Chanzo cha moto Kitambaa Cheupe ni fundi kuchomelea (Welding)

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Baada ya Baa ya Kitambaa Cheupe kuteketea kwa moto na kupelekea hasara kubwa kwa mmiliki wa Baa hiyo, chanzo cha moto chatajwa.

Fundi wa idara ya dharura wa TANESCO, Jackson Henry amesema chanzo cha moto ulioteketeza baa ya Kitamba Cheupe iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam ni fundi aliyekuwa anachomelea kwenye baa hiyo.

Mjanja M1 ✍️
 
Kama kitambaa cheupe ni ile inamilikiwa na yule mzungu anayependa kuvaa mono eye basi wajuvi wa code washaelewa the game behind. Vitu havitokei bahati mbaya.
 
Hiyo ni sodoma na gomora,.imechomwa moto, pamoja na hayo, nani ana namba ya kaunta? Maana ana mzigo wa kutosha lakini anazuga na wenyewe umeungua, halafu na nyie wahudumu mliokuwa mmelipwa, na Kvant zangu kumi niliacha jana nazo zimeungua?
 
Kama kitambaa cheupe ni ile inamilikiwa na yule mzungu anayependa kuvaa mono eye basi wajuvi wa code washaelewa the game behind. Vitu havitokei bahati mbaya.
Mbona naskia mmiliki ni giza mtoto wa mwanamuziki, dada mmoja alikuwa muhudumu wa ndege
 
Kama kitambaa cheupe ni ile inamilikiwa na yule mzungu anayependa kuvaa mono eye basi wajuvi wa code washaelewa the game behind. Vitu havitokei bahati mbaya.
Kitambaa inamilikiwa na maza flani anaktwa Jesca.
 
Back
Top Bottom