Search results

  1. Melancholic

    Wakuu nina wazo

    Nipo na mahusiano na binti mmoja mrembo tu. Tukaanza mahusiano tatzo yule binti anaonekana yupo kimaslahi. Pesa za matumizo huwa nina mpa japo ana kiajira chake. Siku moja tumepanga meeting somewhere in sinza binti akaja but anaonekana ayupo oky halafu yupo bize na simu. Nikamuuliza vipi mbona...
  2. Melancholic

    Eneo hili la fukwe Ununio linafaa kwenda kuangalia kichupa cha EPL live?

    Wakuu, kwa wale ambao mlishatembelea fukwe za ununio aisee ni nzuri balaa kuna lounge za kibabe sana maeneo yale natarajia hii game ya Arsenal na Manchester city niende kuitazama katika fukwe hizo. naona tv zipo za kutosha ila sijajua kama kuna access ya dstv kwa maeneo yale wenye uzoefu na...
  3. Melancholic

    Unakuta kijana mzima umeamua kuishi na mwanamke kama mkeo kwa tafsiri ni kwamba ulishaona

    Vijana wenzangu mambo mengine niya kipuuzi na kutafutiana lawama. Unakuta kijana mzima umeamua kuishi na mwanamke kama mkeo kwa tafsiri ni kwamba ulishaona kiuchumi una mmudu huyo mwanamke na ndio maana ukaishi nae sasa kwanini utupe kero vijana wenzako kwa starehe zako mwenyewe. Kuna mshikaji...
  4. Melancholic

    Msaada kwa wanaojua fukwe nzuri zinazopatikana ukanda wa kunduchi kuwe na misosi na vinywaji ila ziwe ni za free

    Wakuu naomba msaada kwa wanaojua fukwe nzuri zinazopatikana ukanda wa kunduchi kuwe na misosi na vinywaji ila ziwe ni za free. Weekend yangu leo nataka nikaimalizie huko. Maskani hakukaliki tanesco washafanya yao. Ahsanteni
  5. Melancholic

    Wanaume kwenda kwenye shughuli zao na vinjunga (bukta fupi) haipendezi

    Mwanaume ni sifa, mwanaume ni kiongozi ebu ifike hatua wanaume tujitambue na tutambue nafasi zetu katika jamii. Hii tabia ya wanaume kuvaa vinjunga inaniboa sana, yaani sasa hivi kuvaa vinjunga kwa Dar inakuwa fasheni et kama leo asubuhi nimeshangaa sana mtu tumeshinda nae street asubuhi...
  6. Melancholic

    Ila wanawake…

    Wakuu najua mpo wazima wacha niende kwenye point moja kwa moja. Kuna group moja huko watsup la kuhusu mambo ya kijamii na kula bata na 90% wanawake ndio wengi bac kuna siku tulikutana member kwa ajili ya misosi bac tukafahamiana na mdada yupo humo anaofisi jirani na mitaa yangu. Siku moja...
  7. Melancholic

    Msaada: Anayejua dawa, sabuni, mafuta au lotion inayoweza kuondoa upele, mabaka na chunusi usoni

    Ndugu zangu naombeni anaejua dawa, sabuni, mafuta au lotion inayoweza kuondoa upele usoni mabaka na chunusi. Kiukweli uso wangu umetokewa na upele mwingi naombeni msaada
  8. Melancholic

    Wapi naweza kujifunza lugha ya Kichina?

    Wapi naweza kujifunza lugha ya Kichina? Nipo Dar es Salaam
  9. Melancholic

    Naomba ushauri: Mshahara wangu ni mdogo sana; hautoshelezi mahitaji yangu na familia inayonitegemea

    Mimi ni muajiriwa wa kampuni X, ila kiukweli mshahara ni mdogo sana nalipwa 250/month. kiukweli hii pesa nashindwa kuigawa coz ni ndogo, 90% inaisha kwenye kula na matumizi mengine madogo madogo. Ni changamoto kiasi kwamba nashindwa hata kununua aset za ndani sababu pesa yote inakwisha najikuta...
  10. Melancholic

    Lita 1 ya petrol inaweza kutembeza pikipiki ya TVS kilomita ngapi?

