tume ya uchunguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jumuiya ya Kifalme ya Afrika yapongeza Tanzania kwa kuwashirikisha Majaji wa Afrika kwenye tume ya uchunguzi wa Kijinai matukio ya 29 Oktoba, 2025

    Jumuiya ya Kifalme ya Afrika imepongeza uamuzi wa Serikali ya Tanzania wa kuwashirikisha wataalamu wa sheria na majaji kutoka nchi nyingine za Afrika katika Tume ya Uchunguzi wa Kijinai inayochunguza matukio ya vurugu na uhalifu yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Serikali ijiondoe kwenye mambo ya kuunda Tume ya Uchunguzi kwani Mtawala aliyopo madarakani anahusika na Vurugu za 2025

    Luhaga Mpina atema Cheche tena DW Radio . Akosoa Samia kuunda tume. Amesema ana masha nayo. Akosoa Tume kuelekezwa cha kufanya. Mfani; Kachunguze nani katoa hela. Kakosoa Hahdidu za Rejea Hadidu za rejea ndio huleta maana. Haziwezi kuwa siri kwani mambo kama haya yanatakiwq yawe wazi...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Tume ya kuchunguza ghasia za uchaguzi Kenya (Jaji Phipps Waki Commission) VS Tume ya Rais Samia(TZ) chini Jaji Chande/Lila

    ♦️Labda muuaji Samia na genge lake la wahuni wakisaidiwa na Chawa wao wa mitandaoni na huko kwingine wanaweza kuelewa vizuri na kuacha kuteka na kuumiza watu hovyo... Hebu tujadili kuhusu; Commission of Inquiry into the Post-Election Violence (CIPEV), chini ya Jaji Philip Waki (Kenya) VS...
  4. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Yapi maoni yako kuhusu tume ya uchunguzi wa matukio ya Okt 29?

    Binafsi inaenda kuchimba zaidi ya ile tume ya Chande. Mwisho wa siku nani hasa anachunguzwa kwenye hii tume? Na wanaochunguzwa je wapo tayari kuwajibika mintarafu kujiuzuru? Ngoja tuone Soma Pia Rais Samia anazindua Tume ya Rais ya Uchunguzi wa wahusika wa ghasia wakati na baada ya Uchaguzi...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mabalozi wa EU wakutana na Waziri Kombo Dar es Salaam

    Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) leo Juni 8, 2026 wamefanya mazungumzo ya kisiasa ya ngazi ya juu na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyopatilana kupitia ukurasa wa X wa Umoja wa Ulaya (EU)...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahakama Kuu Masijala ya Kigoma yaruhusu shauri la kupinga Tume ya Uchunguzi wa Kijinai ya Matukio ya Uchaguzi Mkuu

    Mahakama Kuu Masijala ya Kigoma, muda huu, imeruhusu waombaji kwenye shauri la Kuomba Mahakama kuzuia kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai juu ya Matukio ya Uchaguzi Mkuu, kufungua shauri mahsusi Mahakamani hapo. Maombi ya kufungua shauri hilo ilikuwa hatua ya kwanza. Sasa shauri...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kigoma: Nsengiyumva na Advela Dickson washtakiwa kwa kuchapisha taarifa ya “Mauaji ya 29 Oktoba 2025 hayawezi kufichwa na Tume ya Uchunguzi”

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma, imewashtaki Nsengiyumva Lenga Lutendeli na Advela Dickson Bishikira kwa kosa la kuchapisha taarifa za uongo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, kinyume na Kifungu cha 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao Na. 14 ya mwaka 2015. Kwa mujibu wa hati ya...
  8. Stroke

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Muswada wa Bunge la Marekani ni kuingilia mchakato wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai

    Baada ya Tume ya Othman Chande , Rais kaunda tume nyingine ya Uchunguzi wa Kijinai. Hii sasa ndio itakuja na majibu ya nani kahusika na hatua gani zichukuliwe. Bado hatujapata majibu yake, kule nako marekani kaja na muswada wake katika bunge akidai kuwachukulia hatua baadhi ya viongozi. Utata...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Kinyogoli: Tunajukumu kuwapa Elimu Watanzania juu ya Mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Uchunguzi ni kitu kizuri

    Umoja wa Wahadhiri wa Kiislamu Tanzania (UWAKTA) umesema utaendelea kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi kuhusu umuhimu wa amani ili kuendelea kudumisha mshikamano ulioasisiwa na waasisi wa Taifa. Akizungumza Mei 10, 2026 katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa UWAKTA, Msemaji wa umoja huo, Sheikh...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Tume imepokea ushahidi toka kwa Watu 63,603

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali. Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi: Kutoka Ghasia Hadi Maridhiano

    Kutokana na ushahidi wa kina, Tume ilibaini kuwa ghasia zilikuwa na athari pana za kiuchumi na kijamii. Matokeo yalisisitiza haja ya kuimarisha mifumo ya majadiliano ya kisiasa na kijamii. Ushirikishwaji wa wadau mbalimbali uliwezesha hitimisho thabiti kuhusu vichocheo na madhara. Hii ilifanya...
  12. H

    JamiiForums Tanzania JAJI CHANDE AKIWASILISHA MUHTASARI WA RIPOTI YA TUME YA UCHUNGUZI

    JAJI CHANDE AKIWASILISHA MUHTASARI WA RIPOTI YA TUME YA UCHUNGUZI Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman, akiwasilisha Muhtasari wa Ripoti ya Tume hiyo mbele ya Rais wa...
  13. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Siwezi kupoteza muda wangu kwa kusikiliza vihoja vya Tume ya uchunguzi! Hii repoti inaongeza hasira kwa wahanga

    Siwezi kupoteza muda wangu kwa kusikiliza vihoja vya Tume ya uchunguzi! Hii repoti inaongeza hasira kwa wahanga. Ukiisikiliza kwa makini na zile key points inaoneka ilikuwa imeshiba,ila ukija kusikiliza unakuta kuna uhariri wa ripoti hivyo mimi nitakutana nayo katika magazeti au katika...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi Oktoba 29: Ripoti Huru

    AMEONYESHA UWEZO WA KUTOA HAKI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU Kutoka uongozi wake kama Jaji Mkuu wa Tanzania hadi majukumu ya Umoja wa Mataifa, Jaji Chande ameonyesha uwezo wa kutoa haki katika mazingira magumu. Tume ya Uchunguzi ya matukio ya 29 Oktoba chini yake itatoa ripoti yenye mamlaka na...
  15. tpaul

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mambo muhimu ambayo Tume ya Uchunguzi ya Jaji Chande imeyapuuza

    Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Yafuatayo ni mambo nyeti ambayo tume ya uchunguzi wa mauaji ya MO29 imeyaepuka kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe: 1. Chanzo cha machafuko Tume haijataja chanzo cha tatizo ni nini kwa kuwa kinagusa mamlaka moja kwa moja...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 yawasilisha ripoti leo Aprili 23, 2026

    Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Othman Chande Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, (Maarufu tume ya Jaji Chande) inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake rasmi leo Alhamisi, Aprili 23, 2026 kwa Rais Samia Suluhu. Siku ya Uchaguzi Mkuu, Oktoba...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 sioni kuponya maumivu bali itaongeza maumivu na hasira za Watanzania

    Kesho Aprili 23 Inayojiita Tume ya uchunguzi wa Matukio ya uvunji wa amani na vurugu yalitokea Oktoba 29 inayoongozwa na Jaji Chande itatoa ripoti yake. Watanzania wengi wameikataa tume hiyo tangu kuundwa kwake na Samia kwa sababu ipo kwenye lengo la kuitetea serikali na Vyombo vya ulinzi na...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sheria za tume ya uchunguzi Tanzania

    Sheria ya Tume za Uchunguzi ya Tanzania, Sura ya 32 Toleo Lililorekebishwa 2002, inampa Rais mamlaka ya kuanzisha tume za kuchunguza masuala ya maslahi ya umma, ikiwa ni pamoja na mwenendo wa watumishi wa umma, idara za serikali, na masuala ya rushwa. Sheria hii inaruhusu uteuzi wa makamishna...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TUME YA UCHUNGUZI KUWASILISHA RIPOTI YAKE APRILI 23, 2026

    Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, wakati akizungumza na waandishi wa habari leo...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya Oktoba 29 kuwasilisha ripoti Aprili 23, 2026

    Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais Samia Suluhu. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 21, 2026 katika ofisi za Tume jijini Dar es...
Back
Top Bottom