Wana JF, naombeni mnipe tafsili ya ni nn kinachowafanya baadhi ya watu wavipe utukufu vitu hivi:
1-Mapinduzi "matukufu"!
2-Bunge "tukufu"!
Hivi ni viashiria vipi ambavyo vinatoa utukufu kwa hivi vitu? maana isije kua tunabeba laana kwa kukubaliana na semi hizi.
Ni kama kulikua na bia XYZ...
Kwa mujibu wa ripoti ya Tasisi ya Utafiti na Kupunguza umaskini Tanzania(REPOA) ya 2019, wasomi milioni moja huzalishwa kwa mwaka alhali idadi ya ajira zinazozalishwa serikalini na katika sekta binafsi ni 250000.
Nayo taarifa ya muenendo wa ajira toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha hali ya...
Maisha ya uchakarikaji na utafutaji kuleta mkate wa kila siku katika familia ni hitaji lisilo na ukomo katika maisha ya mwanadamu.
Hali hii imesababisha mgawanyo wa majukumu katika malezi na usimamizi katika familia nyingi mijini na vijijini. Kufuatia hali hii hitaji la mtu aitwae msaidizi wa...
Katika zama hizi za vijana tujiajiri! Dhana korofi na swali tatanishi limekua ni kwa jinsi gani serekali inaweza kukabiliana na suala tambuka la ukosefu wa ajira. Kwa kurahisisha wengi huishia kusema, " ardhi ni kubwa vijana kwa nini msijiajiri..." wengi (wasomi na vijana wasio na ajira) huhisi...
Nzengo ni nini?
Kwa mujibu wa kamusi ya mtaani! Nzengo ni jumuishi ya eneo /mtaa aghalabu ukihusisha kaya taklibani 50, lenye mpaka wa kiutawala ukiwa na wakazi wa kudumu na wakuhama hama( wapangaji) na wakiwa na katiba, uongozi na tamaduni/ sheria ndogondogo zina zoongoza shughuli za kila siku...
Ni dhahili hali sasa inazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyoenda. Mwanadamu amekua akifurahia na kuvumbua dhana mbalimbali za kumsaidia kazi! Maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia yamepamba moto katika nyanja mbalimbali....kilimo, usafirishaji, mawasiliano, viwanda, afya nakadhalika. Yote haya...
Mei mosi oyee!
Ajira katika utumishi wa umma imekua ni ndoto ya wasomi na wasio wasomi wengi hapa nchini, wengi wa watu hawa hulenga ama kupata kipato na wengine kuhudumu kwa kutoa huduma takwa na wananchi. Serikali kwa kulitambua hilo imekua ikitoa ajira za muda mrefu ama muda mfupi lengo...
Kumekuwepo na mitazamo tofauti tofauti juu ya bidhaa zinazoingizwa sokoni kwa matumizi. Asilimia kubwa ya walaji wa bidhaa wamekua na kauli za; "bidhaa hizi za XYZ ( anataja jina la nchi) siwezi kununua kwani ni bandia...", mwingine yeye atarejea historia kwa kusema, " hii gari ni ya Mjerumani...
BIDHAA BANDIA NA HALISI KATIKA SOKO HURIA: Wajibu wa mlaji kabla ya kununua, kutumia na kuharibu mabaki ya bidhaa.
Katika zama hizi za soko huria kauli hizi si nadra sana kusikika miongoni mwa wanunuzi katika masoko yetu huko tuishiko; kauli kama, "Hii ni ya kichina hivyo sidhani kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.