    Naomba kuuliza lita 1 ya petrol inaweza kutembea kilomita ngapi kwa pikipiki za TVS Kingine naomba kujua bei ya petrol lita 1 ni shilingi ngapi kwa sasa.
  11. Melancholic

    Familia nyingine ni za ajabu sana

    Kuna familia zingine zinashangaza na zinakatisha tamaa sana. Sisi kwenye familia yetu tumezaliwa watoto 9 wakiume tupo 6 na wakike wa 3 na uzao wetu umekaa hv kuna kaka zangu wakubwa wa 3 waliozaliwa miaka ya 70 then wanafuata dada 3 waliozaliwa miaka ya 80 halafu ndio sisi tena wakiume wa 3 wa...
  12. Melancholic

    Msaada wa haraka, eneo gani Sinza wanauza Kitimoto?

    Ni wapi wanachinja yule mdudu mtamu namaanisha kitimoto kwa maeneo ya Sinza na Kijitonyama? Msaada wa haraka unahitajika wakuu mdomo unawasha sana weekend hii. Nawasilisha.
  13. Melancholic

    Motherbord

    Habari za muda huu ndugu zangu. Nilikuwa nahitaji motherbord ya HP Pavilion ×360-11-u005la. Au kwa anaejua utaratibu wa uagizaji wa nje naomba msaada natanguliza shukrani.
  14. Melancholic

    Ushauri wako ni muhimu sana

    Habari za asubuhi ndugu zangu awali ya yote tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama. nahitaji ushauri ndugu zangu ni hivi, Siku ya jumamosi nilitafuta hawa vijana wanaouza simu online, kuna simu niliipenda kwa bahati mbaya baada ya kumpigia muhusika nilikuta imeshatoka. Bac muhusika akaniahidi...
  15. Melancholic

    Mwendokasi Mbagala inaanza lini?

    Kwa wakazi wa Mbagala au wanaojua zaidi kuhusu kukamilika mpaka kuzinduliwa kwa mwendokasi ya Mbagala naomba anijuze. Coz kuna biashara nlitaka nijaribu kuibuni kwa huko mbagala ila inategemea zaidi kukamilika kwa mwendokasi. Kuna wakati nliskia mwezi wa nne itakuwa tayari saiz nliskia et ni...
  16. Melancholic

    Wakuu, hakuna upigaji kweli hapa?

    Ndugu nina jambo kidogo naomba kushare nanyi. Picha inajieleza. Na kwa taarifa fupi tu ni kwamba nilifika ofisini kwao. Nikaambiwa kujaza form ni elfu kumi ili kujiunga kama mtoa huduma kwenye hiyo event na wakati nipo hapo zilikuwa zinashuka pisi za maana ili kushiriki katika zoez hilo kwa...
  17. Melancholic

    Hili limekaaje wadau? Huyu manzi atakuwa anamaanisha nini?

    Kuna binti mmoja ni mama lishe. Ni mdada mzuri sana, kama mnavyojua wadada wanaofanya hizi shughuli za umama lishe, tena ukiwa mzuri kuna kuwa na mtiririko wa wanaume kuomba namba kila mara. Na mimi mara nyingi huwa napoenda kwenye shughuli zangu, ni lazima nipitie hapo kwenye mgahawa wao...
  18. Melancholic

    Nimeamua kuondoka kwa kaka na kujitegemea

    Habari za muda wakuu jana niliomba ushauri kuhusu kuhama kwa kaka yangu. Kiukweli najilaumu sana kuchelewa kuanza maisha kwa sababu ya kusubili ahadi za ndugu toka nikiwa na miaka 23 nimekuwa nikiahidiwa msaada na mbaya zaidi mimi ndio nilikuwa nipo nyumbani na mama huko mkoani, Nimekuwa pale...
  19. Melancholic

    Nina umri wa miaka 30, naishi kwa kaka yangu, watu wananidharau naombeni ushauri

    Habarini za weekend ndugu zangu natumai mmeamka vema sana. Mimi kuna jambo kidogo linanitatiza nahitaji ushauri wenu. Ni hivi january ya mwaka 2020 kaka yangu alikuja mkoani basi baada ya kutusalimia aliamua kunichukua na kuja nae hapa dar es Salaam. Basi baada ya kuja huku alinipeleka kwa...
  20. Melancholic

    Wengine mnawezaje?

    Binafsi nina muda mrefu sana nmekuwa single hii ni kutokana na uchumi wangu kutokuwa stable. Kwa bahati nzuri katokea mtoto mmoja kitanga kanielewa sana. Baada ya kumpata huyo mtoto nikapata mzuka nikatongoza mwingine pia akajaa na wote wananipenda sana. Ila tatzo naona saiz uchumi wangu...
Back
Top Bottom