda boda wanachojuaga ni kupeleka tu wateja ili wapokee chao, hata kama lodge mbaya wataisifia iko poa na si ajabu hawajawahi hata kulala hapa
Tumia tech unayo isema kupata taarifa... ukifanikiwa saidia wengine...
 
Tafuta boda boda yeyeto wao ndio wanajua KILA kitu kuhusu eneo husika kuanzia lodge nzuri, nk
 
Kutumia mtandao ndio vyema zaidi ! Boda hawajui chochote khs ubora lodge au hotel,,,, yeye anajua jina tu, atapasifia pazuri akupeleke umpe chake apite hivi,, huduma zinazopatikana humo ndan Wala haelewi
 
Kwani lodge zote zipo registered online.
Wao ndio ubeba abiria kuwapeleka na kuwatoa lodge fulani,na watz hatuna siri huwa tunamsimulia yeyeto kuhusu chochote tukutanapo njiani.Ni wachache sana huwa bubu wasipige story na bodaboda au taksi driver wakiwa ndani ya usafiri.
Wao wanajua uzuri wa nje wa ndani si unaingia unakagua huwezi lipia huduma bila kujulishwa ubora wa huduma thus huwa kuna receptionist ambae Kazi yake ni marketing pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom