chanzo cha moto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Chanzo cha moto Kitambaa Cheupe ni fundi kuchomelea (Welding)

    Baada ya Baa ya Kitambaa Cheupe kuteketea kwa moto na kupelekea hasara kubwa kwa mmiliki wa Baa hiyo, chanzo cha moto chatajwa. Fundi wa idara ya dharura wa TANESCO, Jackson Henry amesema chanzo cha moto ulioteketeza baa ya Kitamba Cheupe iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam ni fundi aliyekuwa...
  2. L

    Ni Kipi Chanzo cha Moto Bweni la Watoto Shule ya Msingi Green Hill Pugu Kajiunge Dar es Salaam?

    Moja ya Bweni la shule ya Msingi ya green hill iliyoko Pugu Kajiungeni,Ilala Dar es Salaam liliungua moto tarehe 9.01.2024 (Siku moja naada ya kufungua shule) na baadhi ya wtoto kujeruhiwa vibaya, Hatujasikia vifo. Ila hakuna taarifa ya chanzo cha moto huo na pia taarifa kamili ya athari...
  3. Roving Journalist

    TANAPA: Ripoti imebaini chanzo cha moto Mlima Kilimanjaro ni shughuli za kibinadamu

    Kamishna William Mwakilema Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa ripoti ya kukamilisha uzimaji wa moto uliotokea kwenye maeneo ya Mlima Kilimanjaro huku wakibainisha kuwa taarifa za awali zimebaini kuwa chanzo cha moto ni shughuli za kibinadam. Kitengo cha usalama cha TANAPA...
  4. C

    Hivi ile tume iliyoundwa kuchunguza kisa cha moto wa soko la kariakoo ilifikia wapi?

    Siyo mara ya kwanza kuundwa tume ya uchunguzi kufuatia majanga yanayotokea, mbaya sasa hakuna majibu yanayotolewa kama matokeo ya uchunguzi wao. Ni kwamba hatupaswi kujua? Zinaundwa za nini, kujua nini na zinafanya kazi kweli? hatuoni kujifunza kutokana na makosa hivyo inatia wasiwasi juu ya...
  5. JanguKamaJangu

    Chanzo moto ulioteketeza maduka Njombe ni jiko la mkaa, walitumia kupunguza baridi

    Baada ya moto kuteketeza maduka Matano na ghala za kuhifadhia bidhaa za maduka yaliyopo katikati ya Mji wa Njombe imebainika kuwa chanzo ni moto uliokuwa katika jiko la mkaa ambao ulitumika kwa ajili ya kupunguza baridi. Inspekta Lotma Dauda ambaye ni Afisa Oparesheni la Zimamoto na Uokoaji...
  6. Joseverest

    Hitilafu ya umeme chanzo cha moto Soko la Karume

    Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya Ilala, Ng'wilabuzu Ludigija amesema chanzo cha moto katika Soko la Karume inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme ambayo imesababishwa na mtu aliyekuwa akiwaunganishia wafanyabiashara umeme bila idhini ya mamlaka ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Moto huo...
  7. Chipoku

    Taarifa ya tume ya uchunguzi wa chanzo cha moto soko la karume (Ilala_ DSM)!

    Tumesikia taarifa ya Tume iliyoundwa kwa ajili ya uchunguzi wa chqnzo cha moto Soko la Karume Dsm.....almaarufu mchikichini. Kwa Taarifa hii (1) Ninamuomba Madame President ikimpendeza YAANI IKIMPENDEZA WAJUMBE WA HII TUME WASILIPWE KWA KWELI SABABU WAMETUMIA MUDA MWINGI KU PROVE MANENO YA...
  8. Suley2019

    Amos Makalla: Chanzo cha moto wa soko la Karume ni mshumaa uliowashwa na mateja

    SERIKALI YARUHUSU WAFANYABIASHARA KUREJEA KARUME KWA MPANGO MZURI. - Umati walipuka kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan. - RC Makalla apokea taarifa ya ripoti ya Kamati iliyoundwa kuchunguza Chanzo Cha Moto. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameruhusu...
  9. Trick mirik

    Shuhuda: Chanzo cha moto soko la Karume ni mateja, waliangusha mshumaa wakati wanatengeneza mihadarati

    Cloudsfmtz "Chanzo cha moto ni mateja ambao tupo nao sokoni Karume ambao wao wanajihusisha na kuuza viatu, unajua pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao huwa wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza na siku hiyo mshumaa ulianguka na kuanza kuungua"...
Back
Top Bottom