Tangu huyu ndugu anayeitwa Hamis Mwinjuma ,maarufu Mwana FA ateuliwe na Rais kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Michezo ameonesha kuwa hatoshi kuwa kwenye nafasi hiyo.
Ni mtu hatari kwa usalama na ustawi wa amani na utulivu wa nchi.
Tangu ateuliwe nafasi hiyo amekuwa anatumia muda mwingi kwenye...
Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na...
Kitongoji cha Gomora ni moja ya vitongoji vitatu (3) vya Kijiji cha Musanja, Kata ya Musanja
Vitongoji hivi vitatu (3) vinayo Shule ya Msingi moja iliyojengwa Mwaka 1959 na Kanisa la Mennonite. Shule hiyo (S/M Musanja) kwa sasa ni ya Serikali.
Matatizo makuu yanayowakabili wanafunzi wa S/M...
MZEE KIUNYA ANAOMBA KUMUONA MHE RAIS: HAAMINI MACHO YAKE KUONA SHULE MPYA IKIJENGWA KWENYE KITONGOJI CHAO
Kijiji cha Kigera cha Musoma Vijijini kimepokea Tsh 348,500,000 (Tsh 348.5m) kutoka Serikalini kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Msingi mpya (Mradi wa BOOST) ambayo itakuwa ya pili, na...
SERIKALI YACHANGIA UJENZI WA SHULE SHIKIZI YA KITONGOJI CHA NYASAENGE CHA MUSOMA VIJIJINI
Kitongoji cha Nyasaenge ni moja ya vitongoji sita (6) vya Kijiji cha Kataryo. Kijiji hiki ni moja ya vijiji vitatu (3) vya Kata ya Tegeruka ya Musoma Vijijini.
Mwaka 2017, wananchi wakazi wa Kitongoji cha...
Makama ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, imemhukumu kifungo cha kwenda jela miaka 30 Mambo John (30) mkulima na mkazi wa kijiji cha Isengwa kwa kosa la kubaka.
John ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mwanginde ilidaiwa kuwa katika nyakati tofauti kati ya Mwezi January na May 2023 huko...
Paul Simon Singi, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kisanda amehukumiwa kwenda jela Miaka 3 au kulipa faini ya Tsh. 750,000 kwa makosa ya kuomba rushwa ya Tsh. 800,000 na kughushi nyaraka kinyume cha Sheria.
Alifanya uhalifu huo Mei 22, 2023 kwa lengo la kumhalalishia Fabiano Daudi umiliki wa Ardhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.