karakana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Karakana ya Luban yasaidia vijana wa Afrika kutimiza ndoto zao

    Miaka 600 iliyopita, baharia wa China Zheng He aliongoza kikosi cha majahazi kusafiri hadi kwenye pwani ya mashariki ya Afrika mara nne, na kwamba Njia ya Hariri Baharini ilishuhudia historia ndefu ya mawasiliano kati ya China na Afrika. Miaka 600 baadaye, karakana za Luban zilipewa jina la...
  2. S

    Kama ni kweli stendi ya Simu 2000 kubadilishwa matumizi na kuwa karakana ya DART ni kuwakosea wana Ubungo

    Hizi habari za kusikitisha na kuumiza sana kwa wakazi Ubungo, Nilivyosikia ni kuwa Stand ya Simu2000 inataka kubadilishwa matumizi na kuwa KARAKANA YA DART, Kama habari hii ni yaukweli basi niswala lakusikitisha na kuwakosea wanaubungo. Kubadilisha Matumizi ya stand hii na Soko ni muendelezo...
  3. FRANCIS DA DON

    Je, karakana ndogo ya kuzalisha ‘transformer’ ndogo za umeme inaweza kuhutaji mtaji wa kiasi gani?

    Mfano karakana ya kawaida tu kama hiyo iliyopo kwenye video hapo, naweza kuikamilisha na ikaanza uzalishaji kwa milioni 50? Na je, wataalam kutoka VETA wapo nioweza kuwajiri na wakafanya huu uzalishaji? Na je, kuhusu soko, Tanesco bado wana sera ya kununua bidhaa za ndani kwanza kabla ya vya nje...
  4. Equation x

    Fungua karakana ya kuongeza thamani kwa vitu vilivyotumika

    Kwa leo nitaongelea viatu 'used'/mtumba Kuna siku nilitembelea duka moja la viatu vya mtumba mkoani Arusha; hivyo viatu vilikuwa vinatoka Italy, kuuliza bei, naambiwa sh. 185,000/=. Hapo nikawa nimepata wazo la kiujasiriamali kichwani:- Utaanzaje sasa:- Nunua mashine ya kushonea viatu Tafuta...
  5. J

    TBS: Warsha ya Wadau wa vipuri na karakana za kuunda na kutengeneza magari

    TBS: WARSHA YA WADAU WA VIPURI NA KARAKANA ZA KUUNDA NA KUTENGENEZA MAGARI Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Athuman Y. Ngenya amefungua warsha kwa wadau wa Vipuri vya Magari na wamiliki wa karakana za kuunda na kutengeneza Magari. Warsha hiyo inafanyika hii leo Tarehe 4...
  6. E

    INAUZWA Vifaa vya karakana na Kiwandani vinauzwa

    Tunauza na kurekebisha vifaa vya kufanyia kazi kwenye karakana na kiwandani. Kwa wamiliki wa karakana, kiwanda kidogo na kikubwa ,Sasa unaweza kupata vifaa vinavyodumu kwa bei rafiki kutoka kampuni ya Total Tools ya nchini China. Kwa shughuri zako zote mfano: fabrication modification forging...
  7. Chagu wa Malunde

    Kama Sabaya alikuwa na karakana ya kutesea watu, mbona Mbowe hakusema alipokuwa Bungeni?

    Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno. Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia...
  8. kyenshaja

    Tunatafuta Wabia kwa mradi wa 1.Mafuta ya alizeti (2)Kufuga kuku wa kienyeji (3)Kufungua karakana na mafunzo ya kazi ya mikono

    Tunahitaji kupata wabia kushirikiana kwa mradi wa kuchakata mafuta ya kula na usambazaji mbegu kwa wakulima,ufugaji wa kuku na mafunzo ya kazi ya mikono pamoja na kufungua Karakana kwa fani ya ushonaji,useremala,uashi,ujenzi, uchomaji vyuma na uhunzi, viatu,magari,maji na umeme kwa vijana kupata...
Back
Top Bottom