kutimiza ndoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Daspauls 238

    Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

    Matokeo yapo kama hivi Civ C Bio C Chem B English B Phy D Math D History B Kisw B Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
  2. LIKUD

    Mhitimu unayeamini waliopata sifuri Form 4 ndio kutimiza ndoto zao basi elewa kwamba ulipoteza muda shuleni

    Watu kadhaa wamenitag kwenye Uzi wa matokeo ya Necta ili nijionee jinsi vijana wa shule za Kayumba walivyo pata zero na 4 kwa wingi. Ni kama vile wanasema "Wewe si ndo unajifanya kuzipigia kampeni shule za Kayumba ona sasa walicho kipata?" Hapo hapo ni kama vile wanasema tena "Hawa vijana...
  3. L

    Karakana ya Luban yasaidia vijana wa Afrika kutimiza ndoto zao

    Miaka 600 iliyopita, baharia wa China Zheng He aliongoza kikosi cha majahazi kusafiri hadi kwenye pwani ya mashariki ya Afrika mara nne, na kwamba Njia ya Hariri Baharini ilishuhudia historia ndefu ya mawasiliano kati ya China na Afrika. Miaka 600 baadaye, karakana za Luban zilipewa jina la...
  4. P

    Ushuhuda kwa vijana mliojitoa mhanga kutimiza ndoto

    Mimi ni kijana niliekuja Dar mwaka nusu ulopita. Nilikuja Dar baada ya kutoka nje kimasomo. Pamoja na course niliyosoma, mida ya jioni nilisoma skill nyingine nje ya curriculum kwa personal arrangement. Niliweza kuimaster vuzuri kwa kuwa pia iliakisi uwezo wangu tangu utotoni. So baada ya...
  5. Dr Count Capone

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Sioni sababu ya kupoteza muda kuulizana ulizana hali, kila mtu apambane na hali yake, moya kwa moya kwenye mada. Toka balehe mshawasha wa kufanya mapenzi huwa mkubwa sana. Tuna fikiria vitu vingi, vingine hatuwezi hata waambia watu maana ni chafu sana ila nyingine tunaziishi. Nimeanzisha uzi...
  6. M

    SoC02 Jinsi mtazamo unavyojengeka kuanzia utotoni, Mchango wa wazazi kutimiza ndoto hai

    Utangulizi: Nchini Tanzania, Mtoto ni binadamu mwenye umri chini ya miaka 18, Ni tafsiri kutoka sheria ya watoto ya mwaka 2009, iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019, sehemu ya pili, kifungu cha nne, kifungu kidogo cha kwanza Rejea: TLS – Online Legal Aid Repository Kila mzazi/mlezi huwa nania...
  7. John kirua

    Nahitaji ushauri wenu ili niweze kutimiza ndoto zangu

    Poleni na majukumu ndg zangu. Naitaji ushauri wenu ili niweze kutimiza dream yangu. Mimi na rudia mtihania wa kidato cha nne, pia ni mwajiriwa najisomesha mwenyewe, nimepatwa na changamoto ambayo ina pelekea mwezi huu ni siweze kuudhuria vipindi vya shule na kufanya solving mbali mbali. Je...
  8. S

    Issue kubwa ni watu kutaka kutimiza ndoto zao za urais 2025 baada ya Mwendazake kuondoka

    Yatasemwa mengi na mtasikia mengi, ila issue kubwa ni watu kuutaka urais wa nchi hii mwaka 2025. Wakati Magu yuko hai, walikosa ujasiri wa kuonyesha hadharani mtatamani yao na kwa Mama, bado hawajaanza, ila ili wapate hiyo fursa(waanze) ni lazima Mama asigombee (bahati mbaya alishasema...
  9. J

    Ushauri: Ukiyafanya mambo haya saba kwa usahihi ni rahisi kutimiza ndoto zako

    Habari za muda huu watanzania wenzangu natumaini nyote mko salama, leo napanda jukwaani nikieleza kwa uchache mambo unayotakiwa kuyafanya kijana ili uweze kutimiza ndoto zako au malengo yako iwe ni katika biashara, kazi, nasomo, nk. 1. Muombe Mungu na umshirikishe unachotaka kukifanya, kwa...
  10. smartdunia

    Njia sahihi ya kutimiza ndoto

    Imeandikwa Na Smartdunia. Nasikitika kusema,huu ni ukweli unaoumiza, lakini wenye uwezo wa kukubadilisha kabisa. Hebu tuanze na kauli hizi tulizozizoea Kisha tujue madhaifu na mazuri yake yote. "Tafuta pesa ili watoto wako wasikae kwenye vijiwe kubishana kuhusu Diamond na Harmonize" "Tafuta...
  11. The Sheriff

    Stori ya David Masha: Ajali iliyompa ulemavu wa kudumu, kukubali matokeo na kutokata tamaa

    Hii ni historia ya maisha aliyopitia David tangu 2007 alipopata changamoto na namna alivyopambana mpaka kufika alipofika leo hii. Stori hii David anasema ina nia ya kuwapa nguvu wote ambao leo hii wapo kitandani wanapambana na maumivu ya jeraha la uti wa mgongo na pengine wameshaanza kukata...
Back
Top Bottom