Kama Sabaya alikuwa na karakana ya kutesea watu, mbona Mbowe hakusema alipokuwa Bungeni?

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno.

Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia jimboni kwako.

My take: kuna wingu zito juu ya kesi ya mtuhumiwa Sabaya.
 
Kwan vitabu vyetu vya dini vinasemaje kuhusu walawiti,??? Ikibidi alawit.......
 
Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno...
Kama aliogopa kusema,mbona hakumuambia Lissu au Ansbert ngurumo walioko ughaibuni.

Huu ni mpango uliosukwa vizuri sana.

Imagine TAKUKURU bossi mzanzibari yule aliekuwa RPC wa Sabaya, halafu DPP ni somebody KWEKA!

Hapo lazima kuna uvundo utakuja kufanya wengi watumbuliwe!
 
Acha unaafiki baasi!kipindi hicho kulikua na mwanaume wa kuongea au ndo sifa tu...muda wa kulipa udhalimu huu
Kuna watu wengine ni mazombie hayajui ku reason. Ningekuwa Moderator wote wanaoandika nyuzi za kumtetea sabaya napiga life ban.

Hawana akili. Huwezi kumtetea sabaya kama una akili timamu. Labda uwe na maslahi binafsi.
 
Mtoa mada Unaweza kutupa majibu tuhuma za DC live kikao cha maafisa wa serikali na wafanyabiashara TRA? Clip za mazila ya Mbowe nk?

Tumshukuru Mungu kutufanyia wepesi kumpumzisha mapema ,mataifa mengine hulipa garama kubwa ya damu kwa miongo kadhaa.Mama atuwezeshe kwa katiba Bora asilani asiibuke mtawala wa kiimla tena.Never ever again a dictector in Tanzania.
 
Naona unademka tu... Ngoja nikuwekee songi... 🎼🎵🎶🎤Baba yangu aliniambiaaaaaaaa🎵🎶🎶🎤utavuna ulichooooopaaaandaaaaaa🎶🎶🎶🎵🎼🎼🔉🔉🔊🔊🔊📢🎷🎸🎸🎹🎹 in Mwamri's voice
 
Back
Top Bottom